Rose Ndauka hatari sana

em mwenye namba ya hutu dada anisaidie. nimejarib kuziba hisia zangu najidanganya nampenda rose ndauka mpaka nakufwaz wanasema age is just a number waungwana nisaidieni jinsi ya kumpata huyu dada nitoe dukuduku langu la siku nyingi asanteni
Dunia imebadilika sasa hivi mambo hayo yakuomba # huku hayapo nenda insta kama unatumia mtafute insta direct ndo watu wanavyopata watoto wa geti kwa style hiyo ila utamuweza?
 
Una pesa kweli? Unajua wadada wa kingoni wanagarama sana, alafu ni mafundi ile hatar
 
Huyo rose ndo nani weken picha wengine hatumjui na anaustaa gan TZ?
Ndio nani huyo tena??
13534493_1342566822425964_1069391619_n.jpg
13741029_315270135527622_1014649473_n.jpg
13721319_1722856194642635_1471704036_n.jpg
13774308_1748957435392201_1030435851_n(1).jpg
13774308_1748957435392201_1030435851_n(1).jpg
13391079_1776167959264120_216332464_n.jpg
 
Back
Top Bottom