Roma na izo wanapokwenda ni pabaya

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,205
42,067
Wanapo kwenda ni pabaya sababu kama ni mfatiliaji wa taarifa za habari,jana niliamua kuchungulia tbc1 na kukutana na habari inayohusu wao kuandaliwa mpambano j.pili. Sikuwa na tatizo na hilo bali kilicho tokea ,wakati wakijinadi kuhusu mpambano wao wa j.pili! Kila mmoja alipewa nafasi ya kuongea huku wakipeana shutuma ,izo wakati anaongea alipandwa hasira na kutaka kumkuja roma,uku wakiwa wametenganishwa na mtu aliye kuwa amekaa kati na kuamlia. Kilicho nishangaza juu ya hili bifu ni mtu kufikia kutaka kupigana. Inasikitisha sana msanii kama izo b kukosa busara na kutaka kupigana tena mbele ya vyombo vya habari. Nafikiri kunakitu kingine zaidi ya muziki katika bifu lao.
 
wakafanye mambo hayo mbeya na tanga respectivelly.....dar es salaam hatutaki huu ushamba!
 
Kuna watu wanapaswa kukuumiza kichwa, ila si Roma na Izo, Hawajijui kwanini ni wasanii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom