Elections 2010 Rostam amvaa Dr. Slaa lakini utetezi wake wamweka pabaya

Mtakafufa na vijiba vya roho!

1.Hiyo barua ya Mwaanza aidha iliandikwa na wajanja wachache wa CCM ili kuwatisha wapiga kura

2.Au imegushiwa

3.Niemkuwa Mfuatiliaji na mshiriki wa siasa muda mrefu,Rais hawezi kuwa mjinga kiasi hicho cha kukutana na watu kwenye hoteli ya Lakairo na kupanga mipango mkibuwa kiasi hiki.Hell No

Mwizi msemeni ili ukweli juu yake Mmsiupotoshe.Nina uhakika RA alikuwa afika kusini kipindi hicho na kuna watu wangu wa karibu walikuwa naye kwenye huo mkutano Jo 'berg!

Inaonyesha ulikuwa unapanick ulpoandika hii post
 
Rostam Aziz amejitetea huku akimnyanyapaa Dr. Slaa kuwa ni mzushi na anazeeka vibaya lakini utetezi wake Bwana Rostam ya kuwa alikuwa Afrika ya Kusini wakati tarehe za hicho kikao cha kupanga mikakati ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi ambacho Dr. Slaa alidai kilifanyika Mwanza chini ya uenyekiti wake JK............

Tatizo kwa Rostam Aziz ni utetezi wake ndiyo unamweka pabaya sana...........

Bw. Aziz ametoa nakala ya pasipoti yake ikionyesha muhuri wa uhamiaji kwa tarehe ileile ambayo ilidaiwa alikuwa Mwanza...lengo hapa ni kuonyesha ya kuwa alikuwa safarini siku hiyo akielekea Afrika ya Kusini.......sasa tatizo ni nini?

Mapungufu ya utetezi wa Mheshimiwa Mbunge wa Igunga ni kuwa ushahidi wake haujitoshelezi hata kidogo kwa sababu zifuatazo:-

a) Pasipoti yake haikuonyesha mihuri ya uhamiaji ya Afrika ya Kusini wakati akiingia huko na akitoka jambo ambalo linaashiria pengine muhuri wa Tanzania kwa siku ya kuondoka ulikuwa umewekwa baada ya hizo tarehe ambazo yadaiwa alikuwa Afrika ya Kusini............

b) Hana ushahidi wa hoteli alizofikia kule Afrika ya Kusini kwa maana ya nakala za risiti ili watakaotaka kwenda kukagua hizo hoteli waweze kufanya hivyo na kujihakikishia kuwa yumo kwenye orodha ya wageni wa hoteli hizi kwenye vitabu vyao vya kumbukumbu..kwa tarehe husika....kama ameghushi vitu hapo atakamatwa............................................................

c) Rostam anadai alikwenda kukutana na wafanya biashara wenzie huko Afrika ya Kusini lakini hajaambatanisha hati za viapo za hao jamaa zake ili kuweka uzito kuwa kweli kuna watu aliokutana nao Afrika ya Kusini na kwa kutofanya hivyo ushahidi wake wa kusemea watu wengine ni ."hearsay".......ambao tunalazimika kupuuza kabisa kuwa ni majungu aliyoyapika yeye mwenyewe.......

d) Mbaya kulikoni yote kwa Mheshimiwa Rostam Aziz hakuonyesha kwenye nakala za pasipoti yake mihuri ya Afrika ya kusini na Tanzania kuonyesha tarehe alizotoka Afrika ya Kusini na kurejea nchini................Tatizo hapa ni nini?...............Kulingana na ushahidi wake mwenyewe Rostam Aziz alipaswa awe bado yuko Afrika ya Kusini lakini sasa yupo nchini hili linawezekanaje?

e) Rostam atuonyeshe nakala za tiketi za ndege ambazo aliondoka nayo hapa nchini kwenda Afrika ya Kusini na ile iliyomrudisha nchini...........hapo ndipo kizazaa kilipo Mheshimiwa............

Yaani anavyo vielelezo vya uhamiaji vya kutoka hapa nchini lakini hana vya kurudi nchini hii ni nini kama siyo uhamiaji imeshiriki kuchakachua kumbukumbu zake kwenye pasi yake ya kusafiria ili kutoa mwanya wa kutoa utetezi wa kumbeza Dr. Slaa ambao hata haonyeshi ya kuwa utetezi huo ulienda darasa lolote...............

Bado tunamwomba Mheshimiwa Mbunge wa Igunga kujibu hizi hoja za kimsingi na kadri atakavyokuwa akiendelea kuzijibu atajifunza ya kuwa....the devil of "pack of lies" is always on the details.................Make my day Mheshimiwa Rostam Aziz.......and be my guest......This rebuttal of yours is no smoking gun, at all!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tatizo watu wa CCM hawawezi kufanya kitu bila kutia magumashi
 
Mtakafufa na vijiba vya roho!

1.Hiyo barua ya Mwaanza aidha iliandikwa na wajanja wachache wa CCM ili kuwatisha wapiga kura

2.Au imegushiwa

3.Niemkuwa Mfuatiliaji na mshiriki wa siasa muda mrefu,Rais hawezi kuwa mjinga kiasi hicho cha kukutana na watu kwenye hoteli ya Lakairo na kupanga mipango mkibuwa kiasi hiki.Hell No

Mwizi msemeni ili ukweli juu yake Mmsiupotoshe.Nina uhakika RA alikuwa afika kusini kipindi hicho na kuna watu wangu wa karibu walikuwa naye kwenye huo mkutano Jo 'berg!

NO LOGIC, NO REASONING!!! Pole
 
Crap
 
rostam aziz amejitetea huku akimnyanyapaa dr. Slaa kuwa ni mzushi na anazeeka vibaya lakini utetezi wake bwana rostam ya kuwa alikuwa afrika ya kusini wakati tarehe za hicho kikao cha kupanga mikakati ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi ambacho dr. Slaa alidai kilifanyika mwanza chini ya uenyekiti wake jk............

Tatizo kwa rostam aziz ni utetezi wake ndiyo unamweka pabaya sana...........

Bw. Aziz ametoa nakala ya pasipoti yake ikionyesha muhuri wa uhamiaji kwa tarehe ileile ambayo ilidaiwa alikuwa mwanza...lengo hapa ni kuonyesha ya kuwa alikuwa safarini siku hiyo akielekea afrika ya kusini.......sasa tatizo ni nini?

Mapungufu ya utetezi wa mheshimiwa mbunge wa igunga ni kuwa ushahidi wake haujitoshelezi hata kidogo kwa sababu zifuatazo:-

a) pasipoti yake haikuonyesha mihuri ya uhamiaji ya afrika ya kusini wakati akiingia huko na akitoka jambo ambalo linaashiria pengine muhuri wa tanzania kwa siku ya kuondoka ulikuwa umewekwa baada ya hizo tarehe ambazo yadaiwa alikuwa afrika ya kusini............

B) hana ushahidi wa hoteli alizofikia kule afrika ya kusini kwa maana ya nakala za risiti ili watakaotaka kwenda kukagua hizo hoteli waweze kufanya hivyo na kujihakikishia kuwa yumo kwenye orodha ya wageni wa hoteli hizi kwenye vitabu vyao vya kumbukumbu..kwa tarehe husika....kama ameghushi vitu hapo atakamatwa............................................................

C) rostam anadai alikwenda kukutana na wafanya biashara wenzie huko afrika ya kusini lakini hajaambatanisha hati za viapo za hao jamaa zake ili kuweka uzito kuwa kweli kuna watu aliokutana nao afrika ya kusini na kwa kutofanya hivyo ushahidi wake wa kusemea watu wengine ni ."hearsay".......ambao tunalazimika kupuuza kabisa kuwa ni majungu aliyoyapika yeye mwenyewe.......

D) mbaya kulikoni yote kwa mheshimiwa rostam aziz hakuonyesha kwenye nakala za pasipoti yake mihuri ya afrika ya kusini na tanzania kuonyesha tarehe alizotoka afrika ya kusini na kurejea nchini................tatizo hapa ni nini?...............kulingana na ushahidi wake mwenyewe rostam aziz alipaswa awe bado yuko afrika ya kusini lakini sasa yupo nchini hili linawezekanaje?

E) rostam atuonyeshe nakala za tiketi za ndege ambazo aliondoka nayo hapa nchini kwenda afrika ya kusini na ile iliyomrudisha nchini...........hapo ndipo kizazaa kilipo mheshimiwa............

Yaani anavyo vielelezo vya uhamiaji vya kutoka hapa nchini lakini hana vya kurudi nchini hii ni nini kama siyo uhamiaji imeshiriki kuchakachua kumbukumbu zake kwenye pasi yake ya kusafiria ili kutoa mwanya wa kutoa utetezi wa kumbeza dr. Slaa ambao hata haonyeshi ya kuwa utetezi huo ulienda darasa lolote...............

bado tunamwomba mheshimiwa mbunge wa igunga kujibu hizi hoja za kimsingi na kadri atakavyokuwa akiendelea kuzijibu atajifunza ya kuwa....the devil of "pack of lies" is always on the details.................make my day mheshimiwa rostam aziz.......and be my guest......this rebuttal of yours is no smoking gun, at all!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hivi wanahangaika nini, kama dr slaa ni mzushi ilitakiwa waziri wa mambo ya ndani mhe lawrence masha ambaye ndiye mgombea wa jimbo la nyamagana na vyombo vya dola vikiwa chini yake aagize vyombo vya dola kuchunguza uhalali wa barua hiyo. Lakini kutokea ilipotoka wakati wa kampeni wamekaa kimya na sasa wanaleta blah blah kibao.
 
Jana nilikuwa najaribu kupitia maandiko fulani kuona ni vp mwizi na jangili anvyoweza kutawala watu wasafi wamwaminio Mungu, nikakutana na mstari mmoja unasema MWENYE NACHO ATAONGEZEWA NA ASIYE NACHO HATA KILE KIDOGO ATANYANG'ANYWA(emphasis is mine). Kilichopo sasa tuangalie tu mbele kila mtu aokoe nafsi yake.

Kama huelewi maandiko ya Biblia kaa kimya............,
 
Mtakafufa na vijiba vya roho!

1.Hiyo barua ya Mwaanza aidha iliandikwa na wajanja wachache wa CCM ili kuwatisha wapiga kura

2.Au imegushiwa

3.Niemkuwa Mfuatiliaji na mshiriki wa siasa muda mrefu,Rais hawezi kuwa mjinga kiasi hicho cha kukutana na watu kwenye hoteli ya Lakairo na kupanga mipango mkibuwa kiasi hiki.Hell No

Mwizi msemeni ili ukweli juu yake Mmsiupotoshe.Nina uhakika RA alikuwa afika kusini kipindi hicho na kuna watu wangu wa karibu walikuwa naye kwenye huo mkutano Jo 'berg!

Sikutengemea kama ungeandika pumba namna hii

Toa uzibitisho wa hili
 
Kinana anafikiri akisema Kikwete alikua wapi sijui Nachingwea na akionyesha article ya gazeti la Tanzania Daima kuprove limesema Kikwete alikua huko basi atakua ameipangua hio barua. Alikosea tu aliposema hatuendi mahakamani. Wengine tukajiuliza WHY?????? Kinana you are trying to be smart but not being clever! 2010 HATUDANGANYIKI!!!!! Teleconference and Videoconference zipo!!!! Na ndio hizo hao wanaokataa hawakuwepo walizitumia kuwepo kwenye huo mkutano.
 
Mtakafufa na vijiba vya roho!

1.Hiyo barua ya Mwaanza aidha iliandikwa na wajanja wachache wa CCM ili kuwatisha wapiga kura

2.Au imegushiwa

3.Niemkuwa Mfuatiliaji na mshiriki wa siasa muda mrefu,Rais hawezi kuwa mjinga kiasi hicho cha kukutana na watu kwenye hoteli ya Lakairo na kupanga mipango mkibuwa kiasi hiki.Hell No

Mwizi msemeni ili ukweli juu yake Mmsiupotoshe.Nina uhakika RA alikuwa afika kusini kipindi hicho na kuna watu wangu wa karibu walikuwa naye kwenye huo mkutano Jo 'berg!

Mkuu Gembe ndiyo maana nimekuwa curious kufahamu ni namna gani hao wahudhuriaji wa huo mkutano walikuwa. Mimi mwenyewe nnaattend meeting huko Chile almost twice in a week lakini hata sijawahi kufika huko. Kampuni nnayofanyia kazi imeinvest hela nyingi katika mradi flani huko.

Ukisoma zile minutes wahudhuriaji tunatajwa. Ofcourse inapokuwa in my case kuna mabano mbele (Video/Tel. Conf.). Sasa ushiriki wa raisi unaweza pia kuwa namna hiyo although kwa bongo lolote linawezekana pia!
 
Huo ushaidi wataupeleka mahakamani.
Ivi SA kuja Tz does it take the whole day?
 
Mtakafufa na vijiba vya roho!

1.Hiyo barua ya Mwaanza aidha iliandikwa na wajanja wachache wa CCM ili kuwatisha wapiga kura

2.Au imegushiwa

3.Niemkuwa Mfuatiliaji na mshiriki wa siasa muda mrefu,Rais hawezi kuwa mjinga kiasi hicho cha kukutana na watu kwenye hoteli ya Lakairo na kupanga mipango mkibuwa kiasi hiki.Hell No

Mwizi msemeni ili ukweli juu yake Mmsiupotoshe.Nina uhakika RA alikuwa afika kusini kipindi hicho na kuna watu wangu wa karibu walikuwa naye kwenye huo mkutano Jo 'berg!

Wewe unaongea utumbo! Nani kakuambia mkwere ana akili mpaka asiweze kufanya hivyo? Halafu ulivyo mpuuzi, Rostam ataingiaje na kutoka South Africa bila passport kuwa na mihuri ya kuonyesha kaingia na kutoka lini? Tatizo sio lako ni kwamba hujawahi kusafiri kwa ndege kwenda nje ya nchi na utaratibu hujui? Na hayo madai yako 1 & 2 ni hisia zako ndio zinakutuma hivyo.
 
Mtakafufa na vijiba vya roho!

1.Hiyo barua ya Mwaanza aidha iliandikwa na wajanja wachache wa CCM ili kuwatisha wapiga kura

2.Au imegushiwa

3.Niemkuwa Mfuatiliaji na mshiriki wa siasa muda mrefu,Rais hawezi kuwa mjinga kiasi hicho cha kukutana na watu kwenye hoteli ya Lakairo na kupanga mipango mkibuwa kiasi hiki.Hell No

Mwizi msemeni ili ukweli juu yake Mmsiupotoshe.Nina uhakika RA alikuwa afika kusini kipindi hicho na kuna watu wangu wa karibu walikuwa naye kwenye huo mkutano Jo 'berg!

Gembe unamzungumzia Raisi gani?Kikwete au??kamani Kikwete basi anawezakufanya kitu kama hicho..ndio maana akawa Raisi tofauti kuliko Raisi yeyote yule Duniani..
 
mnacheza na mafisadi! hadi mhuri wa immigration anaenda kuupata kwa amri yake! duh....kweli tumeisha!!
 
Unakuwaje na uhakika kuwa Rostam alikuwa RSA wakati passport yake haionyeshi stamp ya kuingia wala kutoka Republic of South Africa? Labda unaweza kutuelimisha katika hili maana unaonekana unajua mambo mengi, inawezekana watu wanaopitia VIP lounges hawafuati utaratibu tunaofuata sisi walalahoi. Mimi sijawahi kuona wala kusikia mtu anasafiri anaingia territory nyingine legally bila passport yake kuwekwa Stamp ya kuonyesha kuingia na kutoka kwake, hii ndio mara ya kwanza!
 
Mtakafufa na vijiba vya roho!

1.Hiyo barua ya Mwaanza aidha iliandikwa na wajanja wachache wa CCM ili kuwatisha wapiga kura

2.Au imegushiwa

3.Niemkuwa Mfuatiliaji na mshiriki wa siasa muda mrefu,Rais hawezi kuwa mjinga kiasi hicho cha kukutana na watu kwenye hoteli ya Lakairo na kupanga mipango mkibuwa kiasi hiki.Hell No

Mwizi msemeni ili ukweli juu yake Mmsiupotoshe.Nina uhakika RA alikuwa afika kusini kipindi hicho na kuna watu wangu wa karibu walikuwa naye kwenye huo mkutano Jo 'berg!

Mbona ameshaonyesha kuwa mjinga hata zaidi ya hapo. Hata wataalamu wake nao kuna mahala watakosea na ukweli utajulikana tu. Usidhani ni CCM tu ina secret service.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom