Ron Paul: Nikichaguliwa bangi, cocaine ruksa USA!

Watafanya kila njia ,kuhakikisha image yake inachafuka. huyu jamaa ni mmoja kati ya watu wanaopinga iran kuvamiwa kijeshi na US. kwenye hizi new US sunctions to IRAN jamaa anazipinga na alisha toa sababu za kwanini anazipinga(HE BELIEVE THAT "SUNCTIONS LEADS TO HOSTILITY=WAR"). kiujumla Ron Poul is A THREAT TO NEW WORLD ORDER. jamaa ana interest za kama JFK.... they are against Secret sociaties.

SOO MI NATEGEMEA JAMAA ATACHAFURIWA SANA TUU KWA SIKU USONI.
 
Anaamini wakati umefika sasa kwa marekani kuwafanya maadui kuwa marafiki,anasema ndio njia bora na yenye uhakika wa usalama wa marekani na maslahi yao dunia,he sais stop occupy their territories kwa kuweka base kwenye nchi za middle east na nyingine duniani,base zifungwe na majeshi yarudi nyumbani kuilinda mipaka ya marekani.
 
In the state of Nature..human beings were absolutely free, ila sheria ziliingizwa na state ili kudefend natural justice, tatizo ni kwamba calcualate faida ya kutumia hayo madawa ya kulevya na athari zake kwa Nguvu kazi ya Taifa, so it is the problem kwa kuwa itanufaisha united state interest ila itaathiri pia kwa kuwa nguvu kazi itaathirika..cocaine or heroine have never been good to anyone either bhangi so bana for sure i do not support this man..
Baada ya kuelewa kuwa haya yanafanywa na kila anaekalia WH bado utashindwa kumsapport Ron Paul?

Akifanikiwa kushinda, watamkolimba tu.

CIA Torture Jet crashed with 4 Tons of COCAINE - YouTube

CIA Agents Reveal "Secrets of the CIA" - YouTube

The Afghan War: The Hidden Military Agenda is to Protect the Drug Trade! « Socio-Economics History Blog
 
Back
Top Bottom