Roomate ameniweka exile, huu ni ustaarabu?

Hebu mwache mtoto wa watu,

Mwenzio anaomboleza msiba wa kupigwa exile night 3 (sawa na Laki 6 za Speaker) halafu unaanza kumchuuza...

Mtoto huyo ni wale walio enda kuongeza elimu kwa ajili ya maslah,muulize kama haujui uongozi wa Nyerere
 
Dogo umekwenda kusoma au kutafuta vibinti? Shauri yako. Siku hizi hata mvua nazo hazinyeshi. Mapori ya kukata mkaa nayo yeshaisha. We sikiliza maneno ya watu humu. Wengine bongo zao zishapinda siku nyingi.

Nimekuelewa mkuu.
 
Leo ni siku ya tatu tangu roomate wangu aniweke exile.

Nikiwa mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na yeye ni mwaka watatu,jamaa katumia uzoefu wake kunipeleka exile tangu alipokuja msichana wake toka Manyoni,Singida.Sijui nifanyaje?

We dogo vipi, kwani huwa mnalalia kitanda kimoja?. Rudi kalale kwenye kitanda chako japo uwe mvumilivu!!!!. we ndo unaanza shule mwenzio anamaliza na bado uamwachia room, utafeli shule ala!!!.
 
Mpwa thread zote za exile umekosa kudesa cha kumfanyia huyo wala sikusaidii kwa kweli
 
Bora exile ce kuna mjinga alikuwa anapiga dem nasie tumelala tukawa tunact tumelala kumbe tunawacholesha.
 
Kwanza hongera kuonesha umekomaa sasa hadi kupigwa exile chuoni
hilo ni moja la pili unipe jibu alivyotka ulimwambiaje na weekend utamfanyiaje huyo mate wako wala usimpige
angalia sana lakini kuna disco usiziendekeze sana mpwa kupigana exile kama uko engineering wakina mayo watakula kichwa loh mfinanga sijui kaama nae yupo na civ yake
 
Huko exile kwani unanyanyaswa?Vumia si ndo maisha vijana wa sasa.na wewe siku ukipata utamrudishia eeeh mtoto mzuri.
 
Leo ni siku ya tatu tangu roomate wangu aniweke exile.

Nikiwa mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na yeye ni mwaka watatu,jamaa katumia uzoefu wake kunipeleka exile tangu alipokuja msichana wake toka Manyoni,Singida.Sijui nifanyaje?
hahahaa...inaonekana huyo demu ndo kahamia kabisa kwa 'mumewe' kuja kuanza maisha....nakushauri hama tu hapo...siku tatu!!??
 
Da amedai kesho atamsepesha,nimemwambia ukwel kwmba nahitaj kurudi room!
 
Hii habari haina ukweli, huyo dogo ni mwongo, Labda siyo UDOM, Udom undergraduate wanakaa mtu 4 kwa room, iweje apigwe exile peke yake wakati kuna wenzie wa wa 2?

Pia Milango ya vyumba mabweni ya udom unaweza kuifungua hata kama mwenzio amefunga kwa ndani ili mradi tu ufunguo uwe wa kitasa husika.

kwa hiyo huwezi kamwe kupigwa exile.

kwangu mimi, kama we wewe uliyepigwa exile ni mdogo wangu nitajua tu familia imepata hasara kwa maana kwamba uwezo wako wakufikili ni mdogo. Umesoma f1-f4, then f5-f6, bado tu akili haijachangamka kiasi kwamba unakubali mwenzio akulaze nje siku 3 wakati chumba unalipia tena kwa mkopo utakaokugharimu hapo baadaye.

Kweli nimeamini mtaala wa secondari inabidi ufanyiwe kazi. WE Dogo kweli akili yako haijachangamka, hata kama angekuwa mwaka wa 7, sheria ya chuo hairuhusu- kwanza ukimshitaki kwa dean "analo", hata kama atakupiga mkwara Na yeye anaogopa.

Hata hivyo hali kama hiyo huwa haipo UDOM, hakuna exile.

Ngoja nikupe story ya mabibo komesha ya wapiga EXILE
Kuna mzee mmoja alikaa na madogo wa engineering wakati mabibo inaanza. Wale madogo kila weeked wanavusha, wakivusha hawamwambii atoke wanakula mzigo akiwemo huku taa imezimwa, mzee akawa anaumia tu. Yule mzee akawa anawasihi jamani acheni!!! wao hata hawamsikii wanakula maisha kila weekend si unajuwa kazi na dawa.

Unajuwa yule mzee alifanyaje? akasubili siku ya siku wamevusha, usiku wa saa tano tano, malove yamekolea akachukua ndoo yenye maji kidogo kisha akajisaidia haja kubwa halafu akaitenga katikakati ya room, kisha akavuta shuka akajifunika asikilizie watasemaje wale madogo.

Baada ya sekunde kadhaa harufu ikachanganya, Mzee alianza kusikia sauti ya nyapu mmojawapo, Honey kuna harufu ya kinyesi inasumbua. Mchezo ukasimama, wale madogo waliwaka, lakini ndo ikawa mwisho wao kuvuta mzigo.
 
Huyo kazidisha,sisi wenzenu exile zetu huwa hazizidi masaa 12,zaidi ya hapo inabidi mkakae guest house.
 
Back
Top Bottom