Riziwan wangoja nini ongea na baba ako...!

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,149
22,723
Mbona ule wimbo wajieleza wazi... kwanini wapuuzia zile ripoti ulizopewa na Huyu kijana machachari Izzo B... Anaiangamiza CCM baba ako . shauri yako Riz!!!!!!!!! Jaman ni tahadhari tu...
 
Nilimsikia siku moja akiojiwa na EATV kwenye kipindi kimoja jina nimesahau,ila zamani kilikuwa kinaendeshwa na Salama Jabir akasema huo wimbo aliupenda na alimpelekea ile CD baba yake nae akafurahi huu ubunifu wa huyu kijana...Sasa sikujua ni kauli ya kinafiki au kweli....
 
yamezungumzwa mengi humu...

1. aliahid maisha bora ila maisha yamezid kuwa magumu
2. umeme wimbo wa taifa
3. asidhrau vyama pinzani
4. mikopo... wanachuo wanaumia
5. achunge viongozi wake... eg. hili jipya la Mkullo
6. wasanii haki zao waibiwa
7. wabunge hawakai majimboni
8. aboreshe makazi ya polisi na wajeshi..
9.bungeni aweke watu.. na sio sanamu
10. mikataba feki...... 11. aache ushikaji kazini.. 12.. etc et. et.

sasa riziwan kama wapuuzia jua wamuangamiza 'DADI' wako

Mtaa "kimenuka"
 
Mbona ule wimbo wajieleza wazi... kwanini wapuuzia zile ripoti ulizopewa na Huyu kijana machachari Izzo B... Anaiangamiza CCM baba ako . shauri yako Riz!!!!!!!!! Jaman ni tahadhari tu...

Da deki anaonyesha msure aliiona ila akamind dogo kacheza ubunifu noma kinoma aliona ni maujanja ya dogo kutoka ila si chochote ndani ya MESSAGE iliyomo ndani ya song la dogo IZZO B.Msure anajua sana kuliko Riz 1 na majanki wenzie walioko kitaa,msure anajua kupitia wakusanya wa yanayojiri kila kitaa mbona kudadeki awajamwambia soo lolote la kitaa kokote kule Bongo hii.Ndio maana akamwambia kuwa dogo kaonyesha maujana na song lake liko poa kwa kusikiliza lakini akampotezea kiaina kwa kuwa siunajua msure mtoto ukimpotezea sana nae achelewi kukumind kiana.

Hivyo Izzo B tafuta namna nyingine ibuka na song kwa Mzee Mwninyi labda mjuze huyo Mzee ampelekee UJUMBE,manake MRISHO MPOTO alituma message kitambo kwa MJOMBA lakini hakuna aliyemsikiliza alionekana anaimba ngonjera na issue nzima ikawa kitaa ndio wanajua anasema nini.

Ila dogo message watanzania waliisikia na wanaendelea kusikiliza song kitaa kama wanaendelea kusikiliza song la Roma na washikaji wengine wenye kujua maisha ya Mmbongo wa kawaida.Anyway tusubilie likisanuka kitaa mambo yote yataeleweka.
 
jipu litatumbuka tu.... acha waendelee puuzia
 
Halii hii ni kama uzazi. Muda ukifika wa kujifungua, piga ua lazima mtoto azaliwe hata ikibidi mama afariki, mtoto atazaliwa tu. Ni suala la muda wakuu!
 
Riz1 naye ni fisadi, ananufaika na ukimya wa baba yake, atasema nini?..
 
Mbona ule wimbo wajieleza wazi... kwanini wapuuzia zile ripoti ulizopewa na Huyu kijana machachari Izzo B... Anaiangamiza CCM baba ako . shauri yako Riz!!!!!!!!! Jaman ni tahadhari tu...
Has the end justified a mean!?
Hivi kweli hapa kuna chama tena au ni ghiliba tu za kupeana moyo na mahaba ya dola kwa hili lichama!?
uhuru.jpg
 
Kuna hii kauli "FUNIKA KOMBE ... " inaweza kuwa ilitumika.

Back
Top Bottom