Rostam Aziz atajwa kupanga njama za Mauaji ya Nape!!!

Status
Not open for further replies.
Hii story inawezekana kuwa na ukweli. nape anawapenda sana hawa wadada weupe. Kuna wakati alikuwa anataka kumtafuna Badra Masoud wa tanesco enzi zile akiwa City water or dawasa (kama sijakosea kampuni) ila wakati huo Edward Lowasa nae alikuwa anakula huyo mrembo. Ugomvi wa nape na RA na EL sio wa ufisadi tu, hata mahaba yanahusika

Dah hi ukiliwa na fisadi ndio unapata kazi tanescoeeee.....

Tanzania hii karibu zama zake zitapita.......na sisi weusiweusi na tusioliwa na nape wala el tutapata kuwa maafisa mahusiano kama badra
 
3.jpg
Watangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten Fredy Mwanjala, Salama Hamadi na Zainab Abdul, wakimpa zawadi ya hongera, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ambaye ametunukiwa shahada ya pili ya uongozi kwenye mahafali ya kumi ya Chuo Kikuu Mzumbe, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.

Na Shakoor Jongo
Straika wa Yanga, Jerryson Tegete ‘Jerry’ (pichani) amefichua penzi lake kwa
mtangazaji wa Channel Ten, Salma Hamad.

Tegete amesema kuwa yupo kwenye uhusiano wa kimapenzi na Salma kwa miaka minne sasa.

Staa huyo alianika hayo Ijumaa iliyopita, alipokuwa anahojiwa na Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo katika kipindi cha Amplifier.

“Nilimfuatilia Salma kwa kipindi kirefu, wakati huo alikuwa akifanya kazi Uwanja wa Ndege Mwanza lakini alikuwa hanitaki.

Baadaye nililazimisha urafiki na mdogo wake ambaye tulikuwa tunacheza timu moja ya mtaani.

“Baada ya kuwa karibu na mdogo wake alinikubalia. Nikiwa Dar aliacha kazi Mwanza tukaanza kuishi wote na bahati nzuri alipata kazi Channel Ten.

“Mambo si mabaya, tumefanikiwa kujenga nyumba mbili, moja ipo Mwanza nyingine Tabata,” alisema Tegete katika mahojiano hayo.
DSC07295.JPG
DSC07299.JPG

Salama ana jini mahaba na ndio ukahaba!!! Ukahaba hauna shule wala heshima . Bill Clinton aliingia kwenye ufusika na mwanamke wa hovyo!!!! Rostamu amefanya ufusika na watu wengi wa hovyo hata Rafiki yake Kikwete anatembea na watu wa Saloon na ndio maana ameheshimu Msiba wa Kanumba!!!!!!!
 
hilo gazeti la dira mimi pia nimelisoma leo,mbona hakuna waliposema rostam aziz?wamesema jina wameliifadhi,halafu pia hakuna waliposema kuwa nape alitoka kimapenzi na yule dada,ila wamesema kuwa walialikana wakanywe chai baada ya kumaliza mahojiano,halafu pia hakuna waliposema kuwa nape alimtafutia pasport nyingine,ila wamesema alimsaidia kwa kushirikiana na watu wengine kuweza kuondoka hapa nchini.nasema hivi kwa sababu kiutaratibu unaposema source ni dira inatakiwa uandike kilichoandikwa katika gazeti la dira,then kama ungetaka kuieleza unavyoijua zaidi ungeielezea,lakini si kwa kusema source ya habari gazeti la dira wakati ndani yake umeweka maneno yako kibao!
all in all -kwa kuwa umetufafanulia kiundani,tunashukuru kujua maana sikujua kama ni RA!
Issue si gzt la Dira data zote Makao CCM. Uchafu wote upo , hii ni kidogo tu viongozi wanao tuongoza wanatumia mali nyingi kwa nyumba ndogo sasa ni wakati wa kuwaanika!!!
Baraza la mawaziri linavunjwa huku nyumba hizo ndogo zikiwa na hofu kubwa kwa kuwa zilinufzika na ule wizi!!
 
[h=2]Dira - Nape anasurika kuuawa kwa sumu[/h]
SAM_1162.JPG

Je habari hii ina ukweli au kutafuta vichwa vya kuuza magazeti?
 
Salama naeza kusema kwa kinywa kipana kwamba analika, she is a ten for me, she is exotic anapoongea anakuwa kama anamafua flani hivii, anaonekana mtundu na inaonesha anayajua malavdavi. I wouldn't be surprised any man would want a piece of her, hata mie ustaadh wenu niko radhi kuuza nyumba ya urithi. wewe uliyeleta huu uzi una uivu au una tabia za kishostishost, nenda kachek hormones imbalance.
 
uzinzi hauna heshima wala elimu angalia Yusufu Makamba na Mwanafunzi wake S/msngi na wewe mwenyewe unaye sema salama analika . Unamkandia lakini unavutwa na pepo la ngono!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mtangazaji wa zamani wa Channel Teni Bi Salama Hamadi amesema amekuwa anafanya ngono na Rostam Aziz Kwa zaidi ya Miezi kumi baada ya kumupatia ajira katika kampuni yake ya Channel Teni.

Amesema kaitika mahusiano hayo Rostam alipata kumushawishi ajipenyeze Kwa nape nauye ili amuwekee Sumu na kumuua!!!

Siku ya tukio Bi Salama alipewa sumu ya unga na Rostam na kwenda kufanya njama za kumwita Nape na kisha kujikuta anamuonea huruma kwa kuwa alikuwa anafanya naye ngono pia!!!
Hatahivyo Salama anasema alimukabidhi Nape sumu hiyo na kuendelea kufanya naye Mapenzi kabla ya kutoroshwa kwenda Uk ambapo amejificha kukwepa mukono wa mafisadi.

Bi Salama anasema baada ya kushindwa kumuua Nape Rostam alimunyang"anya passport ya kusafiria na simu ambapo Nape alifanya njama na kumutafutia nyingine!!!
Makada wa CCM Lumumba walimuonya Nape juu ya mahusiano na Salama lakini hakusikia!!!

Hata hivyo Rostam Aziz amejikita Uk ambako Bi Salama anasema amekimbilia na inashangaza ni kwa Vipi Bi Salama anasema amejificha huko!!!
Source: Gzt la Dira & Makao CCM

Source yako ya hii kitu siyo credible!!! Mimi nimelisoma DIRA kuhusu habari hii, halijamtaja Azizi nw wala Salama hajasema alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Nape!!!

You may be speculating!! But your speculation appears to be right!
 
Salama ana jini mahaba na ndio ukahaba!!! Ukahaba hauna shule wala heshima . Bill Clinton aliingia kwenye ufusika na mwanamke wa hovyo!!!! Rostamu amefanya ufusika na watu wengi wa hovyo hata Rafiki yake Kikwete anatembea na watu wa Saloon na ndio maana ameheshimu Msiba wa Kanumba!!!!!!!

Aixee!! hivihuyo baba riz ameacha kwenda pale saigon kariakoo na kuagiza kila raia atakae kuwepo bia 3?????!!!
 
uzinzi hauna heshima wala elimu angalia Yusufu Makamba na Mwanafunzi wake S/msngi na wewe mwenyewe unaye sema salama analika . Unamkandia lakini unavutwa na pepo la ngono!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Naona unaongea na mi-homotions kibao. Mi sijamkandia Salama popote bcoz I think she is cute little thing. She has the right to choose her sexual partner ilimradi havunji katiba ya JMT, of coz being cute she attracts haters like u na waosha vinywa wengine. I wouldn't blame RA au Nape either kwa kukokota ngoma ( if it is necessarily true), heck I would do the same kama ningekuwa na opportunity.
 
Hawa dada zetu nao wanatamaa sana na vitu vizuri. Ndo mwisho wake huo sasa anakimbia nini si alitaka maisha mazuri? ukishatangaza vita na kina Rostam maisha yako yote ni kuwindwa tu. Nape Njoo utoe tamko hapa
 
Mtangazaji wa zamani wa Channel Teni Bi Salama Hamadi amesema amekuwa anafanya ngono na Rostam Aziz Kwa zaidi ya Miezi kumi baada ya kumupatia ajira katika kampuni yake ya Channel Teni.

Amesema kaitika mahusiano hayo Rostam alipata kumushawishi ajipenyeze Kwa nape nauye ili amuwekee Sumu na kumuua!!!

Siku ya tukio Bi Salama alipewa sumu ya unga na Rostam na kwenda kufanya njama za kumwita Nape na kisha kujikuta anamuonea huruma kwa kuwa alikuwa anafanya naye ngono pia!!!
Hatahivyo Salama anasema alimukabidhi Nape sumu hiyo na kuendelea kufanya naye Mapenzi kabla ya kutoroshwa kwenda Uk ambapo amejificha kukwepa mukono wa mafisadi.

Bi Salama anasema baada ya kushindwa kumuua Nape Rostam alimunyang"anya passport ya kusafiria na simu ambapo Nape alifanya njama na kumutafutia nyingine!!!
Makada wa CCM Lumumba walimuonya Nape juu ya mahusiano na Salama lakini hakusikia!!!

Hata hivyo Rostam Aziz amejikita Uk ambako Bi Salama anasema amekimbilia na inashangaza ni kwa Vipi Bi Salama anasema amejificha huko!!!
Source: Gzt la Dira & Makao CCM

Unaniacha hoi!
 
Kumbe huyu salama ni kiwembe sana. Hebu angalia hii chain inavyoenda 1.RA 2.NAPE N 3. J.TEGETE 4............
 
jamani tupeni news current zikiwa na ushahidi maana naona wengine wanasema hii ni ya siku nyingi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom