Road distances

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,962
2,138
Nipo najiandaa kusafiri kutembelea sehemu mbalimbali za Tanzania hivi karibuni, na ninahitaji umbali wa kutoka Dar es Salaam hadi makao makuu ya kila mkoa Tanzania bara kwa usafiri wa barabara katika vipimo vya kilometre. Nimejaribu kutembelea website ya TANROADS, hakuna takwimu za umbali, wameweka ramani tiu. Please, naomba yeyote aliye na takwimu ninazohitaji mfano Distance Chart anipatie. Natanguliza shukrani
 
Mama mdogo jaribia hii Drive Calculator - driving distance and drive time
huwa inanisaidia sana.

Mtumishi
.
 
Kwa kuwa kile kibofyo cha THANKS hakionenekani, sina budi kuwapa asanteni sana wana JF MTUMISHI na M-PESA, naanza sasa hivi kufuatuilia hizo source mulizonieleza. Huu ndio uzuri wa JF, ni hazina ya ushauri na mawazo ya kujenga. Asanteni sana
 
Ukifika Tarime tuwasiliane tusalimiane!
 
Mkuu ukienda ofisi yeyote ya TANROADS huwa kuna chat inayoonyesha length za barabara zote zilizopo chini yao i.e Trunk and Regional roads.Kama upo Dar nenda ofisi ya mkoa.Ilikuwa Ubungo daladala terminal sijui kama bado ipo hapo au imeshahama.
 
Its a great tool, kwa wale tunaopenda kuhanja mapori ya Tz yetu itatufaha sana,nimeiweka ktk bookmark yangu. ingawa ktk fuel cost assumption yao kuwa barabara ni mkeka.wakati barabara za lami ni za kuhesabu nje ya Dar :)
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom