Rostam ajipanga kuikimbia Tanzania; kutimkia Malaysia

Kutokana na Sheria mpya ya BOT ambayo inamtaka kila Mteja aweze kuwasilisha details zake na mapato yake kwa mwaka kupitia Benki yake, ambayo kwayo, ni rahisi kugundua fedha chafu, jamaa ameona ndio mwanzo wa kuumbuka. Na hii issue jamaa ameiona iko likely ku-cease some people's accounts, jamaa ameshastuliwa na vibaraka wake ili asepe mapema kuogopa kufungiwa pesa zake alizotuibia.

hapa penyewe !!!!,watu wataanza kuweka chini ya ardhi
 
Malipo yote yaani daily capacity charges of TZS 152m yalipitia CRDB Plc kisha yakafuata ya Downs of which its our stolen monies worth billion of shillings
 
Rostam Aziz ameziandikia bank za CRDB na NMB ya kutaka kufunga account zake na kutaka kuhamisha fedha hizo katika nchi ya Malaysia, tukio hili lilifanya mameneja wa bank hizo kuomba muda wa kupitia na uhamuzi huo kabla ya kuruhusu kufungwa kwa akaunt hizo, kwani kutokana na kiasi kilichomo ndani ya akaunti hizo ni lazima wapate kibali ya kufunga na kuhamisha kutoka BOT.

Lakini wachambuzi wa mambo wanaliona ni tukio la bwana Rostam kuondoka nchini na kuelekea malaysia, hivyo basi kama Tanzania kuna chochote cha kumuuliza au tunataka kufahamu kutoka kwake ndio wakati muafaka sasa la sivyo zile tuhuma za wizi wa fedha za EPA kupitia Kagoda ndio ushahidi wake unapotea hivyo

Kama hii kweli itakuwa na maana ya RA kusema kwaheri Tanzania na kuelekea Malaysia basi HII INA MAANA YA KWA HERI CCM! Hii ni straight forward wala siyo kitu cha kufikiria. Nitaeleza.

Rostam Aziz amekuwa ni MFADHILI MKUBWA SANA WA CCM kwenye mambo mengi kuanzia Kampeni za Urais,Ubunge na Mikutano mikubwa ya CCM kuanzia Dar mpaka Chimwaga Dodoma. Hivyo basi kwa RA kufunga akaunti zake ambazo naamini zina MABILIONI ya Tshs. na USD basi ni KIFO KWA CCM. Hili wala halitakuwa jambo la kubishana. Time will tell.

Kwa heri RA na buriani Chama Cha Mafisadi!

Kigumu Chama Cha Mafisadi-CCM na ni ngumu Fikra za Mwenyekiti Kiwete!
 
Now you are talking!
Lakini mkuu, hii move inaweza ikawa swala la kuhamisha sehemu ya fedha za CCM kwenda nje ya nchi.
These guys are clever...............share za Voda hizo mkuu!

Taarifa za ndani zinaonyesha kuwa

1. Fedha za Rostam zimekuwa zikipitia mabenki ya Marekani ..then uarabuni kwa jina lake na uthibitisho wa kila fedha alikoipata.
2. Lengo la kucheza na matawi ya benki zinazoendeshwa na policy za marekani hapa nchini ni kuzisafisha fedha zake
3. CCM haimo, haina chake, Nappe na rais ajaye watajua watakakokuwa wanakopa

kiuchumi YES, uchumi utatikisika. Lengo la kuchukua fedha kidogo kidogo linalenga kutotokea mtikisiko wa uchumi
 
Mlioko jikoni wekeni hadharani hapa tujue ni shillingi ngapi hizo? Au hata ni percent ngapi ya pesa mlizonazo in total?
 
Ndio tatizo la wafanyabiashara tena wachache kua na fedha nyingi kuliko serikali. Lolote waliamualo serikali lazima itii. Kwa mantiki yenu mwadhani JK anaweza kumzuia RA katika jambo lolote lile? Uchumi utayumba tena sana tu na kunusuru hali isiwe mbaya zaidi kabla ya 2014 tunaweza chapisha noti mpya ili serikali iwe na fedha za kutosha kusimamia shughuri na miradi yake. Nchi imeshaharibika sana kiuchumi
 
Rostam anakesi nzito ya kujibu ni raia wa kigeni aliyekuwa anawekeza kiujanja sasa tunaanza kumkata kodi zote ngojea nikafukue ile post yangu niliyosema kuwa alikuwa anatakiwa alipe kodi ya mabaillion afisa wa TRA aliye tathimini biashara zake alifukuzwa kazi akaendelea kulipa kiduchu
 
Aondoke. Lakini laiti tungelikuwa na Rais "Msafi" angelimtia hatiani mtu huyu, mali zake zingelikamatwa na kunadiwa kabla ya kutokomea Malaysia. Maskini Tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
Uzumbukuku mwingine! Rais si Jaji ama mahakama ambayo ndiyo inayomtia hatiani ama kumsafisha mtuhumiwa anayeshtakiwa. Kama una mashataka dhidi yake na una ushahidi maridhawa mfikishe mahakamani ambako ndiko wanakutiwa hatiani wanaokutwa na hatia.
 
Mifedha ya RA iliyopo hizo benki ni kama vijisenti tu. Hilo jamaa lina hela wewe hapana mchezo.

Huyo mbona tayari ana mabiashara dunia nzima.
 
Akiondoa kiasi hicho cha pesa lazima uchumi wa nchi uyumbe
 
Rostam Aziz ameziandikia bank za CRDB na NMB ya kutaka kufunga account zake na kutaka kuhamisha fedha hizo katika nchi ya Malaysia, tukio hili lilifanya mameneja wa bank hizo kuomba muda wa kupitia na uhamuzi huo kabla ya kuruhusu kufungwa kwa akaunt hizo, kwani kutokana na kiasi kilichomo ndani ya akaunti hizo ni lazima wapate kibali ya kufunga na kuhamisha kutoka BOT.Lakini wachambuzi wa mambo wanaliona ni tukio la bwana Rostam kuondoka nchini na kuelekea malaysia, hivyo basi kama Tanzania kuna chochote cha kumuuliza au tunataka kufahamu kutoka kwake ndio wakati muafaka sasa la sivyo zile tuhuma za wizi wa fedha za EPA kupitia Kagoda ndio ushahidi wake unapotea hivyo
Anakimbia keshaona ccm inayomlinda haina uhakika wa kuendelea kutawala. Jamaa mjanja saanaaaaaa, anaona miaka 5 ijayo kama wewe unavyoona dakika 2 zijazo. si mchezo
 
Weka source ya hii habari. Mtu haitwi mhalifu mpaka apatikane na hatia mahakamani. Ikiwa anataka kuhamisha pesa zake basi ni sawa BOT itangalia kama anayo haki au la.
 
afadhali bana......lowasa abaki peke yake na mijhela yake michafu......na mitamaa yake ya madaraka
 
Back
Top Bottom