Riziwani atoa maneno mazito kuhusu chama chake..bila chenga

hv ww st. Ivuga nilikuwa nakuheshimu ile mbaya ila kwa hili la kucctza tumckilze riz1 kwa lipi? Kama nani? Ana mamlaka gani ndani ya nchi hii? Neno lake litatoa/ saidia nn, ktk kutatua matatzo ya nchi?
ukiwa na tatizo una liface au unalikimbia?hawa sio wa kuwapotezea hawa
 
naona unajitahidi kumpigia promo humu jf vip basha wako nin?? Acha tabia za kicameroon wew.

huu utumbo wako ungeuweka kule kwenye jukwaa la matangazo.
Nyoooooooooooo

dogo sasa matusi ya nini?jiheshimu na mimi nitakuheshimu..sijakuita uje uchangie hapa..au unawashwa? wapi ambapo nilimpigia debe riz1?ubongo wako upo kwenye masaburi ..usifuate mkumbo...heshima ni kitu cha bure dogo..stress zako ziishie huko huko dogo..kama hujaelewa mantiki au hujui maana ya forums basi piga kimya na lala mbele sio kuleta kidomo domo hapa dogo.hope umenipata
 
hv ww st. Ivuga nilikuwa nakuheshimu ile mbaya ila kwa hili la kucctza tumckilze riz1 kwa lipi? Kama nani? Ana mamlaka gani ndani ya nchi hii? Neno lake litatoa/ saidia nn, ktk kutatua matatzo ya nchi?
shenzi zao
 
dogo sasa matusi ya nini?jiheshimu na mimi nitakuheshimu..sijakuita uje uchangie hapa..au unawashwa? wapi ambapo nilimpigia debe riz1?ubongo wako upo kwenye masaburi ..usifuate mkumbo...heshima ni kitu cha bure dogo..stress zako ziishie huko huko dogo..kama hujaelewa mantiki au hujui maana ya forums basi piga kimya na lala mbele sio kuleta kidomo domo hapa dogo.hope umenipata

hapana bana, hatuwezi kukaa kimya tu hapa! wewe kama unampenda huyo rizi one wako fuatilia tu hizo habari kimya kimya, siyo unaleta mambo ya ushawishi hapa! atoe ufafanuzi wa utajiri wake wenye "utata" kwanza..
 
Ridhiwan ni nani Tanzania zaidi ya kuwa kupe mgongoni mwa JK? Kikwete naye kwa kubeba mikupe hana mfano. Angalia WAMA ya bi mkubwa, GBP Oil ya nyumba ndogo Rahma Kharoos Kasiga. Bado akina magamba wenzake kubwa likiwa Rostam Aziz na Chenge. Shame on you all.
 
wewe dogo hujui kitu nyamaza..wapi nimeandika kuwa nampenda riz1 ..nimpende kwa lipi? unajua kajilimbiikizia mali kiasi gani? dkk slaa na mtikila walivyompigia makelele kuhusu pesa zake na mali zake mbona hujatembea uchi njiani kuwapinga na kuwaambia kuwa wanamprenda? hivi ukileta habari yoyote hapa ni kuwa unampenda mtu..ok dogo tuache mabishano.. because you are nothing to me
mimi nimeileta hii taarifa hapa kuonyesha jinsi chama la magamba linavyoparaganyika wewe unakuja hapa unakurupuka ..au unataka kunitafutia ban? sina ban hata moja toka nijiandikishe..so watch out ...nimekushtukia wewe ndunya
 
Ridhiwan ni nani Tanzania zaidi ya kuwa kupe mgongoni mwa JK? Kikwete naye kwa kubeba mikupe hana mfano. Angalia WAMA ya bi mkubwa, GBP Oil ya nyumba ndogo Rahma Kharoos Kasiga. Bado akina magamba wenzake kubwa likiwa Rostam Aziz na Chenge. Shame on you all.

dogo anatumia mgongo wa baba yake...who will stop them?
 
Who's Riz 1?

Nani Mmiliki wa Lake Oil?

Kampuni ya mafuta ya "Lake Oil" kwa kweli, wana ARI Mpya, NGUVU mpya na KASI mpya!‎
Tetesi zinazovuma kama upepo wa nyikani ni kwamba kampuni hii inamilikiwa na Riz-one na MASWAHIBA wake.

Baadhi ya wachuguzi ya mambo nchini wanasema kijana huyu machachari na mwenye vituko na mbwembwe nyingi, amejilimbikiza mali nyingi Katika kipindi hiki kifupi kuliko, "Ukoo Mzima wa Nyerere" walichojilimbikizia wakati wa miaka 24 ya uwongozi wa baba wa taifa.
Miezi michache iliyopita Riz-one Ridhiwan Kikwete, alikanusha madai kuwa yeye ni bilionea na aliwataka waliotoa shutuma hizo wamfikishe kwenye vyombo vya dola.
Alisema ameshaongea na wanasheria wenzake na leo wataandika barua kwenda kwa Mtikila na Dk. Slaa kuwataka wathibitishe tuhuma walizotoa na wasipofanya hivyo ndani ya siku saba kitakachofuata ni kwenda mahakamani.
aliongeza kuwa anashangazwa na habari hizo na kusema kuwa yeye ni MASKINI kama Watanzania wengi walivyo na hajawahi kumiliki mali kwa kiwango kilichotajwa.
Alisema kama wana ushahidi na tuhuma walizotoa wawasilishe kwa vyombo husika ili viweze kumhoji na wasipofanya hivyo watafikishwa mahakamani ili haki itendeke.
Alisema ameshaongea na wanasheria wenzake na leo wataandika barua kwenda kwa Mtikila na Dk. Slaa kuwataka wathibitishe tuhuma walizotoa na wasipofanya hivyo ndani YA SIKU SABA kitakachofuata ni kwenda mahakamani.
NOTE1: hayo yalisemwa mwezi wa 2nd May 2011 na leo hii ni 10th August 2011 , Vipi hii kesi imefikia wapi? je ilishafikishwa Mahakamani? siku saba zimepita kitambo Riz-0ne???
NOTE2: tanzagiza.com hatuna matatizo na utajiri wa mtu yeyote kama ameupata kwa njia halali. Ila tatizo ni kama kuna matumizi mabaya ya kodi za wananchi kunufaisha wachache
Nani Mmiliki wa Lake Oil? - Tanzagiza
 
Hizo ACCT mpaka nje ya nchi, hayo masemi trailer, hivyo vtuo vya mafuta anavizungumziaje?????????? Majumba maghorofa mengi kuanzia Dar hadi Arusha nasikia ni ya Riz 1 Anayasemaje au sio yake?????????

Jibu sahihi atatupatia baada ya miaka 4 ijayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom