Roho za Kinyama..

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
392337_304990516202253_100000739215341_1002863_535  434238_n.jpg

[h=1]Afghan Child Bride Tortured[/h]
7660167b4a7b88e4c65a4d3947b3.jpeg

screen-capture-6.jpg

Sahar-Gul-was-rescued-by--007.jpg
Sahar Gul was rescued by police after her uncle tipped them off. Photograph: Jawed Basharat/AP

Sarah Gul was locked in a toilet for six months
Mother-in-law beat her, pulled out her fingernails
Tells media of ordeal. "I was denied food and water."
 
Last edited by a moderator:
Haya yanatokea nchi za kiislamu tu, kwa nini? Wao wanadai Uislamu ni Amani, inakuwaje hao hao wana chinja waandishi wa habari, wana vikundi vya mauaji kama Al-Kaida, Al-Shabab, Bokoharam nk? Why-unafiki?
 
Ngoja nivute pumzi kwanza msitoke.
 
duhhh!!!
mi ukimfanyia hivi dada yangu nakufyeka makalio yote mawili kudadeki, nayachoma nakula!!!
 
Last edited by a moderator:
Haya yanatokea nchi za kiislamu tu, kwa nini? Wao wanadai Uislamu ni Amani, inakuwaje hao hao wana chinja waandishi wa habari, wana vikundi vya mauaji kama Al-Kaida, Al-Shabab, Bokoharam nk? Why-unafiki?
Eti haya yanatokea nchi za kiislamu tu!!!!! Inaonesha ni kwa kiasi gani ulivyoathiriwa na stereotyping. Kwa taarifa yako kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo, hata hapa tanzania kuna unyanyasaji mwingi tu wa watoto na hata watu wazima.

Get your facts straight kabla ya kukurupuka kubandika.
 
Mkuu hebu taja moja hizi tesaji za Tanzania. Ukishindwa nitajua mzushi tu huna lolote na nimkurupukaji
 
Haya yanatokea nchi za kiislamu tu, kwa nini? Wao wanadai Uislamu ni Amani, inakuwaje hao hao wana chinja waandishi wa habari, wana vikundi vya mauaji kama Al-Kaida, Al-Shabab, Bokoharam nk? Why-unafiki?

Umeiona hii ndio nafasi ya kutukana dini za watu? Ukatili hauna dini ndugu, wale waliokuwa wanachuna ngozi za watu Mbeya walikuwa waislamu? Hitler alikuwa Muislamu? Kibwetere alikuwa Muislamu? Inquisition ndio taasisi iilyoongoza kwa ukatili duniani..it was Catholic Church's arm! Grow up, you Imbecile!
 
Yaani huyo jamaa wa kwanza ni ....... Ku... Nyang'au shenzi kabisa,anatakiwa atobolewe macho na kukatwa miguu kwa ukatili alioufanya.
 
Kwao kuua ni sunna

haya yanatokea nchi za kiislamu tu, kwa nini? Wao wanadai uislamu ni amani, inakuwaje hao hao wana chinja waandishi wa habari, wana vikundi vya mauaji kama al-kaida, al-shabab, bokoharam nk? Why-unafiki?
 
Haya yanatokea nchi za kiislamu tu, kwa nini? Wao wanadai Uislamu ni Amani, inakuwaje hao hao wana chinja waandishi wa habari, wana vikundi vya mauaji kama Al-Kaida, Al-Shabab, Bokoharam nk? Why-unafiki?

wewe utakuwa na matatizo ya akili au? Yaani unajifanya mjuuzi kumbe pumba 2. 2anze nyumbani albino wanauliwa na nani?
 
Umeiona hii ndio nafasi ya kutukana dini za watu? Ukatili hauna dini ndugu, wale waliokuwa wanachuna ngozi za watu Mbeya walikuwa waislamu? Hitler alikuwa Muislamu? Kibwetere alikuwa Muislamu? Inquisition ndio taasisi iilyoongoza kwa ukatili duniani..it was Catholic Church's arm! Grow up, you Imbecile!

matukio uliyoyataja ni kabla ya wewe kuzaliwa yote ni historia tu, remember history is not an absolute fact but is written according to the eyes of the beholder. Hapa watu wanaongelea current events!!!
 
Back
Top Bottom