Laura Mkaju
Senior Member
- Jan 31, 2011
- 194
- 40
Aliwahi kunena hilo mwanasiasa mkongwe Dr.Mzindakaya kuwa nchi inaendeshwa na familia 9 tu tajiri, sasa sijui sie wengine tunasubiri nini humu duniani.Moja wapo ni huyo fisadi.
RA amesema yeye ni mwanasiasa makini na kamwe hababaishwi na wanasiasa uchwara.
Amesema maisha magumu kwa watanzania hayatokani na CCM, bali mfumo wa kidunia unaoendana na hali halisi ya sasa.
SOURCE: MWANANCHI PG2
Amesema wapi hayo maneno?source plz

Ni mara ya pili kuongea ndani na nje ya bunge kwa miaka 6. Kweli uyu mwanasiasa!
Amesema wapi hayo maneno?source plz
Au wamekosea ni mwizi makini na si mwanasiasa makini.RA amesema yeye ni mwanasiasa makini na kamwe hababaishwi na wanasiasa uchwara.
Amesema maisha magumu kwa watanzania hayatokani na CCM, bali mfumo wa kidunia unaoendana na hali halisi ya sasa.
SOURCE: MWANANCHI PG2
Mfungulie masihitaka