Rostam aibukia kanisani!

hata kama ameamua kurudisha fedha zetu, kwa nini arudishe 'kiaina' kama anavyosema kana ka nsungu! na nani hapa anastahili kuombewa, nchi au watu wa aina yake?
 
Hivi Kanisa Lisipopokea Fedha Haramu Kama Za Kuyu Fisadi, Hiyo Kwaya Itashindwa Kuimba Na Kumtukuza Bwana Wa Majeshi?
 
Kama ni hivyo asilimia 99% hatutakiwi kutuoa zaka kanisani

Kama sikosei makanisa ya kikristu hayatambui ufisadi mdogo ama mkubwa kwa namna nyingine msema uongo,mchonganishi,mzinzi mwivi kama RA hukumu ni ileile.

mpinga ngono ama fisadi hukumu ni ile ile SASA kipimo unachompimia mwezako ndicho hichohicho nawe utamiwa.

AZIZI ni FISADI wasema zaka yake ikataliwe je WEWE MZINZI,MLAFI,MWONGO zaka yako ikubaliwe.

NA tena ULE WENU ni Kheri uwe baridi ama moto kuliko yule wa vuguvugu.
 
Kama ni hivyo asilimia 99% hatutakiwi kutuoa zaka kanisani

Kama sikosei makanisa ya kikristu hayatambui ufisadi mdogo ama mkubwa kwa namna nyingine msema uongo,mchonganishi,mzinzi mwivi kama RA hukumu ni ileile.

mpinga ngono ama fisadi hukumu ni ile ile SASA kipimo unachompimia mwezako ndicho hichohicho nawe utamiwa.

AZIZI ni FISADI wasema zaka yake ikataliwe je WEWE MZINZI,MLAFI,MWONGO zaka yako ikibaliwe.

NA tena ULE WENU ni Kheri uwe baridi ama moto kuliko yule wa vuguvugu.

Kama wewe pia unafanya ufisadi basi hustahili kutoa zaka kanisani. Wengine vipato vyetu vinatokana na shughuli ambazo ni za kihalali hatumwibii wala kumdhulumu mtu yeyote, ndiyo maana tunapata jeuri ya kutaka kanisa liache unafiki na kurudisha pesa hizo za fisadi Rostam Aziz.

Sioni sababu yoyote ya wewe kumtetea huyu fisadi, ambaye ufisadi aliofanya unawaathiri Watanzania wengi kwa namna moja au nyingine.
 
Kanisa lishinikizwe lirudishe hizo pesa za fisadi haraka sana, juzi juzi tu makanisa yalikuwa yanakemea mafisadi na ufisadi na kutaka JK awashughulike mafisadi. Leo wanatizama pembeni na kuchukua pesa kutoka kwa fisadi. Viongozi wa Kanisa hilo waache unafiki na kuzirudisha pesa hizo haraka sana au wazipeleke kwenye vituo vya watoto yatima.

Labda ni mshahara wake je? au ndio tumefikia mahali kwa kuwatenga kabisa katika jamii? basi na huduma zake au za kampuni/shirika nazo zikataliwe katika jamii.
 
ewaaa mama, labda tuestablish kwani yeye dini gani kwanza? Huenda ni muumini wa KKKT?

naogopa kuingia kwenye udini, kwi kwi kwi.....by the way si unajua ni rafiki yake wakuvanga?labda alishahamishia majeshi huko KKKT? au anataka kudilute effect ya udini kwenye CCM na kuamua kuwa mpendwa?
 
Kuna Mwenye Simu Ya Askofu Dr Malasusa! Huyu Askofu Anachukia Sana Ufisadi, Na Kama Zimetolewa Kkkt Manake Ni Kwenye Himaya Yake. Tumpigie Tumpe Live Kuwa Hili Halikubaliki

Mwikimbi,

Kama Malasusa angekuwa ni mchukia Ufisadi, asingekubali kufanyiwa karamu ya watu 500 na Lowassa pale alipochaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT.

Asingekubali kwa mtoto wa Lowassa kupandikizwa katika Kanisa lake Kuu Azania Front kama Mzee wa Kanisa.

Angemfukuza Chaplain wa Azania Front Ernest Kadiva "aliyeuziwa" gari la thamani ya zaidi ya Milioni 25 na Lowassa kwa Millioni 5 baada ya Uchaguzi 2005 na kumpa Freddy Lowassa Uzee wa Kanisa.

Angekemea mafisadi walioko katika nyumba za Ibada katika Dayosisi zote tena wale ambao ni Wanasiasa na Wafanyabiashara na kukataa kupokea Sadaka zao au hela za Mavuno!

Kwa Malasusa kushindwa kuachana na "wafanyabiashara na wanasiasa" wachafu, kunaleta picha chafu katika Kanisa.
 
Labda ni mshahara wake je? au ndio tumefikia mahali kwa kuwatenga kabisa katika jamii? basi na huduma zake au za kampuni/shirika nazo zikataliwe katika jamii.

Fisadi ni fisadi akishafanya ufisadi dhidi ya nchi basi sehemu za kuabudu kama makanisa na misikiti inabidi navyo viwatenge watu hao ili kuimarisha mapambano dhidi ya ufisadi. Hakuna yeyote anayejua kwamba pesa hizo zinatoka kwenye mshahara wake au ni za ufisadi, lakini kitendo cha yeye kufanya ufisadi kinatosha kabisa kususia pesa zake hata kama ni za mshahara wake.
 
Hapa jamani kweli ni kwenye mtego

Upande mmoja, yeye bado ni mtuhumiwa tu,

upande mwingine kuna hisia kuwa huyu bwana kachangia kweny ufisadi na hivi 'anavotajwa tajwa' kila mahali nahisi watu wamedevelop ile hatred

vinginevyo ningetoa wito KKKT wazirudishe hizo fedha mara moja!
 
Kama wewe pia unafanya ufisadi basi hustahili kutoa zaka kanisani. Wengine vipato vyetu vinatokana na shughuli ambazo ni za kihalali hatumwibii wala kumdhulumu mtu yeyote, ndiyo maana tunapata jeuri ya kutaka kanisa liache unafiki na kurudisha pesa hizo za fisadi Rostam Aziz.

Sioni sababu yoyote ya wewe kumtetea huyu fisadi, ambaye ufisadi aliofanya unawaathiri Watanzania wengi kwa namna moja au nyingine.

Na tena OLE wao wajifanyao watakatifu machoni pa watu maana thawabu yao imeshakwisha andaliwa.
 
Mnakumbuka A Bible Story, Wakati Akina Mitume Walipokuwa Wanatoa Mapepo Na Kukemea Mashetani, Akatoka Mtu Mmoja Akataka Kununua Kipaji Hicho Kwa Pesa? Rostam Anatak Kulinunua Kanisa, Kama Alivyowanunua Akina Makamba, Chitaliko, Serukamba, Jk, Mamvi N.k

Kamwe Aiachwe Akaikebehi Madhabahu Ya Bwana Wa Majeshi, Kwa Visenti Vyake Vya Ufisadi

ALA!
Sasa kumbe viongozi wa dini walisikiliza shauri za vichaa kama kina JMUSHI?
Duh!
Wakati wa Mungu ni wakati wa Mungu tu!
Maana nilianzisha thread hapa na kusema viongozi wa dini watoe mwongozo kwa waumini wao ili kuuzika utumwa!
Sasa Rostam kenda fanya nini humo?
 
Kama Rostam alikuwa na nia ya kweli kusaidia, kuna masikini wengi ambao hawana Kanisa au Msikiti ambao wanahangaika kila siku kutafuta mahali pa kula na kulala.

Kama Rostam alikuwa na nia ya kusaidia jamii, angekuwa mkweli na kuliambia Ukweli wa yaliyotokea Richmond na kwingineko ambako yeye ni Mtuhumiwa ambako tunaambiwa alifumbwa mdomo na Chama.

Je ahadi ya Mwanachama wa CCM si inasema "Nitasema Kweli Daima, Fitina kwangu Mwiko"? je amelifanya hilo?

Alichofanya Rostam ni sawa na wale Mafarisayo, Wafanyabiashara na Makuhani ambao walikuwa wanajitukuza kwa utajiri wao na uwezo wa kutoa Zaka kubwa na nono huku matendo yao na nyoyo zao zimejaa Uchafu.
 
Kama wewe pia unafanya ufisadi basi hustahili kutoa zaka kanisani. Wengine vipato vyetu vinatokana na shughuli ambazo ni za kihalali hatumwibii wala kumdhulumu mtu yeyote, ndiyo maana tunapata jeuri ya kutaka kanisa liache unafiki na kurudisha pesa hizo za fisadi Rostam Aziz.

Sioni sababu yoyote ya wewe kumtetea huyu fisadi, ambaye ufisadi aliofanya unawaathiri Watanzania wengi kwa namna moja au nyingine.

Exactly mfano wa YESU.
Bwana mmoja alienda kuomba hekaluni akisema tazama bwana mimi mtiifu ,napata kipato kihalali ,tazama nakutolea Zaka kubwa kila wiki.

Na mwingine aliyehesabiwa haki aliomba Tazama bwana mimi nimkosefu mzinzi ,mtu wa dhuluma,muaji mfanya mabaya yote naomba Nirehemu

Yesu alisema hakika nawaambieni huyu jambazi wa pili kahesabiwa haki mbinguni.
 
naogopa kuingia kwenye udini, kwi kwi kwi.....by the way si unajua ni rafiki yake wakuvanga?labda alishahamishia majeshi huko KKKT? au anataka kudilute effect ya udini kwenye CCM na kuamua kuwa mpendwa?

ssssshhhh.....unajua mama, hawa watu nadhani wako tayari kutumia kila walicho nacho kijisafisha..changamoto ni kwa wale watakaogeuzwa kuwa 'sabuni' na wakakubaliana na hilo!
 
Exactly mfano wa YESU.
Bwana mmoja alienda kuomba hekaluni akisema tazama bwana mimi mtiifu ,napata kipato kihalali ,tazama nakutolea Zaka kubwa kila wiki.

Na mwingine aliyehesabiwa haki aliomba Tazama bwana mimi nimkosefu mzinzi ,mtu wa dhuluma,muaji mfanya mabaya yote naomba Nirehemu

Yesu alisema hakika nawaambieni huyu jambazi wa pili kahesabiwa haki mbinguni.

Tuache udanganyika! Kanisa limekosea hapa na lazima kanisa tulifahamishe hivyo, kwamba hamuwezi kumkemea mtenda dhambi ambaye dhambi alizozifanya zimewaathiri Watanzania wengi wakiwemo waumini wa kanisa hilo. Halafu kanisa linageuka na kuchukua pesa kutoka kwa huyo huyo mtenda dhambi. Ni unafiki na undumila kuwili wa hali ya juu.
 
Somo la Yesu limepinda au umelipindisha.

Kwa nini yule mtiifu, mtoa zaka, alizozipata kihalali asihesabiwe haki mbinguni zaidi ya Jambazi aliyetubu?
 
Somo la Yesu limepinda au umelipindisha.

Kwa nini yule mtiifu, mtoa zaka, alizozipata kihalali asihesabiwe haki mbinguni zaidi ya Jambazi aliyetubu?

Mambo ya kiroho ni magumu sana

DHAMBI zote zasameheka isipokua tu ile ya kumdharau ROHO MTAKITIFU

Enyi watu wa mataifa jiepusheni na kutoa HUKUMU maneno yenu yawe NDIYO ama HAPANA.

HAkika nakuambieni yeyote atayesabisha kati ya wadogoo hawa kutenda dhambi yamfaa afungewe Tufe shingoni na atupwe ktk kina kirefu cha maji.
 
Tuache udanganyika! Kanisa limekosea hapa na lazima kanisa tulifahamishe hivyo, kwamba hamuwezi kumkemea mtenda dhambi ambaye dhambi alizozifanya zimewaathiri Watanzania wengi wakiwemo waumini wa kanisa hilo. Halafu kanisa linageuka na kuchukua pesa kutoka kwa huyo huyo mtenda dhambi. Ni unafiki na undumila kuwili wa hali ya juu.

Yesu asema sikuja kuwaita watu wenye haki bali wenye DHAMBI
 
Ni lile anaposali Spika Samwel Sitta... (KKKT Kinondoni).
Aichangia kwaya Tshs Milioni 7...Amalizia na kuwaomba waumini kuiombea nchi kwani iko kwenye kipindi kibaya cha watu kutafutana uchawi na kuonesha hali si shwari nchini.
Zaidi tusubiri kutoka vyombo vya nyumbani kwani walikuwepo wengi. Wasipoandika tutaandika!

Pesa mwanaharamu kweli kweli, pamoja na ufisadi, lakini pesa yake tamuuu!!!
 
Rostam Ni Muislam Huu Ni Unafiki Analake Jambo Anatoa Rushwa Kumba Spika Kwa Mlango Wa Nyumba.wana Kkkt Chukueni Hela Hiyo Mungu Kampa Uwezo Wakuja Kuleta Hela
Anajipendekeza Kwa Spika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom