Rostam amgeukia Nape Nnauye

Hivi kwenye ufunguzi wa kampeni sa ccm Nape hakwenda??? daaaa..ninakumbuka leo..Asingeweza kusimama jukwaani na Rost
Tamu
 
mwambieni aje CDM, msimshitue kuwa nimewaambia atajua nyie mwambieni kimya kimya atakuja tuu huku CDM

Sasa akija CDM atakuwa na tofauti gani na Shibuda? Ivi Nape kosa lake au "weakness" zake ni zipi hasa? Kama kweli ni opportunist asiye na malengo au "kilaza" unafikiri akijiunga chama kingine atabadilika? Simfahamu Nape kwa karibu zaidi yakumsoma humu however, I totally agree chama kimemuonyesha yeye si muhimu kama Rostam (in other words chama au ma-boss wake wameshusha value yake kwa kiasi fulani). lakini je yeye kama Nape anauwezo wakuwa kiongozi/mwanasiasa mzuri? Kama the answer is "yes" then nafikiri apewe credit kama Nape kwani chama chochote kile atakacho amua kujiunga tutegemee kuona akifanya hayo hayo anayoyafanya sasa au something close. But if the answer is "no i.e. hana uwezo/kilaza" then sidhani kama anafaa kwenye chama chochote kile cha siasa. Nasema tena: anachotakiwa nikujichunguza he might be in a wrong career/field.
 
Chadema wasichukue left overs... wataleta matatizo kweli... Pesa alizonazo ni za WIZI

Clean hands... no blood money
 
anachotakiwa nape ni kuheshimu maamuzi kama yalitolewa na wakuu wake,kwani jimbo ni mtaji kuliko nape,kwa mtindo huo nape awe mpole mpaka pale uchaguzi utakapo kwisha,

Nape punguza makeke bado tunakuhitaji kama kijana mwenye maamuzi sahihi hivyo kubaliana na maamuzi ili uendelee kutunza heshima na uaminifu ulionao kwa jamii inayokuzunguka
 
....Hivi huyu kilaza Nape anang'ang'ania nini wakati chama kile si chake? anatumia nguvu nyingi kuwatetea CCM na ataakiongea anatia huruma kwa nguvu anayotumia,lakini cha ajabu wenzake hawatambui mchango wake na yeye anakazana kupoteza muda lol!!
 
Chadema wasichukue left overs... wataleta matatizo kweli... Pesa alizonazo ni za WIZI

Clean hands... no blood money

Wote walioko Chadema ni left overs na kama kuna chochote cha kujivunia kutoka kwao then hata hao wanaokataliwa sasa hivi kwa madai kwamba ni left overs basi watakuwa na mchango huo huo. Orodha ya left overs ni ndefu na haianzii kwa Shibuda tu. Wapo akina Kahigi, Rose Kamili, Slaa, Thomas Nyimbo na wengine wengi tu. Infact Chadema wamejijengea reputation ya kuwa ni kimbilio la lfet overs.
 
Unajua dawa YA mjinga ni mjinga mwenzie, Nape anafaa kuwa Chadema sasa hivi kwa umri alionao, maana Chadema ambao ni wanamabadriko wanahitaji watu wa age ya nape, kitendo cha Nape kuwa CCM ni Kosa la jinai kama la wale waliotaka kumnusuru DC WA iGUNGA KUTOKA KTK KICHAPO CHA cdm WAKATI ALIKIUKA AKIVUNJA MAADILI YA KAZI YAKE.
 
ugomvi wa panzi furaha ya kunguru. yetu macho tu katika hili, wakimaliza kuvuana magamba tunawakatakata vipande, tunawachemsha na kuwala kabisa ili waishie choooni wasionekane kabisa. Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzz, pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Nape ni CDM kifikra, kiroho lakini amevaa ngozi ya mbwa mwitu na nimeshamwambia CDM ndio mahala pako sijui kwa nini kapindua baada ya JK kushtukia. Huko CCM Nape unatumika tu kulaza damu na siku utakayo ifuata roho yako basi hakika utakuwa umeyafanya yale marehemu mzee wako alikuusia....
 
There are currently 108 users browsing this thread. (23 members and 85 guests)

POST # 16 :gossip:
ha haaaa haaa..............kwenye hizi siredi za siasa nimegundua kitu kuna wanaoko ambao wanakuja kusoma na kufikisha kwa makavirondo wao hasa hilo kundi la 85 guests
 
ha haaaa haaa..............kwenye hizi siredi za siasa nimegundua kitu kuna wanaoko ambao wanakuja kusoma na kufikisha kwa makavirondo wao hasa hilo kundi la 85 guests
na ndo ukweli mkuu,ila wanarahisisha kufikisha ujumbe haraka
 
Wote walioko Chadema ni left overs na kama kuna chochote cha kujivunia kutoka kwao then hata hao wanaokataliwa sasa hivi kwa madai kwamba ni left overs basi watakuwa na mchango huo huo. Orodha ya left overs ni ndefu na haianzii kwa Shibuda tu. Wapo akina Kahigi, Rose Kamili, Slaa, Thomas Nyimbo na wengine wengi tu. Infact Chadema wamejijengea reputation ya kuwa ni kimbilio la lfet overs.

Mkuu sasa unamaanisha nini? Maana hueleweki kama wote ni left overs au?! Awali umesema wote, kisha unataja baadhi, sas lipi ni lipi!? Jipange kabla ya kuongea!
Anyway it ie very relative to say Wote ni left overs....kwani kuna wanaCHADEMA wengi tu ambao hawajawahi kuwa wanachama wa CCM......
 
Nape anakata tawi alilokalia! Akili na busara ni vitu ambavyo watu wengi ndani ya CCM wanavikosa
 
Sijaona Rostam alipomgeuka Nape!

Ila Nape Kaingizwa Choo cha Kike...

Wamemgeuza Bendera fata Upepo
 
mtaishia ivo ivo kumzushia mara cuf mara ccj..huyu n ccm damudamu...najua cdm mnamtaman aje cdm
Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 12th September 2011
Posts : 52
Rep Power : 21
 
Wote walioko Chadema ni left overs na kama kuna chochote cha kujivunia kutoka kwao then hata hao wanaokataliwa sasa hivi kwa madai kwamba ni left overs basi watakuwa na mchango huo huo. Orodha ya left overs ni ndefu na haianzii kwa Shibuda tu. Wapo akina Kahigi, Rose Kamili, Slaa, Thomas Nyimbo na wengine wengi tu. Infact Chadema wamejijengea reputation ya kuwa ni kimbilio la lfet overs.
Speak sense u creature.
 
Back
Top Bottom