Robin van persie new red devil.

tan 90

Senior Member
Jul 29, 2012
182
36
Mr Fergie alex tayari kaangusha jiwe jipya kabisa ndani ya mashetani wekundu kwa kiasi cha kama £24 M hivi,bado tujiulize kama RVP ni mtu atayeleta changamoto na mafanikio ndani ya old trafford au ndo kaja kuwa kama berbatov (kaingia man u kukua). . . .Toa maoni yako kuhusu uhamisho huu ambapo atakuwa akilipwa £ 200,000 per week.
Nawasilisha wana old trafford aka wakereketwa.
 
Duh mkuu huyu dogo me nilikuwa simtaki kabisa,kule mbele mbona chicha na welbak walikuwa wanatosha?babu angenunua viungo bwana au u unasemAje kiongozi?
 
Mr Fergie alex tayari
kaangusha jiwe jipya kabisa ndani ya mashetani wekundu kwa kiasi cha
kama £24 M hivi,bado tujiulize kama RVP ni mtu atayeleta changamoto na
mafanikio ndani ya old trafford au ndo kaja kuwa kama berbatov (kaingia
man u kukua). . . .Toa maoni yako kuhusu uhamisho huu ambapo atakuwa
akilipwa £ 200,000 per week.
Nawasilisha wana old trafford aka wakereketwa.

ninaamini ataisaidia club!pembeni ya rooney!wataipenda
 
hata mi naona tunaitaji kiungo mkabaji anaeweza kumiliki na kukaa na mpira lakin van prs na rooney nyuma kagawa wewe utaipenda naskia van prs wakati anafanyiwa vipimo amekutwa na michubuko mgongoni kwa kuibeba sana arsenal hahahahahahaaaaaaaaaa
 
Duh mkuu huyu dogo me nilikuwa simtaki kabisa,kule mbele mbona chicha na welbak walikuwa wanatosha?babu angenunua viungo bwana au u unasemAje kiongozi?

Chicha na welbeck bado ni wadogo si umeona last season waliishiwa nguvu? Uzuri wa rvp na rooney wote wana experience ya champions lg na premier lg na kumbukeni competition ziko nyingi fa cup carlin champions lg na PL so u need strength in depth kwenye squad. Huwezi shindana na man city team ambayo ina tevez aguero dzeko bila kua na proven goal scorer na welbeck anacheza game 5 then kaumia... So rvp is a gd choice japokua we need a defender coz vidic rio smallin na jones wote ni injury prone hakuna anayecheza game 15 bila kuumia
 
Ni kweli wadau lakini sasa hivi huyu rio anafaa kweli kuendelea kubaki?binafsi nikimuonaga tu presha juu,na nafasi ya scholes pale hapahitaji mtu wa shughuli?babu bwana angefanya mambo na kwenye hizo nafasi mbili...
 
for sure siku hz rio nimekua simuamini kabisa,ila for sure pale mbele patakua pametimia coz kidogo rvp ana uzoefu wa kukaa na mpira nyuma kidogo kuna kagawa,babu angefocus kwenye ulinzi kwanza kwasababu waliopo wanacheza chini ya kiwango.
 
Chicha na welbeck bado ni wadogo si umeona last season waliishiwa nguvu? Uzuri wa rvp na rooney wote wana experience ya champions lg na premier lg na kumbukeni competition ziko nyingi fa cup carlin champions lg na PL so u need strength in depth kwenye squad. Huwezi shindana na man city team ambayo ina tevez aguero dzeko bila kua na proven goal scorer na welbeck anacheza game 5 then kaumia... So rvp is a gd choice japokua we need a defender coz vidic rio smallin na jones wote ni injury prone hakuna anayecheza game 15 bila kuumia

nakuunga mkono kabisa mkuu.
 
RVP inawezekana akawa na mchango mdogo ndani ya OT ukiangalia umri alionao(miaka 29) na sifa yake ya kuwa majerui mara kwa mara lkn kitendo cha kuwa na mchezaji wa aina yake ndani ya kikosi ni hamasa tosha kwa wachezaji wengine; na kwa uzoefu wa RVP, Valencia na Rooney pale mbele patatulia; tatizo litabaki kwenye kiungo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom