Rostam awaparamia CHADEMA

UVCCM wako wapi kuandaa maandamano kuunga mkono kauli ya mwanasiasa makini Rostam Azziz?
 
Jamani watanzania walio makini na walio criaz na ukombozi wa nchi hii,kuna jambo tunasahau,miaka ya 60 tulipigana kukomboa nchi ipate uhuru,sasa tunahaja ya kuingia vitani tena kutafuta haki ya kweli,mzigo wa umaskini na unyonyaji uliokithiri.
Mwanzoni watumwa walibebeshwa pembe za ndovu na waarabu,leo tunahakikishiwa na mfanya biashara ya utumwa wa miaaka(muirani r.a) kutubebesha si pembe za ndovu kama zamani bali umaskini yeye akatajirike.
Ewe mtanzania badilika chukua hatua tuingie vitani tuikomboe nchi yetu peapleeeeeeeeeeeeeeeeees!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Weeeee !!!!!!! unaongea tu, vita kawaulize Kagera halafu urudi hapa JF utuambie tupigane. Kapigane mwenyewe. Siasa siyo vita unayofikiria, ama kweli umenyweshwa sumu tayari ya wazururaji wa mikoani. Mwanaume ni Mzee wa Kiraracha tu anayewapeleka puta viongozi wezi mawilayani siyo kuzunguka na kuzurura mikoani badala ya kuwaletea wananchi maendeleo majimboni mwao. Kazi hiyo labda aachiwe Slaa kwa sababu hana jimbo na anatafuta wachumba mikoani na kuzulia watu vifo, eti alikuwa Padri!!!!! No wonder alishindwa, kageukia wanawake, nao mara azae nao na kuwatelekeza halafu achukue wake za watu na sasa kaeni chonjo katika maandamano, mwenzenu anatafuta wachumba. Na wewe chunga atakupora wa kwako usipo angalia. Bwana awe nanyi.........awe nawe pia........tuombe..... Utamsikia kila mwisho wa hutuba yake. Ama kweli Katibu Mkuu tunaye.
 
Wana JF,

RA akiongea mnapiga kelele, akikaa kimya mnasema mbunge gani huyu asiyeongea kitu bungeni. Sasa mnataka RA afanye nini?.

hapo ndiyo ujue pana tatizo ndiyo maana pande zote anapata hukumu.
 
Anajiamini!!!!, Ameshiba kiburi?, anajua anawaambia wajinga karibu milioni 35 wa Tanzania?. Nimewaona watanzania wengi ni watu ''naive'' hasa katika haya mambo ya siasa ndiyo maana wanaangukia mikono ya wanasiasa wabovu kama RA na kaka yake Mkwere halafu bado wanagugumia wasijue la kufanya. Watanzania kama watu wa Mungu siku moja atawasikia naye atajilipizia kisasi kwa wanasiasa wabovu wanaowakandamiza sasa; sitoi mahubiri bali nawahurumia ndugu zangu watanzania wengi ''naive'' maana hata nikiwaambia sasa kwamba CCM na viongozi wake wanawanyonya bado hawanielewi tena wananiona adui nisiyependa amani. Kwa wachache mnaoelewa na kuona kinachotendeka mimi nawatia nguvu muwafundishe watanzania taratibu wenye kuelewa itawasaidia. Kwa viongozi wataalam wa serikali nawakumbusha, hii nchi si ya CCM bali wamepewa dhamana na siku nyingine chama kingine kitapewa: ombi langu kwenu ""FANYENI KAZI KWA BIDII WALA MSIPENDE RUSHWA SIKU MOJA MTAPATA MALIPO YASIYO YA LAANA""
 
RA amesema yeye ni mwanasiasa makini na kamwe hababaishwi na wanasiasa uchwara.

Amesema maisha magumu kwa watanzania hayatokani na CCM, bali mfumo wa kidunia unaoendana na hali halisi ya sasa.

SOURCE: MWANANCHI PG2

inaonekana ni kweli yupo makini fikiria tanzania ipo kwenye mchakato wa kubadilisha sheria ya manunuzi ili inunue mitambo ya Dowans. Je huoni ni kweli yupo makini?
 
Pamoja na hayo yote anamiliki Hisa nyingi katika kampuni ya CASPIAN International ambayo imepewa tenda ya kukodisha vifaa vya uchimbaji kwa kampuni makubwa ya madini hapa Tanzania.

Kifupi jamaa anatumia siasa kama kichaka cha kujifichia akiwa ananusa madili ya ununuzi na uwekezaji serikalini. Kifupi the guy IQ yake ni kubwa sana.
 
Mwizi mkubwa yule na jambazi la kutupwa. Ukiangalia cv yake aliyoweka kwenye tovuti ya bunge haieleweki. Huyu jamaa amekaa kiwizi wizi tu. Halafu naye kiwete, or sorry kikwete anasema eti saaafiiiii.
 
Pamoja na hayo yote anamiliki Hisa nyingi katika kampuni ya CASPIAN International ambayo imepewa tenda ya kukodisha vifaa vya uchimbaji kwa kampuni makubwa ya madini hapa Tanzania.

Kifupi jamaa anatumia siasa kama kichaka cha kujifichia akiwa ananusa madili ya ununuzi na uwekezaji serikalini. Kifupi the guy IQ yake ni kubwa sana.

Si kweli hana IQ kubwa ni kawaida tu.Mimi niliwahi kufanya kazi kwenye shirika la serikali ambalo lilikwisha binafsishwa na serikali.Rushwa ilikuwa kubwa kupindukia, lakini kulikuwa na mfanyabiashara ambaye alikuwa na nguvu ya fedha kiasi cha kufadhili hata mishahara ya mwezi ya wafanyakazi kwa wakati fulani.Tulidiriki kumuweka kwenye kundi la akina RA, eti tulisema jamaa IQ yake iko juu sana kwa masuala ya michongo.Wapi baana!!! baada ya kuuzwa hilo shirika leo hii ukimuona hana hata gari la kutembelea, anatumia baiskeli.NI AJABU SANA.Kilichokuwa kinampa jeuri ni kwamba wakubwa walikuwa wanamtumia kupitisha michongo yao na yeye tukamuona IQ IKO JUU.

Ninachosema ni kwamba hata RA akitolewa kwenye network ya kifisadi huwezi kuamini uzezeta alionao , nafasi hiyo hata ukimpa Matonya wa Ugogoni utamuona ni Geneus kumbe ni nafasi tu.
 
RA amesema yeye ni mwanasiasa makini na kamwe hababaishwi na wanasiasa uchwara.

Amesema maisha magumu kwa watanzania hayatokani na CCM, bali mfumo wa kidunia unaoendana na hali halisi ya sasa.

SOURCE: MWANANCHI PG2

huyu kasema maoni yake kama yeye na wala sioni Huko kuwaparamia Chadema kuko wapi?
 
Mbona sioni kutajwa Chadema? au wanasiasa uchwara ndio Chadema?

Hajataja jina la Chadema moja kwa moja, ila amegusia maandamano, ambayo kwa siku chache za nyuma yalifanywa na Chadema. Kagusia 'kukutana' kwake na Slaa jijini Mwanza.
 
Kaagiza pia sheria zibadilishe kuruhusu Tanesco inunue Dowans
 
if i'll meet RA... i'll kill him with my own hands...he better die 4 the sake of majority poor Tanzanians.... f..k u RA...!

Noooo, don't kill him pls. Kifo sio adhabu kila mtu atakufa. Hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho au huamini?
 
Chadema wanachotaka ni kuwadanganya watanzania ili wakiingia waibe na kukimbia,tatizo la kupanda kwa maisha ni mfumo wa dunia nzima siyo tanzania pekee,kwa kuwa chadema wanaijua tanzania tu ni vigume kuelewa hata yanayotokea kenya na rwanda.
 
Chadema wanachotaka ni kuwadanganya watanzania ili wakiingia waibe na kukimbia,tatizo la kupanda kwa maisha ni mfumo wa dunia nzima siyo tanzania pekee,kwa kuwa chadema wanaijua tanzania tu ni vigume kuelewa hata yanayotokea kenya na rwanda.

hii ya Rwanda imechuja find another ""brainwasher""
 
Wana JF,

RA akiongea mnapiga kelele, akikaa kimya mnasema mbunge gani huyu asiyeongea kitu bungeni. Sasa mnataka RA afanye nini?.

Rostam sio mtu wa kujiita mwanasiasa makini bali mwizi makini!!!!!! Tunataka kama akiongea basi aseme ni lini atarejesha pesa zote alizowaibia Watanzania na lini ataondoka nchini kwetu.. sio kutoa kauli za kejeli hapa.... Anawatia upofu wananchi wa Igunga bila hata haya... :angry:
 
Back
Top Bottom