Roma amwaga sir nzito!

MAN I

Member
Apr 11, 2012
7
2
Msanii wa bongo flava roma mkatolik amwaga sir nzito wakat anapokea tuzo za kil music award katka ukumbi wa mliman city jana baada ya kuwafanansha wabongo na punda kaul hio iltolewa na roma huku aksema wabongo hatuendelei kwasababu ya majungu ktk afla hio roma alpokea tunzo mbili ambazo n nyimbo bora ya hiphop na msanii bora wa hiphop.
 
Si kweli hapo kwenye red.....check with your source please
Mzee na mwanae wanasafiri wakiwa na punda na kila kijiji walipewa comments kutokana na jinsi walivyokuwa wakimtumia punda yule kama kipando...... hakuna sehemu alitufaninisha wabongo na punda...NO NO NO plz
 
Ujumbe wake ulikuwa mzuri, umewakumbusha watu kuwa kila mtu ana mawazo tofauti kwa hiyo pamoja na kuchukua mawazo ya watu ni vizuri ukayapima kabla hujaamua kitu. Usikubali kukatishwa tamaa na watu. Fight for your own destiny.
Hajatukana mtu labda kama tunauelewa tofauti ya maana ya matusi.
 
Si kweli hapo kwenye red.....check with your source please
Mzee na mwanae wanasafiri wakiwa na punda na kila kijiji walipewa comments kutokana na jinsi walivyokuwa wakimtumia punda yule kama kipando...... hakuna sehemu alitufaninisha wabongo na punda...NO NO NO plz

mkuu tunakushukuru kwakutuweka sawa maana mwanzisha mada inaonyesha alikuwa na lake jambo
 
Hii hadithi ya ngano za punda niliiona mwaka 2008 nakumbuka kwa michuzi au bongocelebrity kama sikosei na si kwamba amefafananisha alitaka kuzungumza kwamba chochote unachofanya lazima watu wataongea negative hata likiwa zuri na ile hajaimalizia nadhani kutokana na mda.
 
Msanii wa bongo flava roma mkatolik amwaga sir nzito wakat anapokea tuzo za kil music award katka ukumbi wa mliman city jana baada ya kuwafanansha wabongo na punda kaul hio iltolewa na roma huku aksema wabongo hatuendelei kwasababu ya majungu ktk afla hio roma alpokea tunzo mbili ambazo n nyimbo bora ya hiphop na msanii bora wa hiphop.

Comrade umehadithiwa nini? ni wapi alipowafananisha alipotufananisha wabongo na punda? kwani kisa hiki we ni mgeni nacho? penda kusoma vitabu mbalimbali hutokurupuka kamwe kama ulivyofanya hapa,nimtazamo tu

Mac.Inc
 
ndo tatizo la kuonyeshwa na stesheni za bure..kila mtu ataongea upuuzi wake.
Mwakani waturushie kupitia Mtv na sio itv tena
 
ndugu mgumu kuelewa! .mbona mfano huo uko uchi na unatumiwa kila siku?
 
Msanii wa bongo flava roma mkatolik amwaga sir nzito wakat anapokea tuzo za kil music award katka ukumbi wa mliman city jana baada ya kuwafanansha wabongo na punda kaul hio iltolewa na roma huku aksema wabongo hatuendelei kwasababu ya majungu ktk afla hio roma alpokea tunzo mbili ambazo n nyimbo bora ya hiphop na msanii bora wa hiphop.

Kweli watu tunatofautiana kuelewa.

Hivi ndio wewe ulimuelewa?
 
USI...RUDIE...TENA....HIKI....ULICHO.....KISEMA SASA HIVI!!!!!
Siri nzito iko wapi?
 
dah... jamaa muanzisha mada kichwa maji kweli.... yaan mfano huu umeshindwa kutafsiri?
wap kijana katukana watanzania?
usikurupuke kuanzisha mada kama hizi plz
 
Back
Top Bottom