Rose uu wapi?? am missing u!!

Mpwa anamtafuta mke wa mtu kwa spidi ya ajabu sana, ni bure tu? mmmhh hope so!
 
Wooow! :whoo:thats my babe! watu ee yupo Honeymoon, mara ooo tulimuona sijui wapi kule na kule! mi sikuwasikiliza bana, nilijua tu upo busy laaziz! thanks kwa dedication, sasa mtima wangu utatuliza ball sbb ki kweli nilikumisso! hebu kamata kwanza hii dedication wakati napata jani> STILL IT UP By Bob Marley.

dah sijui umejuaje km napenda i kitu
...just me n u common stil t up.....dah napenda mistari yake....!!!!!!
m here ntakuwekea majan mengine kwenye uji so UTAKUNYWA UJI WA KINGSTONEEEEEEEEEE ....siyo wa kndon tena!!!!!!!
 
sasa si umweleze tu Ras ukweli, ulikuwa wapi jameni?kumbuka tulikuwa busy mimi na wewe kuandaa ule mkutano siku 2 tu!
hizo days nyingine sijui ulikuwa na nani?jitetee

Bacha please! please! wacha kutaka kutuchonganisha aisee, mimi na yeye tumeshibana ati! hata nikimkuta na zile wanaita sijui nini?? na nini?? kwenye mkoba kama ile thread kule ya yule jamaa na mkewe mi namuamini bana!. Big up mama Rose 1980, naziba masikio mimi!:horn:
 
mke wanani?toka uko!!

Yaani unanikana mbele ya umati wote huu, walahi nakwendea kwa sheikh yahaya, utaona lazima leo urudi nyumbani kwangu na ukirudi tu nakulaza miguuni hata uniambieje, sikupi....!!!
 
ziba mwaya
achana na bacha
uyu ni mdukunyuku wangu
yan mtukutyu hatyar na bila kunichokoza siku haikwend unono kwake
nshamzoea so na wewe jaribu kumzoea .....
mwambie alete uyoga wetu...hatuli nyama siye sijui km analijua ilo!!!!!
 
Bacha please! please! wacha kutaka kutuchonganisha aisee, mimi na yeye tumeshibana ati! hata nikimkuta na zile wanaita sijui nini?? na nini?? kwenye mkoba kama ile thread kule ya yule jamaa na mkewe mi namuamini bana!. Big up mama Rose 1980, naziba masikio mimi!:horn:

rewind kipande cha Bob, cha Zion Train!!!!!!!!!
 
Yaani unanikana mbele ya umati wote huu, walahi nakwendea kwa sheikh yahaya, utaona lazima leo urudi nyumbani kwangu na ukirudi tu nakulaza miguuni hata uniambieje, sikupi....!!!

hahahahh hahhahhah !
ujanja wa kuninyima huna ma dear
nkitaka utaitoa tu LAKIN NISIPOTAKA HUPAT TU full stop!!!!
vp sasa utakuja kunipik kunipeleka kwa ras?
 
dah sijui umejuaje km napenda i kitu
...just me n u common stil t up.....dah napenda mistari yake....!!!!!!
m here ntakuwekea majan mengine kwenye uji so UTAKUNYWA UJI WA KINGSTONEEEEEEEEEE ....siyo wa kndon tena!!!!!!!
Usijali Laaziz, najua unapenda nini wewe tena, Ntafurahi kupata majani zaidi na zaidi na uji ukiwa wa ulezi itakuwa mswano ile ileeee! hebu kabla haujaisha huo unganisha na huu hapa: NO WOMAN NO CRY!.. Pls fanya hima uniPM ili nijue wapi pa kukupata nisipokuona tena bana, roho isije konda tena...:dance:
 
''Easy skanking''!!!!!!
 
dah ras wangu m here ma beb boy
i was kind of bze....apa nimefanya kwenda toi ndo nimepata mda bt dah vangareat bt fm tomorow i wl b ok chatng madudu dudu fongo km kawaida.....missng u ma dear ras
kp t real sweetie...mwaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!1
thax for missng me!!!!!!!
ntaku pm usijali ili nxt tyme ukinikosa usikonde sana ....utajua pakunipata!!!!!
satisfy ma soul
2.one love up by bob marley is ya dedication.....!!!!
m kp t greeen u just kp t red for the rainbow is over our shadow....!!!!!!!
OMG, thanks you are back!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom