Rose Ndauka hatari sana

angalia jamaa asije akakupiga kipara yani unampenda mke wa mtu tena unatangaza mitandaoni...kweli utoto unakusumbua
 
em mwenye namba ya hutu dada anisaidie. nimejarib kuziba hisia zangu najidanganya nampenda rose ndauka mpaka nakufwaz wanasema age is just a number waungwana nisaidieni jinsi ya kumpata huyu dada nitoe dukuduku langu la siku nyingi asanteni
tafuteni hela vijana haya mambo yana wenyew mtoto kila siku anataka avae laki mbili atupie insta utaweza wap mkuu
 
em mwenye namba ya hutu dada anisaidie. nimejarib kuziba hisia zangu najidanganya nampenda rose ndauka mpaka nakufwaz wanasema age is just a number waungwana nisaidieni jinsi ya kumpata huyu dada nitoe dukuduku langu la siku nyingi asanteni
Imekuw vizur/vibaya san jf kutumia majina ambayo si halisi.Unaweza kukuta Rose Ndauka kumbe ndo Nifah au Rubi...anakuchora tu na kithread chako
 
Back
Top Bottom