Rostam ajipanga kuikimbia Tanzania; kutimkia Malaysia

Dr Harry Mwakyembe aliwahi kuwaambia watanzania siku moja kwenye ukumbi wa Maelezo, na kilichotokea pale ni wale waandishi uchwala waliokuwa wametumwa na mtu asiyekuwa na uchungu wa nchi hii (Rostam) wakawa wanamuuliza maswali ya kejeli mwakyembe kisa njaa zao ambazo kila nikiwaona njiani wanaona aibu na hili la rostam kuondoka ni aibu ya pili kwao kwa kumlinda na kalamu zao mtu mchafu na mwizi na mwenye miguu mitatu huko nje kama alivyosema mwakyembe.

sasa leo yanatimia je hao waandishi mtaandoka na nyie kisa mliajiliwa na mtanzania au mtafia hapa na huyo mwakyembe?

kuna siku itafika watu kama nyie tutawapiga bastola maana ndio mliandika uongo na hamkusema kweli kuwa rostam ana passport tatu ingali mkijua

Mwakyembe alisema nini mbona hujaeleza????
 
Nina mashaka na hii habari, imepatikana wapi?, we unavyomjua rostam ni mtu wa kutaka kufunga accounti yenye fedha nyingi?, ameshindwa kuhamisha zote akabakiza laki ya kufia humo mpaka account iwe domant?, hakuna ukweli hapa labda sio Rostam Aziz ni Rostam mwingine! kasome vizuri barua na ikibidi weka copy hapa ndio utanishawishi!

Wewe ni mmoja wa watu walioamini kuwa EPA ilikuwa ni uzushi tu, lakini si unakumbuka kilichokuja kujulikana baadae. Endelea kuishi kama uko kisiwani, utakuwa mtu wa kutojua hata kinachokuzunguka
 
sema yote kuwa

1. theluthi ya fedha zilizoko uko benki ni za Rostam
2. kuwa akine kimei walifunga safari kumfuata ughaibuni kumuomba abadilishe uamuzi wake akakataa
3. alichowasadia ni kuwa atazitoa fedha kwa awamu
4. anai-ondoa na kampuni yake ya caspian ambayo makao yakemakuu ni uarabuni

Waberoya you sound so certain bro!

Wamemuudhi nini king maker wetu??
 
Rostam aziz, moja ya watu hatari kwa taifa, aliechangia kuyumbisha nchi na serikali, the masterminder of dubious deals crime, forgery and dirty money, anajiandaa kutoroka na mabililion ya watanzania. Wazalendo mko wap? I cant wait!
Nipeni contacts zake nim-PM sasa hivi
 
Wakuu, sidhani kama kuna mtu anatetea mafisadi ambao wakukwapua uchumi wetu..

Tunajadili hii habari ina ushahidi wa kujitosheleza mpaka tuamini kweli Rostam kafunga hizo account zake!

Muanzisha hii thread ingekuwa vizuri kama angeweka copy ya barua hiyo pamoja na kututajia jina la benki ya huko Malaysia.

JF kuna Great Thinkers sidhani kama wanaweza kujadili Gossip.
 
Huyu jamaa hawezi kuguswa,au mmesahau hizo pesa za EPA ndo ziliingiza CCM madarakani.Kwa namna moja au nyingine ccm wamefaidika nazo so kiukweli hawawez kumfanya lolote wanaogopa kuumbuka
 
zipi mkuu au ile panafrica energy maana ni yake pia na ofisi zake zipo jengo la rostam mirambo 50
 
mkuu, jf sio sehemu ya porojo wala kijiwe cha mbege! Kwa hiyo unapoleta data zako humu jf kwa great thinkers lazima uwe na facts za kutosha.

Sio kuokota maneno mitaani na kwenye magazeti ya udaku ndio ushahidi wako..

Ebu weka hiyo barua ya rostam aziz, humu jf tuione ndio tujadili zaidi ya hapo tutakuwa tunajadili umbeya!

kweli bangi ya magamba ni kali sana, yaani imekulewesha kiasi hicho ritz? Pole sana
 
Rostam aziz, moja ya watu hatari kwa taifa, aliechangia kuyumbisha nchi na serikali, the masterminder of dubious deals crime, forgery and dirty money, anajiandaa kutoroka na mabililion ya watanzania. Wazalendo mko wap? I cant wait!

Hizi nazo ni zile za ki-intelijensia ama?????? Jaribu kum-PM Jk umpe hiyo habari.
 
Lazima ubabe utumike kama wanavyofanya RWANDA,UGANDA na CHINA,huyo jamaa nikumuweka ndani kama Lyumba halafu kesi iwe inapigwa kalenda kama kawaida atleast 15 years! Halafu huo mkwanja ukopeshwe kwenye SACCOS mbalimbali wenye plan nzuri ya UJASIRIAMALI ili tupate profit bila RIBA kuziba hasara itakayo tokea pale atakapo toka mahakamani au TISS wafanye kazi yao kwa kumugeuzia kibao cha kulisha sumu jinsi walivyotumwa kufanya maangamizi ya innocent people.......
 
Rostam aziz ndiye the real gavana wa BoT.....lakini pia huyu ndiye mkuu wa wale sita wenye uwezo wa kuweka mtu madarakani kama walivyomuweka huyo rais wenu.....rostam aziz ni mfanya kazi wa CIA na sasa CIA wanam-write off kikwete baada ya kuona ni mtu wa ajabu na mzigo.......rostam alishamaliza kazi aliyotumwa hapo Tz na hao CIA....na ameifanya kazi yake kwa ufanisi mkubwa sana....kwa kuwa kikwete ni mtu wa majungu na hafikilii rostam ataondoka huko na kufunga account zake bila shida maana ana meno makali na huyo rais wenu ni kibogoyo......


rostam ameiibia tanzania kwa kias kikubwa sana...lakini kwa kuwa ndiye ''the archtect'' hakuna wa kumgusa... Rostam ana uwezo mkubwa na anaweza kumgeuza huyo rais wa nchi ya Tz kama chapati kwenye kikaango....hakikisheni kama kweli huyo mtu anafunga akaunti zake hakikishe mnazuia pesa zake zote zisitoke maana zote ni zenu aliwaibia.......

huyu rostam ndiye aliyetoa order akishirikiana na rais wenu ya kutangazwa wengine kuwa wamekufa kumbe wako hai na buheri wa afya.....
 
Lazima ubabe utumike kama wanavyofanya RWANDA,UGANDA na CHINA,huyo jamaa nikumuweka ndani kama Lyumba halafu kesi iwe inapigwa kalenda kama kawaida atleast 15 years! Halafu huo mkwanja ukopeshwe kwenye SACCOS mbalimbali wenye plan nzuri ya UJASIRIAMALI ili tupate profit bila RIBA kuziba hasara itakayo tokea pale atakapo toka mahakamani au TISS wafanye kazi yao kwa kumugeuzia kibao cha kulisha sumu jinsi walivyotumwa kufanya maangamizi ya innocent people.......
 
Akisha ondoka kasfa zote watamuelekezea yeye na si Muda tutambiwa kafa na hakuna anyeruhusiwa kumuona na anazikwa huko huko .....Ngojeni tuone.
 
Back
Top Bottom