Riziwan awavuruga UVCCM Dodoma na mamilioni

Kwa fitna Riz ni nOMa,,mkono mtupu haulambwi..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
ss tuliwaambia kuwa ccm imekufa mkabisha, sasa kama ridhiwani na mama yake waligombea na kupita bila kupingwa kuna chama hapo, kimebaki kuwa chama cha kifamilia na sio nchi, kumbukeni mbwa mzee hafundishwi mbinu mpya .
 
Mtoto Rais Jakaya Kikwete, Riziwan, ambaye yupo Dodoma kuhudhuria vikao vya Kamati ya utekelezaji na Baraza kuu la vijana huko Dodoma amewavuruga vijana wenzake baada ya kuzidiwa hoja na vijana wengi nchi nzima kwenye vikao hivyo, sasa akaanza kutumia nguvu ya mamlaka/dola na mabilioni ya pesa ambayo amejitengenezea katika kipindi hiki cha Urais wa baba yake.

kwanza, anamtumia mtumishi wa UVCCM, Mzee Mipiko kubadilisha muhtasari/minutes za vikao vyote ili kuweza kulinda hoja zake ambazo alishindwa kwenye vikao. na kwasababu maamuzi ya UVCCM bado yanahitaji baraka za baba yake/ mwenyekiti wa chama, basi anataka kupeleka mapendekezo ambayo ni ya kulinda maslahi yake na Membe. bahati mbaya Katibu mkuu Shigela amekuwa makini sana na hata akamtonya Makamu Beno na muhtasari zote zikabadilishwa na zinaendelea kubadilishwa kutokana na mapendekezo ya vikao vya vijana.

pili, katika kujaribu kuanza kufanya kampeni ya watu kwenye uchaguzi nchi nzima na taifa, kwanza ni jambo ambalo linashangaza wengi, kwasababu anafanya kama vile Kikwete anautafuta Urais wa awamu ya tano au labda yeye angaombea. Kwakweli amejenga historia mpya ya familia za marais kwa nchi yetu ya Tanzania. Kwahiyo jana usiku aliwaita MAKATIBU WOTE wa MIKOA wa UVCCM na kuwapatia kila mmoja Tsh MILIONI MOJA, maana yake kama takribani MILIONI 30 jumla, na akwapa maelekezo na kuwatishia wengine kwamba wasipotii, ajira zao zitasitishwa. Haya nia matumizi mabaya sana ya madaraka na fedha za umma. Tunaomba tuikemee wote.

Hapa sio eneo la kumjadili Rizi..... Kwanza napata kichefuchefuo tu hapa....
 
Unahitaji vithibitisho gani.Ni jambo la ajabu kabisa kuona kijana anatumia wadhifa wa baba yakwe ku-dictate uongozi uliochaguliwa kihalali.UVCCM haiwezi kuamuliwa mambo yake na familia moja na wakae wakijua hilo halitafanikiwa.Watu wapo radhi hata kutumia nguvu na kuomba ushirikiano kwa vijana ambao wako nje ya chama
Bangi za mchana zinakusumbuwa, labda ungesema hata wachawi ambao wako nje ya CCM ningekuelewa.
 
Mtoto Rais Jakaya Kikwete, Riziwan, ambaye yupo Dodoma kuhudhuria vikao vya Kamati ya utekelezaji na Baraza kuu la vijana huko Dodoma amewavuruga vijana wenzake baada ya kuzidiwa hoja na vijana wengi nchi nzima kwenye vikao hivyo, sasa akaanza kutumia nguvu ya mamlaka/dola na mabilioni ya pesa ambayo amejitengenezea katika kipindi hiki cha Urais wa baba yake.

kwanza, anamtumia mtumishi wa UVCCM, Mzee Mipiko kubadilisha muhtasari/minutes za vikao vyote ili kuweza kulinda hoja zake ambazo alishindwa kwenye vikao. na kwasababu maamuzi ya UVCCM bado yanahitaji baraka za baba yake/ mwenyekiti wa chama, basi anataka kupeleka mapendekezo ambayo ni ya kulinda maslahi yake na Membe. bahati mbaya Katibu mkuu Shigela amekuwa makini sana na hata akamtonya Makamu Beno na muhtasari zote zikabadilishwa na zinaendelea kubadilishwa kutokana na mapendekezo ya vikao vya vijana.

pili, katika kujaribu kuanza kufanya kampeni ya watu kwenye uchaguzi nchi nzima na taifa, kwanza ni jambo ambalo linashangaza wengi, kwasababu anafanya kama vile Kikwete anautafuta Urais wa awamu ya tano au labda yeye angaombea. Kwakweli amejenga historia mpya ya familia za marais kwa nchi yetu ya Tanzania. Kwahiyo jana usiku aliwaita MAKATIBU WOTE wa MIKOA wa UVCCM na kuwapatia kila mmoja Tsh MILIONI MOJA, maana yake kama takribani MILIONI 30 jumla, na akwapa maelekezo na kuwatishia wengine kwamba wasipotii, ajira zao zitasitishwa. Haya nia matumizi mabaya sana ya madaraka na fedha za umma. Tunaomba tuikemee wote.

Na hao makatibu waliohongwa waoga inawezekanaje kucheka na mbwa?cheka na mwenye mbwa au ukicheka na mbwa atakufuata hata msikitini,hayo ni matokeo ya woga.
 
Ujinga wenu ndiyo unaompa kiburi, rudisheni hizo kadi tafuteni M4C ilipo mjiunge kuikomboa nchi yenu, achaneni na hicho chama chenu ambacho kimeacha misingi thabiti ya baba wa taifa na kugeuka kama chama cha machifu, wanataka kurithiana madaraka ili waendelee kutanua utafikiri nchi ni ya kwao peke yako.
 
Mleta mada tunaomba utueleze hizo agenda zilizochakachuliwa lakini pia wagombea mbalimbali na vigogo wanaowapigia debe.
 
Ngoja niimbe pamoja na Komba CCM CCM aaaaahhh aaaaaaah chama cha mapinduzi CCM number one # 2
 
Beno malisa na bashe ndio wanaoyafanya haya wanageuza maneno,hawa ni nyoka wabaya sana wachumia tumbo.
 
Matatizo yenu na chama chenu na Riz1 wenu mkayamalize wenyewe kwa mwenyekiti wenu.
 
Beno malisa umeua uvccm kwa njaa zako.huna lolote wewe msaliti mkubwa wa vijana wa tanzania.
 
Mtoto Rais Jakaya Kikwete, Riziwan, ambaye yupo Dodoma kuhudhuria vikao vya Kamati ya utekelezaji na Baraza kuu la vijana huko Dodoma amewavuruga vijana wenzake baada ya kuzidiwa hoja na vijana wengi nchi nzima kwenye vikao hivyo, sasa akaanza kutumia nguvu ya mamlaka/dola na mabilioni ya pesa ambayo amejitengenezea katika kipindi hiki cha Urais wa baba yake.

kwanza, anamtumia mtumishi wa UVCCM, Mzee Mipiko kubadilisha muhtasari/minutes za vikao vyote ili kuweza kulinda hoja zake ambazo alishindwa kwenye vikao. na kwasababu maamuzi ya UVCCM bado yanahitaji baraka za baba yake/ mwenyekiti wa chama, basi anataka kupeleka mapendekezo ambayo ni ya kulinda maslahi yake na Membe. bahati mbaya Katibu mkuu Shigela amekuwa makini sana na hata akamtonya Makamu Beno na muhtasari zote zikabadilishwa na zinaendelea kubadilishwa kutokana na mapendekezo ya vikao vya vijana.

pili, katika kujaribu kuanza kufanya kampeni ya watu kwenye uchaguzi nchi nzima na taifa, kwanza ni jambo ambalo linashangaza wengi, kwasababu anafanya kama vile Kikwete anautafuta Urais wa awamu ya tano au labda yeye angaombea. Kwakweli amejenga historia mpya ya familia za marais kwa nchi yetu ya Tanzania. Kwahiyo jana usiku aliwaita MAKATIBU WOTE wa MIKOA wa UVCCM na kuwapatia kila mmoja Tsh MILIONI MOJA, maana yake kama takribani MILIONI 30 jumla, na akwapa maelekezo na kuwatishia wengine kwamba wasipotii, ajira zao zitasitishwa. Haya nia matumizi mabaya sana ya madaraka na fedha za umma. Tunaomba tuikemee wote.

Mbona unalalamika? chukua hatua, au hujui namna ya kuchukua hatua? leta vithibitisho kama kweli au nawe ni majungu? Kumbuka George Bush Senior na George Bush Junior! kama anaweza politics anao uhuru huo na wewe kama unaweza politics shindana nae kama hauwezi kushindana hilo suala lingine, Punguza majungu na jaziba, then you have to rember the rule of Survival of the fittest.
 
acha majungu, ukweli uko wazi Beno na Bashe ndiyo tumewona waziwazi wakigawa pesa kama njugu kwa wajumbe. usitake kutufanya wajinga.
 
Mtoto Rais Jakaya Kikwete, Riziwan, ambaye yupo Dodoma kuhudhuria vikao vya Kamati ya utekelezaji na Baraza kuu la vijana huko Dodoma amewavuruga vijana wenzake baada ya kuzidiwa hoja na vijana wengi nchi nzima kwenye vikao hivyo, sasa akaanza kutumia nguvu ya mamlaka/dola na mabilioni ya pesa ambayo amejitengenezea katika kipindi hiki cha Urais wa baba yake.

kwanza, anamtumia mtumishi wa UVCCM, Mzee Mipiko kubadilisha muhtasari/minutes za vikao vyote ili kuweza kulinda hoja

zake ambazo alishindwa kwenye vikao. na kwasababu maamuzi ya UVCCM bado yanahitaji baraka za baba yake/ mwenyekiti wa chama, basi anataka kupeleka mapendekezo ambayo ni ya kulinda maslahi yake na Membe. bahati mbaya Katibu mkuu Shigela amekuwa makini sana na hata akamtonya Makamu Beno na muhtasari zote zikabadilishwa na zinaendelea kubadilishwa kutokana na mapendekezo ya vikao vya vijana.

pili, katika kujaribu kuanza kufanya kampeni ya watu kwenye uchaguzi nchi nzima na taifa, kwanza ni jambo ambalo linashangaza wengi, kwasababu anafanya kama vile Kikwete anautafuta Urais wa awamu ya tano au labda yeye angaombea. Kwakweli amejenga historia mpya ya familia za marais kwa nchi yetu ya Tanzania. Kwahiyo jana usiku aliwaita MAKATIBU WOTE wa MIKOA wa UVCCM na kuwapatia kila mmoja Tsh MILIONI MOJA, maana yake kama takribani MILIONI 30 jumla, na akwapa maelekezo na kuwatishia wengine kwamba wasipotii, ajira zao zitasitishwa. Haya nia matumizi mabaya sana ya madaraka na fedha za umma. Tunaomba tuikemee wote.

mavunde na ridhiwani= membe , membe=JK kaaazi kwelikweli
 
nimeyasema haya mimi wa dodoma hapa ni msuguano wa kambi za wagombea urais wa ccm 2015 wanadhani labda policcm watakuwa wamemwua DR WA UKWELI SLAA
 
Back
Top Bottom