Rostam Anaweza Kutoa Mlungula Kwa Wamiliki wa WikiLeaks

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
RA ana pesa. Pesa alizochuma kifisadi kutoka kwa WaTZ.

Anaweza kutumia ukwasi wake kuwahonga watu wa WikiLeaks ili wasivujishe siri zilizotajwa na MwanaHalisi la juma hili?

tujadili
 
Athubutu aene kama hata hiyo taarifa ya kutaka kuwahonga haijewekwa hewani. Akijaribu ndo vema haswa!
 
Nganangwa, huyo computer genius Julian Assange hahongeki na 'vijisenti' vya bilioni 185 anavyosubiri Rostam.

Rostam anaweza kuwahonga wajumbe wa mikutano ya vyama ili wachague mgombea/viongzi anaowataka (imetokea), kumtosa asiyemtaka/asiowataka (imetokea), na kuanzisha magazeti/vijigazeti vya kuchafua watu makini (imetokea);

Ila kwa 'jembe' kama Julian Assange wa WikiLeaks hawezi kufua dafu.

Entity ya kwanza kumshawishi kwa fedha ingekuwa Serikali ya Marekani ambayo ndiyo inakuwa the most embarassed na cable hizo zinazokuwa released na wikiLeaks.
Na the US si ndiyo nyumbani kwa dollar?
 
Kwa aina ya wa2 tulionao tz hata wakianika taarifa za kuumiza kiasi gani bado hazitatusaidia kwa sababu tuko so wapole,hatukotayari kuipigania nchi ye2 kwa vitendo.Hana haja ya kuwahonga wikileaks
 
Mkuu kwa nini ahonge? ana shida gani au anamwogopa nani??

Nimekukubali wewe ni mzee wa Philosophy na great thinker! Anamwogopa nani Tanzania mpaka aonge? He is No. One in TZ acha mambo ya CCM kujiita hivyo. Yeye ndiye, Naam akikoa Ikulu inatetemeka. I love Tanzania!
 
huyu alitoa hii ana matatizo ya akili,.CIA,FBI,MI5,MI6 na wengineo mamemshndwa ndo atakua Rostam
 
Back
Top Bottom