Rodney Mutie Mengi Heart Institute imeishia wapi?

Je MMengi tunaemfahamu anaweza kunyimwa kibali kwa ajili ya ujenzi wa hospitali akakaa kimya?

Hapana. Inaonesha aliongea hilo ili kufuta machozi ya mwanae kufa. Ila in reality asingeweza au baada ya hapo alipiga hesabu akaona hela ndefu sana, akaona apotezee tu.
Au labda inajengwa kisiri siri
 
Mzee sasa hivi kaoa mke mpya hivyo mambo haya huwa yanachangia kwenda mbele, kurudi nyuma au kubadili baadhi ya mipango kutokana na kupata mawazo mapya ya wife mpya. Huenda Senior wife ndiye alikuwa chachu ya shughuli nzima ya ujenzi na sasa amewekwa kwenye shelf hivyo inawezekana mzee ameguzwa mwelekeo na chombo kipya. Yasije kuwa ya Samsoni na Delila.
 
Unajenga taasisi yako wakati yetu ya kitaifa ipo pale muhimbili inahitaji kupanuliwa ....kwa nini usiisupport ya kitaifa unataka yako we ni nani?...; huyo Mutie ndiyo nani kwa taifa hili la watu mil 60 ?? ebo
 
Mzee shuwain yule akigombana na wafanyabiashara wenziwe anataka uwe ugomvi wa kitaifa..ila kiboko yake alikuwa Masilingi na Manji
Kilimanjaro hotel. Mzee alitumia magazeti ya kulikoni na thisday kupambana na Manji.
 
Unajenga taasisi yako wakati yetu ya kitaifa ipo pale muhimbili inahitaji kupanuliwa ....kwa nini usiisupport ya kitaifa unataka yako we ni nani?...; huyo Mutie ndiyo nani kwa taifa hili la watu mil 60 ?? ebo
Usimpangie mtu na pesa zake, ulisikia yeye ni baba wa taifa?
 
Back
Top Bottom