Rooms available for students at Tumaini University, Iringa

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Wadau, kuna vyumba kwa ajili ya Wanafunzi wa Tumaini University, Iringa. Ni umbali wa mita 200 tu kutoka chuoni, kila chumba ni self contained, kina maji na umeme. Kila chumba kina kitanda d/decker la 2.5ft (bila godoro) na kinachukua watu 2-3(kitanda kinaweza kuongezwa). Kuna resovoir tank la maji, uzio, na Mlinzi.
Kodi ni sh. 60,000/- per room paid on annual basis.

For Inquiries Call: 0719055711, 0787377511, 0768264320
 
Wenye watoto au ndugu waliochaguliwa kujiunga Tumaini University, Iringa (IUCO) changamkieni fursa, accommodation in Universities is always a challenge.
 
Accomodation hapo ni cheap sana,pale Muccobs Moshi in campus ni 240000/- kwa mwaka na hosteli za nje inafika mpaka laki tano kwa mwaka. Sio mchezo. Tumaini Moshi(Masoka) accomodation in campus ni 336000/-
 
Hapo mtu hajapata mkopo ni ishu aisee tumuombe mola awasaidie vijana wa kitanzania
 
Back
Top Bottom