Rostam Aziz kuvuliwa Uraia?

haina kweeere arifu.....umesikia mwenzio alivyotema cheche star tv?

heheheheee

Hoiiiiii

the beauty of it hizo cheche zimetemwa kwa simu na hakuwepo in person for obvious reasons

presha inapanda.............

Presha inashuka......................
 
sasa mkishaweka mpango wa namna hiyo; RA hatogombea mwakani kwa sababu atakuwa "amechagua biashara na kuachana na siasa".. na hapo mnakuwa mmefungwa goli moja mtungi!

Sidhani kama he will dare to do that, RA kwa sasa he needs to be in bunge, CC na hata kenye dini kuinfluence vibaraka na watu wa kumlinda na yeye akiwa karibu kuhakikisha he's not brought to book!!!!!!!!
 
heheheheee

Hoiiiiii

the beauty of it hizo cheche zimetemwa kwa simu na hakuwepo in person for obvious reasons

presha inapanda.............

Presha inashuka......................
now adays you're very low.......
 
Sidhani kama he will dare to do that, RA kwa sasa he needs to be in bunge, CC na hata kenye dini kuinfluence vibaraka na watu wa kumlinda na yeye akiwa karibu kuhakikisha he's not brought to book!!!!!!!!

hilo ni kweli lakini sasa hivi kichwa kinamuuma!! umewahi kuona jinsi upepo unavyoutikisa mti na kwa muda mrefu ule mti unaonekana hautikisiki? Halafu siku moja kinakuja kimbunga na kuunyofoa ule mti kama unyonya na dalili za kuwahi uliwahi kuwepo nazo zinaondolewa? Ndivyo itakavyokuwa kuanguka kwa RA na wale ambao wanaamini katika njia yake.

Ningekuwa mimi RA nisingesoma makala zangu za mwanakijiji maana kama ni joto.. basi limeongezwa nyuzi kadhaa juu!!

Si alisema yule Mwalimu Mkuu kuwa "mkiwa na imani mnaweza kuuambia mlima huu ng'oka na ukatupwe baharini nao utawatii"? Well.. kuna mtu kauamuru mlima kwa imani. Utang'oka.
 
Mtikila anaonekana alikuwa na information nyingi sana. Kwanza mmoja wa hao kina Haidery ndiye jina lake linaonekana katika kampuni ya Isenegeja iliyonunua magazeti ya Rai na Mtanzania (si kampuni yote ya Habari Corporation).

Pili Jahangir Chakar Aziz, Gulam Chakar na Akram Aziz ni watu muhimu sana kwa RA. Jahangir anahusishwa na tukio zito sana la ukiukwaji wa haki za binadamu kule Mererani Arusha ambalo, aliwatesa watu (wako wanaohofiwa kufa) kwa kuwaburuza na gari wakiwa wamefungwa kamba na kisha kuwachimbia mashimo wakiwatishia kuwazika. Walifanya hivyo kutaka watoe siri ya mtu aliyewaibia tanzanite ya mamilioni. Aliyeokoa jahazi la sakata hilo alikuwa Lowassa akiwa Waziri katika serikali ya Mwinyi. Habari za tukio hilo liliandikwa katika gazeti la Rai. Shuhuda wa tukio hilo hadi leo yuko hai Arusha na walimjengea nyumba Njiro Hills, anaitwa Wasiwasi kaka yake Ramadhani Kafiri Bangi wa Sakina, ambaye anayeishi Ungalimited. Tukio hilo lilotokea miaka ya 1990 (Kati ya 1992-1994)

Pamoja na habari hiyo, Rai liliwahi kuandika "CCM yateua burushi Igunga" ni habari hizo zilizomsogeza RA na EL na kina Jenerali Ulimwengu na Salva na kuanzia hapo, wakawa na mahusiano naye ya karibu mno. Wakapewa ofisi katika jengo la Exporter House, mtaa wa Mkwepu (Posta ya zamani) mahali zilipowahi kuwa ofisi za chama cha PAC cha Afrika Kusini. Ofisi hizo zinamilikiwa na National Housing Corporation lakini zilikuwa mikononi mwa Lowassa (akiwa Waziri wa Ardhi).

hizi ndio detail ambazo watanzania tunaziitaji mimi nadhani tufanye mpango ndani ya hii jf wa kukusanya detail zote muhimu and then tuzicompile tayari kwa kwenda mahakamani, kwa sababu inaonekana watu wengi wana vipandevipande ambavyo vina maana sana katika hii vita ya ufisadi
 
hilo ni kweli lakini sasa hivi kichwa kinamuuma!! umewahi kuona jinsi upepo unavyoutikisa mti na kwa muda mrefu ule mti unaonekana hautikisiki? Halafu siku moja kinakuja kimbunga na kuunyofoa ule mti kama unyonya na dalili za kuwahi uliwahi kuwepo nazo zinaondolewa? Ndivyo itakavyokuwa kuanguka kwa RA na wale ambao wanaamini katika njia yake.

Ningekuwa mimi RA nisingesoma makala zangu za mwanakijiji maana kama ni joto.. basi limeongezwa nyuzi kadhaa juu!!

Si alisema yule Mwalimu Mkuu kuwa "mkiwa na imani mnaweza kuuambia mlima huu ng'oka na ukatupwe baharini nao utawatii"? Well.. kuna mtu kauamuru mlima kwa imani. Utang'oka.

Mkuu Mkjiji, nikujuavyo, you know something... let me count down I guess it is very near!
 
Tuacheni ushabiki. RA amefanikiwa sana, Mi ninaona anafaa hata kuiongoza nchi hii. Kama umefanikwa binafsi hata nchi unaweza kuifanikisha.

Kwa kweli mimi ninampongeza RA

Kwanza wewe wakati wa uchaguzi mkuu uliopita (wakati unatumia jina la Fikiraduni-fd) uliwahi kusema unamsapoti mgombea wa ubunge ambaye hana asili ya mbantu kwa rangi yake. Baadaye ukatamba, kafanikiwa kuukwaa ubunge. Hatujasahau.

Bila shaka alikuwa ni huyu huyu fisadi Rostam. Shwain. Una sababu ya kumuunga mkono, maana wapambe hawakosi kukatiwa chochote.
 
Mzee mwankijiji.
Mkuu nitakwambia kwamba katika vitu ambavyo havimtishi Rostam basi hili la Uraia ndio kabisaaa!...na hutasikia hata siku moja hatajikuna (jibishana) ila pale patakapo muwasha.Kwa sababu huwezi kuwa na ushahidi unaopingana hata kidogo, najua hili fika..
Unazo data nimwagie nami nitakupa ukweli tofauti.
Nitarudia kusema tafuta kitu kingine.. Na naposema hivyo usifikirie labda namtetea Rostam isipokuwa ni sawa na DA anapomshauri Prosecutor kuhusu udhaifu wa ushahidi ktk kusimamisha kesi yake..
Rostam anabadilisha majina yake kwa sababu ya Ufisadi tu, hakuna jingine ni mpango unafanywa hata huko na jamaa zetu Ogah (WaNigeria) ktk mitikasi yao lakini haipotezi Uraia wao..Kitu anachofanya Rostam ni kinga ktk kila isheni anayoifanya kutuibia kutokana na udhaifu wa sheria zetu na hasa ukosekanaji wa vitambulisho vya Uraia..ni fisadi tena Papa mbaya sana yule wa JAWS! lakini unapomwinda ni muhimu uwe makini sio kuja na mshipi wenye ndoana na chambo kama vile wamvua Changu...Huyu ni Papa!
Kuna Mhuni mmoja anajiita Shakazulu, kasema maelezo yangu yanayohusiana na Uraia wa mtu ni upupu..Yawezekana kuwa Upupu, auache kama ulivyo wapo njiwa watakula..hana jipya!

Mimi nakuhakikishia mkuu wangu kwa jinsi watu wanavyokuchukia wewe Mwanakijiji, hasa toka huko TZ wameishapita watu wakitaka kujua unaishi vipi US, sehemu gani, Je, una karatasi au huna!..yaani ili mradi kichefuchefu kitupu...Hii yote ni katika kutafuta uchawi wa kukurudisha nyuma kimaisha..
Nachosema mimi kama Mwanakijiji anawapa taabu hapa JF au huko Cheche kwa nini msimtafute ktk maswala yanayohusiana?..Na iweje mumtafute mtu kumkomoa kwa sababu ni kero kwenu. Na wewe mkuu wangu sii wa kwanza.. Nipo mitaa hii miaka zaidi ya 20 nafahamu kesi kibao za UK , US na hapa Canada zinahusiana na Watanzania kuchomeana.. kisa ati mtu fulani kamchukulia binti au anajifanya mjanja!..Hizi zote ni roho mbaya tu hazina uzalendo wowote zaidi ya kukosa kazi ya kufanya..Kachukua mkeo (binti yako) wee mgeuze yeye maswala yamekwisha au sio! (samahani lakini)...Alaaah!
Anyway, mkuu Trust me, unapomtafuta Rostam kwa maswala ya uraia inawapa nguvu zaidi mafisadi kwani sasa hivi inaonyesha wazi tumeishiwa hoja.. Kumbana kipa wakati refa yupo nyuma yako unaomba kadi nyekundu, wakati ndio kwanza kipimnndi cha pili kinaanza...Na ukipewa hiyo kadi basi kumbuka team yako inabakia na wachezaji 10..Kinachofuata ni wao kujihami wakati Rostam na kundi lake wanafanya mashambulizi..
Nakwambia haya kutokana na uzeofu wa mambo haya na kubali mkuu Umri ni moja ya elimu dunia.. Sii tu Utakwama bali utatugharimu jitihada kubwa za wazalendo ktk kutafuta mbinu za kulivua hili Jipapa..
 
...
Mimi nakuhakikishia mkuu wangu kwa jinsi watu wanavyokuchukia wewe Mwanakijiji, tumeshapata hata watu wakitaka kujua unaishi vipi US una karatasi au huna!..Hii yote ni katika kutafuta uchawi wa kukurudisha nyuma kimaisha.. nachosema mimi kama Mwanakijiji anawapa taabu hapa JF au huko Cheche kwa nini msimtafute ktk maswala yanayohusiana?..Na iweje mumtafute mtu kumkomoa kwa sababu ni kero kwenu..Na wewe mkuu wangu sii wa kwanza.. ..

Ndugu yangu kati ya vitu ambavyo havinisumbui ni hilo. Wao wana serikali wakitaka kujua lolote kuhusu mimi wala hawahitaji kwenda mbali; mimi nipo hapa siishi Tora Bora. Wakifikiri kuwa hiyo ndiyo "karata" yao watajisumbua sana kwani ningekuwa na wasiwasi wa namna hiyo nisingejiweka wazi namna hii bila ya shaka kuliko mwanachama mwingine yeyote wa JF!

Ukiangalia utaona kuwa yeyote anayetaka kujua mimi niko wapi na naishi vipi wala haitaji kuzunguka, anaweza kunifuata nilipo na kuniuliza au kupiga simu kwa wanaohusika. Halafu watajua vitisho hivyo mzee wanatishiana wenyewe tu na wenyewe kuambiana kuwa "sasa tumempata". Mwenyewe huwa nabakia kucheka tu.

Lakini katika haya ya ufisadi wa RA hakuna ambacho hakizungumziki. Tukianza kuweka mipaka ya nini kinazungumzika na nini hakizungumziki mwingine atakuja na hoja ya kwanini tuzungumzia "makampuni yake" wakati yeye ni mwekezaji, na mwingine atakuja na kutuuliza kwanini tuzungumzie "uanachama wake".. at the end, wote watakuja na sababu za kutosha tu za kutokuzungumzia jambo fulani, as a matter of fact wapo ambao wamekuja na kudai tusimzungumzie kwa sababu kufanya hivyo ni wivu!

Naielewa hoja yako vizuri sana, lakini tuyaache yanayozungumzwa yazungumzwe hoja zisizo na nguvu zitachujwa, kama ni raia itathibitishwa kama siyo raia tutampatia uraia n.k kwa maana inaonesha ana mapenzi makubwa na nchi, kwa hiyo it is not in our interest kumvua uraia halafu kumtimua, tunaweza kufanya kama alivyofanyiwa Jenerali tu. Ni katika kuweka rekodi sawasawa.
 
Thats exactly anavyofikiria Rostam, mnapojipanga na mpango huu.. Sasa chukulie hisia zako ndizo za Rostam kisha nambie jibu lake..bila shaka atasema kama ulivyoandika wewe!
 
Thats exactly anavyofikiria Rostam,

mzee unajua anavyofikiria Rostam? LOL

mnapojipanga na mpango huu.. Sasa chukulie hisia zako ndizo za Rostam kisha nambie jibu lake..bila shaka atasema kama ulivyoandika wewe!

Hawezi kusema ninavyosema mimi na hisia zangu haziwezi kuwa kama za kwake.
 
hilo ni kweli lakini sasa hivi kichwa kinamuuma!! umewahi kuona jinsi upepo unavyoutikisa mti na kwa muda mrefu ule mti unaonekana hautikisiki? Halafu siku moja kinakuja kimbunga na kuunyofoa ule mti kama unyonya na dalili za kuwahi uliwahi kuwepo nazo zinaondolewa? Ndivyo itakavyokuwa kuanguka kwa RA na wale ambao wanaamini katika njia yake.

Ningekuwa mimi RA nisingesoma makala zangu za mwanakijiji maana kama ni joto.. basi limeongezwa nyuzi kadhaa juu!!

Si alisema yule Mwalimu Mkuu kuwa "mkiwa na imani mnaweza kuuambia mlima huu ng'oka na ukatupwe baharini nao utawatii"? Well.. kuna mtu kauamuru mlima kwa imani. Utang'oka.

Utabiri huu siuamini. Unajua hawa wakina RA, JP, TS, SP, YM na wengine kama hao, uwafananishe na wamerikani wenye asili ya kiyahudi na jinsi walivyoishika serikali ya marekani kuhusu sera zake za middle east.

Kumbuka kuwa hawa kwanza walikuwa na Mwinyi, wakarithiwa na Mkapa na sasa wanaendelea na JK na atayekuja 2015 atawakuta na atakwenda nao. Watu hawa ni muhimu katika mfumo mzima wa uendeshaji serikali kwa kulinda maslahi ya wakubwa. Mkapa alipoingia madarakani alikataa kabisa kuwa na uhusiano na wahindi. By the time anatoka wakawa ndio rafiki zake wakubwa. Mheshimiwa yeye ameanzana nao tangu mwanzo.

Cha kusaidia ni kuwa hizi kelele zinazopigwa zinapunguza tu kasi lakini haziwezi kuondoa kabisa mfumo wa uendeshaji wa serikali.
 
Mzee mwankijiji.
Mkuu nitakwambia kwamba katika vitu ambavyo havimtishi Rostam basi hili la Uraia ndio kabisaaa!...na hutasikia hata siku moja hatajikuna (jibishana) ila pale patakapo muwasha.Kwa sababu huwezi kuwa na ushahidi unaopingana hata kidogo, najua hili fika..
Unazo data nimwagie nami nitakupa ukweli tofauti.
Nitarudia kusema tafuta kitu kingine.. Na naposema hivyo usifikirie labda namtetea Rostam isipokuwa ni sawa na DA anapomshauri Prosecutor kuhusu udhaifu wa ushahidi ktk kusimamisha kesi yake..
Rostam anabadilisha majina yake kwa sababu ya Ufisadi tu, hakuna jingine ni mpango unafanywa hata huko na jamaa zetu Ogah (WaNigeria) ktk mitikasi yao lakini haipotezi Uraia wao..Kitu anachofanya Rostam ni kinga ktk kila isheni anayoifanya kutuibia kutokana na udhaifu wa sheria zetu na hasa ukosekanaji wa vitambulisho vya Uraia..ni fisadi tena Papa mbaya sana yule wa JAWS! lakini unapomwinda ni muhimu uwe makini sio kuja na mshipi wenye ndoana na chambo kama vile wamvua Changu...Huyu ni Papa!
Kuna Mhuni mmoja anajiita Shakazulu, kasema maelezo yangu yanayohusiana na Uraia wa mtu ni upupu..Yawezekana kuwa Upupu, auache kama ulivyo wapo njiwa watakula..hana jipya!

Mimi nakuhakikishia mkuu wangu kwa jinsi watu wanavyokuchukia wewe Mwanakijiji, hasa toka huko TZ wameishapita watu wakitaka kujua unaishi vipi US, sehemu gani, Je, una karatasi au huna!..yaani ili mradi kichefuchefu kitupu...Hii yote ni katika kutafuta uchawi wa kukurudisha nyuma kimaisha..
Nachosema mimi kama Mwanakijiji anawapa taabu hapa JF au huko Cheche kwa nini msimtafute ktk maswala yanayohusiana?..Na iweje mumtafute mtu kumkomoa kwa sababu ni kero kwenu.
Na wewe mkuu wangu sii wa kwanza.. Nipo mitaa hii miaka zaidi ya 20 nafahamu kesi kibao za UK , US na hapa Canada zinahusiana na Watanzania kuchomeana.. kisa ati mtu fulani kamchukulia binti au anajifanya mjanja!..Hizi zote ni roho mbaya tu hazina uzalendo wowote zaidi ya kukosa kazi ya kufanya..Kachukua mkeo (binti yako) wee mgeuze yeye maswala yamekwisha au sio! (samahani lakini)...Alaaah!
Anyway, mkuu Trust me, unapomtafuta Rostam kwa maswala ya uraia inawapa nguvu zaidi mafisadi kwani sasa hivi inaonyesha wazi tumeishiwa hoja.. Kumbana kipa wakati refa yupo nyuma yako unaomba kadi nyekundu, wakati ndio kwanza kipimnndi cha pili kinaanza...Na ukipewa hiyo kadi basi kumbuka team yako inabakia na wachezaji 10..Kinachofuata ni wao kujihami wakati Rostam na kundi lake wanafanya mashambulizi..
Nakwambia haya kutokana na uzeofu wa mambo haya na kubali mkuu Umri ni moja ya elimu dunia.. Sii tu Utakwama bali utatugharimu jitihada kubwa za wazalendo ktk kutafuta mbinu za kulivua hili Jipapa..

mhhh we naye!

inaelekea hamjaongea muda mrefu au kuna jambo unafichwa

heheheeee

hooooiiiii

hebu mie
 
Ndugu yangu kati ya vitu ambavyo havinisumbui ni hilo. Wao wana serikali wakitaka kujua lolote kuhusu mimi wala hawahitaji kwenda mbali; mimi nipo hapa siishi Tora Bora. Wakifikiri kuwa hiyo ndiyo "karata" yao watajisumbua sana kwani ningekuwa na wasiwasi wa namna hiyo nisingejiweka wazi namna hii bila ya shaka kuliko mwanachama mwingine yeyote wa JF!

Ukiangalia utaona kuwa yeyote anayetaka kujua mimi niko wapi na naishi vipi wala haitaji kuzunguka, anaweza kunifuata nilipo na kuniuliza au kupiga simu kwa wanaohusika. Halafu watajua vitisho hivyo mzee wanatishiana wenyewe tu na wenyewe kuambiana kuwa "sasa tumempata". Mwenyewe huwa nabakia kucheka tu.

Lakini katika haya ya ufisadi wa RA hakuna ambacho hakizungumziki. Tukianza kuweka mipaka ya nini kinazungumzika na nini hakizungumziki mwingine atakuja na hoja ya kwanini tuzungumzia "makampuni yake" wakati yeye ni mwekezaji, na mwingine atakuja na kutuuliza kwanini tuzungumzie "uanachama wake".. at the end, wote watakuja na sababu za kutosha tu za kutokuzungumzia jambo fulani, as a matter of fact wapo ambao wamekuja na kudai tusimzungumzie kwa sababu kufanya hivyo ni wivu!

Naielewa hoja yako vizuri sana, lakini tuyaache yanayozungumzwa yazungumzwe hoja zisizo na nguvu zitachujwa, kama ni raia itathibitishwa kama siyo raia tutampatia uraia n.k kwa maana inaonesha ana mapenzi makubwa na nchi, kwa hiyo it is not in our interest kumvua uraia halafu kumtimua, tunaweza kufanya kama alivyofanyiwa Jenerali tu. Ni katika kuweka rekodi sawasawa.

ungeimalizia ndio ingependeza

waadisie episode zima basi

na hao hao kila kukicha uko nao kwenye shgughuli zao

hebu tupishe sie
 
Back
Top Bottom