Role Model wako ni nani ndani ya Jf?

kwanini umewachagua hawa?
Wewe ulipomchagua ritz hukutoa sababu zako.
Mimi baadhi ya wangu, lakini sio wote ni:
The Finest
AshaDii
Katavi
The Modest
Afrodenzi
The Boss
Kisukari
Mwanajamiione
Nyani Ngabu
...............Orodha kubwa. Kila mmoja ana "role" yake ambayo ni mfano mwema kwangu kuiga.
 
sina role Model kwa sasa maana ndani ya miezi 6, JF imevamiwa hata wale vichwa nao wameanza kuonekana bomu.
 
Naamini wote waliosema hawana ma-role model ndani ya jf ni wana wivu, hata kama jamvini hawajataja ila mioyoni mwao wanawakubali.
 
VoiceofReason, huyu mtu namfagilia sana, I wish to meet him/ her one day. he/she so wise.
 
Najua kila mmoja ana role model wake ndani ya jf.

Mimi binafsi role model wangu ni ritz.

Je! Wewe role model wako ni nani?.

Nashukuru sana Mzee, tupo pamoja kwenye mapambano Tanzania bila Udini inawezeka
 
Back
Top Bottom