Rostam Aziz atajwa kupanga njama za Mauaji ya Nape!!!

Status
Not open for further replies.
Daaa mna nta za kichwa..salama alianza kazi channel ten tangia channel hiyo inamilikiwa na trontanano....wacheni uzushi uso maana baada ya kuona aziz ametoka na siasa za chuki na majungu za bongo basi sasa mnatafuta udaku
 
hilo gazeti la dira mimi pia nimelisoma leo,mbona hakuna waliposema rostam aziz?wamesema jina wameliifadhi,halafu pia hakuna waliposema kuwa nape alitoka kimapenzi na yule dada,ila wamesema kuwa walialikana wakanywe chai baada ya kumaliza mahojiano,halafu pia hakuna waliposema kuwa nape alimtafutia pasport nyingine,ila wamesema alimsaidia kwa kushirikiana na watu wengine kuweza kuondoka hapa nchini.nasema hivi kwa sababu kiutaratibu unaposema source ni dira inatakiwa uandike kilichoandikwa katika gazeti la dira,then kama ungetaka kuieleza unavyoijua zaidi ungeielezea,lakini si kwa kusema source ya habari gazeti la dira wakati ndani yake umeweka maneno yako kibao!
all in all -kwa kuwa umetufafanulia kiundani,tunashukuru kujua maana sikujua kama ni RA!
 
Rostam??huyu au mwingine??afanye ujinga kama huu yeye mwenyewe mafia!!hawezi kujiaribia jina lake kwa kumtuma huyo shori!
 
dada labda alikuwa anataka sana nje, akajitungia njia ya kumpeleka huko kirahisi, nimepewa sumu nije nikuwekee, lakini nakuonea huruma, nakuokoa nawe itabidi uniokoe wakijua wataniua, huyooo kapata safari, mjini shule
 
3.jpg
Watangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten Fredy Mwanjala, Salama Hamadi na Zainab Abdul, wakimpa zawadi ya hongera, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ambaye ametunukiwa shahada ya pili ya uongozi kwenye mahafali ya kumi ya Chuo Kikuu Mzumbe, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.

Na Shakoor Jongo
Straika wa Yanga, Jerryson Tegete ‘Jerry' (pichani) amefichua penzi lake kwa
mtangazaji wa Channel Ten, Salma Hamad.

Tegete amesema kuwa yupo kwenye uhusiano wa kimapenzi na Salma kwa miaka minne sasa.

Staa huyo alianika hayo Ijumaa iliyopita, alipokuwa anahojiwa na Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo katika kipindi cha Amplifier.

"Nilimfuatilia Salma kwa kipindi kirefu, wakati huo alikuwa akifanya kazi Uwanja wa Ndege Mwanza lakini alikuwa hanitaki.

Baadaye nililazimisha urafiki na mdogo wake ambaye tulikuwa tunacheza timu moja ya mtaani.

"Baada ya kuwa karibu na mdogo wake alinikubalia. Nikiwa Dar aliacha kazi Mwanza tukaanza kuishi wote na bahati nzuri alipata kazi Channel Ten.

"Mambo si mabaya, tumefanikiwa kujenga nyumba mbili, moja ipo Mwanza nyingine Tabata," alisema Tegete katika mahojiano hayo.
DSC07295.JPG
DSC07299.JPG
 
uadilifu wa mwanamke mwenyewe uko wapi? huwezi kutumiwa kama hutaki kutumika
 
Rostam Aziz ni Mafia hawezi kufanya issue za kitoto kama hizi...Nape mwenyewe mtu wa domo hawezi kutaka kuwekewa sumu halafu akae kimya Nape mwingine.
 
Hii story ya muda mrefu na ina makona mengi. Mara huyo Changudoa katoroshewa South Africa, mara Sycheles n.k.
Mara Nape kamwambia bibi huyo amwite RA na kuweka loud speaker, na Nape akasikia RA akiapa kuwa lazima ammalize!
Mara bibi aseme sumu hiyo ameishawekewa mmiliki wa gazeti la Dira na watu wengine makini. Mara Ohhimh hata Mkuu wa Kaya alipelekewa kimwana kilichopewa sumu kali, lakini akachomoa na kuagiza kikamatwe. Mara Mkuu wa Kaya akaenda kwa wakwe zake Lindi kulalamika kuwa EL na RA wanataka kummaliza? Maneno mingi sana, amueni wenyewe kama kuna credibility katika maneno haya. Moja la uhakika ni kuwa Nape anapenda sana vimwana, ni rahisi kulishwa chochote. Haya maneno nimemwambia mara kadhaa, hatki kunisikia. Sasa haya hapa yamefika chomboni JF.

Authenticity ya story inatia mashaka, kuwa RA awe soo cheap kutumia ngono kumuua NN?!, how much is NN protected?!, so NN ana Dolari za kutosha kumtorosha Salama na kumficha SA, UK au ushelisheli?. Kwamba RA alimnyanganya salama passbook yake?! Is it sooo easy kwa mwajiri ku-access pass ya mfanyakazi wake. Mimi nitaendelea kuhoji juu ya uhalisia wa hadithi hii-paukwa pakawa,
 
Aisee!! Kumbe ni huyu mwanamke siwezi kumuamini hata kidogo huyu mwanamke ni group la kina Nsia pale SAUT Mwanza kaja Dar hapa watu wameanguka nae vibaya alikuwa mke wa DJ mmoja wa Kiss FM. jamaa alimfukuza kwa ukahaba...hana lolote huyu mwanamke kama mtu anataka data zake ani-Pm.

Atakuwa kahaba kama Lulu...
 
Jamani ndio huyu dada ambaye hata kutangaza alikua hajui kazi kujirembua na kukaa uchi? jamani huyu mu iran ndio haya mngemuachia nchi angetumaliza nayo, ana test ya cheap products, ona kamuweka Bashe pale bila qualification New Habari imegalagala kama jalala, kaweweka wakina muhingo sikjui wapi taka taka kuliko nini, haya ikulu kamuweka salva takataka nyingine, kweli huyu uchochoro ndio anaenda kumchanganya na mkewe mzuri mariamu? pwa, nape hata akila kijana sasa,?halafu kaonyesha uanaume kwa kumpigania na kumhamisha nchi, wasichana wajue hawa mafisadi wakikufuata kama sio kukulambisha mbwa wao basi ni kutumia mbona nasikia pia hii ilikua chakua ya EL? sasa bulushi katoka wapi?

Japo sipendi mafisadi, siwezi kusadikishwa uongo huu.
 
Hii story inawezekana kuwa na ukweli. nape anawapenda sana hawa wadada weupe. Kuna wakati alikuwa anataka kumtafuna Badra Masoud wa tanesco enzi zile akiwa City water or dawasa (kama sijakosea kampuni) ila wakati huo Edward Lowasa nae alikuwa anakula huyo mrembo. Ugomvi wa nape na RA na EL sio wa ufisadi tu, hata mahaba yanahusika

Hata mm mweupe, kwahiyo huyo nape atanila?lol!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom