Rosemary Mwakitwange ampinga Sophia Simba

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Rosemary Mwakitwange amewasihi wanawake kushiriki maandamano ya amani kwa kuwa katiba inaruhusu. Amewaomba wanawake kushiriki katika siasa kwa kuwa maamuzi ya kisiasa yana yanagusa nyanja zote za maisha.

Zaidi ya hapo amesema wanawake hawapaswi kumsikiliza mtu yeyote awe mwanaume au mwanamke mwenzao atakaye washauri wasishiriki kwenye maandamano au siasa.

Siku kadhaa zilizopita Sophia Simba alinukuliwa akiwashauri wanawake wasiandamane kwa kuwa wao wana kazi nyingi hivyo wawaachie wanaume ambao hawana kazi nyingi.

Source: Wanawake live EATV
 
ni sahihi kabisa mama rosemary mwakitwange yuko right, watu wote wanawake, wanaume,vijana, wanayo haki ya kushiriki maandamano na kuhudhuria mikutano ya siasa kadiri utashi wao unavowatuma maadamu tu wasivunje sheria. mama simba sijui marufuku yake kwa akina mama ilimaanisha nn.
 
Si kushiriki na kudhuria tu bali ikibidi hata kumwajibisha na kusitisha ajira ya yule waliyemwajiri kusimamia rasilimali zao, na ikilazimu hata kabla ya wakati muafaka unaokubalika kikatiba.

Ikiwa tunataka kubadili sheria ya manunuzi ya umma ili kuibeba Dowans, kwanini tusibadili katiba na sheria za nchi ili kuiokoa nchi!!!!!! Tukishindwa sana tutumia ile hukumu ya umma.......Wananchi wenye hasira kali.....
 
Rosemary Mwakitwange amewasihi wanawake kushiriki maandamano ya amani kwa kuwa katiba inaruhusu. Amewaomba wanawake kushiriki katika siasa kwa kuwa maamuzi ya kisiasa yana yanagusa nyanja zote za maisha.

Zaidi ya hapo amesema wanawake hawapaswi kumsikiliza mtu yeyote awe mwanaume au mwanamke mwenzao atakaye washauri wasishiriki kwenye maandamano au siasa.

Siku kadhaa zilizopita Sophia Simba alinukuliwa akiwashauri wanawake wasiandamane kwa kuwa wao wana kazi nyingi hivyo wawaachie wanaume ambao hawana kazi nyingi.

Source: Wanawake live EATV

Sofia simba anatakiwa afanyiwe psychotherapy.
 
Maneno ya dada rose yanamashiko, yanaelimisha na kuwakumbusha wamama kuondokana na fikra za kupendelewa, wawajibike kwa mujibu wa katiba.
 
Si kushiriki na kudhuria tu bali ikibidi hata kumwajibisha na kusitisha ajira ya yule waliyemwajiri kusimamia rasilimali zao, na ikilazimu hata kabla ya wakati muafaka unaokubalika kikatiba.

Ikiwa tunataka kubadili sheria ya manunuzi ya umma ili kuibeba Dowans, kwanini tusibadili katiba na sheria za nchi ili kuiokoa nchi!!!!!! Tukishindwa sana tutumia ile hukumu ya umma.......Wananchi wenye hasira kali.....

Si khudhuria na kushiriki bali ni lazima wahakikishe maandamano hayo yanafuata taratibu zote za kisheria katika kuitishwa kwake na kusiwepo na chembe chembe za uvunjifu wa amani na katiba ya nchi.
 
Mtu mmoja aliniambia kwamba sehemu kubwa sana ya wanawake walioolewa wanaongea maneno yenye busara sana, lakini wasioolewa ni chukizo kila wanapokuwapo.

Kumbe nikatambua mwanaume ni dawa muhimu sana ya utulivu wa mwanamke. Heri Simba angefanya bidii kupata mume atakayempa dose kila inapohitajika, sio kutegemea dozi ya kuipata kwa kubahatisha.
 
Angewashauri pia kuwa waache kupiga kura kwa kuangalia sura ya mgombea baada ya kupokea vijizawadi vya kanga, chumvi, Tshirt na kofia. Angewashauri wajitokeze kupigia kinamama wenzao ili kuwe na wawakilishi wengi wanawake kutoka majimboni.

Labda mambo yatabadilika kwani wanaume wameshatekwa na ufisadi na wameshindwa uongozi.

Mwisho angewakumbusha kina mama wanaweza bila ya kuwezeshwa kwa sababu huku kuwezeshwa ndio kunawaweka nyuma na kuwafanya watumike kama vyombo vya kuwaweka viongozi mafisadi madarakani.
 
rosemary ni mpiganaji. ana upeo mkubwa ndio maana ana uthubutu wa kuongea haya. na siku zote siyo mtu anaesubiri kubebwa, na huwa hayumbishwi. wale wanaobebwa bebwa usishangae hata wakampinga!!
 
Sophia Simba huwa simwelewi.
Katika matukio mengi akiwa anaongea huwezi mtofautisha na mwanamama (baadhi) wa huku uswazi kwetu ambaye elimu yake kuuubwa ni std 7 alafu hana exposure.

Juma lililopita alikuwa anahojiwa na BBC kuhusu siku ya wanawake....... AIBU TUPU!!!!!!

Hivi hao wanaomwajiri wanatumia kigezo gani??????????????
Au mimi nakosea labda utendaji ni mzuri kuliko kuelezea jambo??????

Nijulisheni wanaJF mnaomfahamu zaidi ili nijiridhishe au nibadili mtazamo wangu kwake kuwa ni "Kilaza" anayebebwa kwa jambo ambalo anafanya au aliwahi kufanya.

Nawasilisha
 
Nchi ya Tanzania iatjengwa na watanzania wenyewe pasipo kubagua huyu ni mwanamke na huyu ni mwanaume!!! kama maandamano yanahusu kujenga nchi yetu au yana manufaa kwa nchi yetu wote tutasimama.

Sidhani kama zama na nyakati hizi bado kuna wanawake wanamsikiliza Sophia Simba ( mropokaji) tangia nimemfahamu huyu mama sijawahi kusikia pointi iliyoongelewa naye.

Nawahurumia sana watoto wake coz siju wanajifunza nini kutoka kwake zaidi ya ushangingi wa mjini!!! ( samahani sana kwa lugha kali) ni uchungu tu.................
 
si khudhuria na kushiriki bali ni lazima wahakikishe maandamano hayo yanafuata taratibu zote za kisheria katika kuitishwa kwake na kusiwepo na chembe chembe za uvunjifu wa amani na katiba ya nchi.

amani ipi tuliyonayo............

Katiba ipi tuliyonayo............
 
babu wa Loliondo kapooza machungu yetu yote ya ukali wa maisha.... du ama kweli bongo.. vyombo vya habari navyo vimeacha kutukumbusha machungu ya kiuchumi na kuhamia Loliondo.. Jamani Jamani jamani.

JK anakula shushu tu nje watu wake tunakufa.. this make no fukin sense......
 
Ndio inayokuongoza na lazima uifuate utake usitake.

Kinyume chake muulize Godbless Lema wa Arusha atakueleza.

Siku moja yatatokea kwako, kama siyo kwako kwa mkeo, mama au baba yako kisha tutawafuata kuwauliza.

Kwa haya ya Arusha, hatuna haja ya kumuuliza Lema kwani alishatueleza kwa maandishi kupitia Bungeni
 
Mtu mmoja aliniambia kwamba sehemu kubwa sana ya wanawake walioolewa wanaongea maneno yenye busara sana, lakini wasioolewa ni chukizo kila wanapokuwapo. Kumbe nikatambua mwanaume ni dawa muhimu sana ya utulivu wa mwanamke. Heri Simba angefanya bidii kupata mume atakayempa dose kila inapohitajika, sio kutegemea dozi ya kuipata kwa kubahatisha.

Mimi natafuta mke wa pili, ani PM tupange
 
Back
Top Bottom