Msaada wenu wakuu, naomba kujuzwa Rosemary kwa Kiswahili ni nini?? Nimejaribu ku search sikufanikiwa
Wakuu sina maana ya jina la mtu, niliambiwa kuwa ni aina ya mboga ya majani, kwa hiyo ningependa kujua aina hiyo ya mboga kwa kiswahili ni nini
Asante mkuu....lakini bado naona sijapata jibu hii kitu kwa kiswahili inaitwaje???Ungesema hivyo toka mwanzo usingeleta mtafaruku, kwa Kiswahili kusema kweli siijuwi jina lake, ni hii hapa:
Rosemary is one of those wonderful herbs that makes a beautiful ornamental plant as well as a welcome culinary seasoning. Its Latin name, Rosmarinus officinalis, means "dew of the sea" and rosemary is most closely associated with the cooking of the Mediterranean area. However you don't need perfect sunshine, sea mist or even a never ending summer to successfully grow rosemary. In fact, more rosemary plants suffer from too much attention than from too little.
Kama ni mtu mwite tu dada ama binamu ama shangazi. Kama ni viungo vile vya Wazungu sema tu aina ya viungo vya Ulaya. Hata wazungu hawana maneno kama ugali badala yake wanaita "stiff porridge". Huwezi kuwa na jina la kitu ambacho hauna na kwa hiyo haukijui.Msaada wenu wakuu, naomba kujuzwa Rosemary kwa Kiswahili ni nini?? Nimejaribu ku search sikufanikiwa
Ukienda sokoni Kariakoo yanaitwa hivyo hivyo "rosemary".Asante mkuu....lakini bado naona sijapata jibu hii kitu kwa kiswahili inaitwaje???