Road Licence MBILI Bara na Visiwani(Tanzania) kwa gari moja!!

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
Wakuu naomba tujuzano katika hili.
Hii sheria ya kuwa kama umsajili gari lako huku bara na ukabahatika kulihamishia Zanzibar kwa matumizi yako yawezekana umekwenda kule kikazi, unapewa (3)three months and no more! uwe umebadili number plate na kuwa ya huko.
Sasa kazi inakuja hapa kwenye ROAD LICENCE.
ukiwa kule inakubidi ulipe ya kule(ZNZ) na ya huku BARA pia.
kinyume na hapo siku ukirudi BARA unalipishwa toka siku ulipo koma kulipia huku BARA na penalty juu.
Sasa hapa ndo pana nichanganya sana.Gari halitumiki bara bado natakiwa nilipie,na kule linakotumika nako nalipia!!
Wataalam tupeni mwangaza hapa.
 
Back
Top Bottom