Roma kwawaka moto!

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
Chanzo:Aljazeera TV. Jiji la Roma limekumbwa na machafuko kati ya polisi na waandamanaji wanaopinga ushindi wa waziri mkuu Berlusconi katika kura za kutokuwa na imani naye,alioupata bungeni. Waandamanaji wanampinga waziri mkuu huyo kwavile anahusishwa na biashara za kimafia.
 
Mafia connections. Waandamanaji wanahisi izo connections ndizo zimefanya Berlusconi ashinde ila kwa mbinde.
 
wakome maana alishinda kwa kura zao halali, wasubiri amalize muda wake
 
Back
Top Bottom