Riz1, Ngeleja Vs. Makamba Nani Ataongoza Wizara?

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Jamani hii mechi kati ya hawa heavy weights ndani ya magamba itaishaje? January anataka kummwamwagia Ngeleja mchanga ndani ya Ubwabwa. Tayari Jairo nje Riz1 naye kando kwa hasira ile mbaya . Hii mechi mwisho ni vipi?
 
mimi kwangu yeyote ndani ya CCM ni mhalifu! kachangia umaskini wa nchi hii kwa miaka hamsini. Hope Libya ihamie hapa tuwachanechane hawa magamba
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Jamani hii mechi kati ya hawa heavy weights ndani ya magamba itaishaje? January anataka kummwamwagia Ngeleja mchanga ndani ya Ubwabwa. Tayari Jairo nje Riz1 naye kando kwa hasira ile mbaya . Hii mechi mwisho ni vipi?

Please stop insulting the intelligence of contributors and readers on this forum kwa habari zako za ubunifu. Nakushauri ujijengee kwanza credibility na integrity za vyanzo vyako vya habari. Pumbaaf!
 
dada yangu nakushauri ungeenda kusoma na kuposti kule kwenye jukwaa la "mapenzi na mahusiano" huku umekosea. Pole.
 
mimi kwangu yeyote ndani ya CCM ni mhalifu! kachangia umaskini wa nchi hii kwa miaka hamsini. Hope Libya ihamie hapa tuwachanechane hawa magamba

Na siku hiyo Wewe, Mbowe, Slaa na Tundu Lissue mkae msatari wa mbele kabisa ili tuone mnavyochanachana watu siyo mntanguliza wazee, Watoto, Wazawazito na akina mama kama ngao yenu. Hata hivyo watanzania wamesha washtukia hamna lenu tena , hizo SILAHA mtazo pewa kutoka ujerumani labda mkawindie wanyama katika mapori ya hai na kule KILIMATEMBO
 
Please stop insulting the intelligence of contributors and readers on this forum kwa habari zako za ubunifu. Nakushauri ujijengee kwanza credibility na integrity za vyanzo vyako vya habari. Pumbaaf!

Asipopokea huo ushauri wa bure uliompa achana naye. Unajua huyo jamaa namfahamu sana , ndivyo anavyoganga njaa kwa kukaririshwa kusema yakufikirika kama Mfalme JUHA.
 
Habari za kufikirika hazina mashiko hapa jf!
labda anamaanisha hii?
attachment.php

308801_230542137007422_100001549126150_641023_1568998341_n.jpg
 
kazi za ridhiwani nape na ngeleja. habari ndo hiyo. ukiwa uvccm lazima tu utawajua hao masaratani
 
Wala huhitaji mtaalamu wa kugushi kwa mtu mwenye akili timamu kugundua kwamba hiyo email hapo juu ni feki...tena huna hata haja ya kusoma maudhui yenyewe yaliyoandikwa unajua ni feki. Kwanini nasema hivi?

1) Mtu kutumia email address ya kazini kuomba rushwa, na tena kutaja kiwango chenyewe cha hiyo rushwa haiingii akilini, sembuse tu kuandika kuhusu mambo binafsi tena ya kimapenzi. Ungetegemea kama ni kweli mtu huyu asingeacha "paper trail" ya aina yoyote.

2) Karatasi yake inaonekana imekunjwa-kunjwa, lakini maandishi yake yamebandikwa juu ya karatasi bila ya maandishi yenyewe kukunjika. Maneno yanaonekana kabisa kwamba yana kimvuli fulani ambacho kinatokana na jitihada za ku-copy and paste, au ku-fotokopi.

3) Formatting ya email inaashiria kabisa kwamba imekuwa typed kwenye Word document. Tazama indentation kwanzo kabisa wa email ambapo sentensi imeanzia kati kati, na mwisho kwenye sahihi ambapo jina limekuwa centred. Hii formatting haipo katika email etiquette wala katika programs kama MS Outlook au Lotus Notes.

4) Ukiprint email kawaida inatokea mistari fulani juu pamoja na jina la mwenye account, vitu ambavyo havipo hapa.

Tatizo lako we ni Thomasi huamini mpaka uguse. kalagabaho nchi inaliwa kwa kupokezana vijiti. Kwani kilichomuondoa mzeeMakamba ukatibu mkuu wa Magamba ni nini? Bado kidogo hii nchi itakuwa inafuata utawala wa kiiimla.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom