ROBINHO KUKIMBILIA BARCELONA,vipi anamkimbia tevez?

Huyu dogo kelele nyingi mno akienda Barca atacheza namba ya nani?
 
henry c kashaisha nadhani atachukua nafasi yake.....Tecez mwenyewe kama mchovmchov vile, ila honestly Bellemy kani impress sana mwanzo wa msimu huu
 
specifically,
robinho anaenda kumreplace ''an ageing henry''
 
utakua ununuzi mzuri kwa barca, naona barca wana chemistry nzuri kwenye team yao kuliko Real
 
LIVAPULI bwana mkuu.

hehehehe!
shemasi livapuli kama hujawasoma vizuri ni kwamba hawana bahati.huwanacheza weeeeeeeeeeeeeee finally wanafungwa fungwa,lol!

washabiki wa liva woote wanaishi kwa straight,ndio maana hata ile blogu nyingine mimi huwa siitembelei sababu mmiliki aliweka wazi kwamba yeye ni mzee waBWAWA-LA-MAINI
 
Mpwa si siri, bwawa la maini linanitia presha mwaka huu.
 
Robinho anataka vikombe, Man City ndio kwanza wanaangaika kutaka kuingia kwenye top four. Kwa hiyo hapo Man City hapamfai bora angejiendeaga Chelsea.
 
Ndo angechukua namba ya nani pale mbona mbele pamekamilika mkuu.
 
mkuu msimu bado liverpool mwakajana siunakumbuka, na barca pia siunakumbuka alipotokea..mpaka march ndo tutajua msimu wa nani...mbio bado ndefu kwa uzoefu wa mpira nilionao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom