upendo huo wa RA na EL kwao ni upendo wa aina ya nipe nikupe, wale jamaa wakijengewa malambo na majosho mawili ya kunywesha na kuogeshea mifugo wanapiga kura kwa spidi ya kutoka Tengeru kuitafuta Kikatiti Arusha.Msisahau matokeo ya njaa, ujinga na hofu!
Mkuu wananchi wa Igunga ni masikini wa kutupwa!!! Hakuna barabara zaidi ya ile kubwa inyopita barabra kuu!!! Shule duni, huduma za jamii duni eti wanachanganywa na misaada ya mtu kwa mtu toka kwa hilo fisadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.