Robot wenye kuweza kuruka na kufuata masharti

soni

Member
May 24, 2010
18
4
kumekua na maendeleo makubwa kwenye nyanja ya technolojia wenzetu huko marekani kwani hivi karibuni wameweza kutengeneza robot mfano wa wadudu wadogo wenye kuweza kuruka angani nakufuata masharti. Hii ni habari njema sana kwani wanaweza kutumiwa katika mambo mbalimbali kama ujenzi wa madaraja, shughuli za uokoaji na mengine mengi.

jionee mwenyewe jinsi Vijay Kumar anavyoelezea kiundani zaidi kwenye TED SHOW

Vijay Kumar: Robots that fly ... and cooperate | Video on TED.com
 
Back
Top Bottom