RIZ1 Kikwete anamiliki nyumba aliyonunua bilioni 1?

Mr. Zero, sasa huniamii tena! facts are sturbon things, wajemeni, issue isiwe kumiliki nyumba ya bilioni 1 bali mtu kuwa na bilioni moja kaipataje?, ndio maana Chenge akasema Dola milioni moja ni vijisenti tuu, issue kazipataje, kwa vile hajachukuliwa hatua zozote za kisheria maana yake ni halali.

Kuna thread huko nyuma niliwahi kusema, sisi Watanzania chuki binafsi zinatuponza, wahindi na waarabu ndio wamiliki wa karibu maghorofa yote makubwa Dar, wakiendesha sio tuu ma vogue hadi ferari na hana anauliza hata yule ni nani, sembuse kapa wapi fedha.

Akimiliki tuu mswahili, basi ndio inageuka nongwa, akipita mhindi na hammer, watu hawaulizani, akipita tuu mswahili, watu wanaulizana yule ni nani, wakisikia jina, then anafanya nini, pesa kapata wapi etc, etc.

Kama kuna real state agents humu, watuambie nyumba ya bilioni moja ndio ikoje kama ile ya gavana ni bilioni 4, hiyo nyumba ya bilioni moja ni ya kawaida sana tuu, na kuna watu wananyumba za bilioni 100! who cares!.

Angalizo: Msije dhania namtetea kijana kwa matendo yake, lakini tusiingilie sana uhuru wake binafsi, kisa ni mtoto wa rais, mwacheni!.

This kid doesn't own any property in Dar. This is one of those false allegations that you dumb-a*ss fools out there have been fabricating all these years. Should you have any credible evidence then you should report it to TAkukuro! Afterall what's the big deal with 1 Million USD mansion?
 
Ridhiwani ana huruma sana na watanzania, mtoto wa rais anaishi kajumba ka bilioni moja tu? Ridhiwani-Hadhi yako ni Bilioni hamsini, tafadhali nunua nyumba ya maana
 
Nijuavyo mimi hile eneo alinunua manji mil300 nuymba iliyo kuwe[o ikabomolewa!then akampa RiZ1 kwa minajili ya kua karibu na serikali ya muungwana coz yeye haukua kwenye(manji) list ya mtandao na alihofia hilo!so the only way kuwa karibu na muungwana ni Riz,abishe kua alikua hampleki manji kula dinner ikulu kama rafiki yk then ana meet na Mungwana!
Ukweli nashangaa sana watz wenzangu eti billion moja si hela?????????????wamwulize Gordon brown na chama chao cha labour kwa nini wako nje sasa?
Hiyo hela ni nyingi sananchi kama Uk hata a/c yako binafsi ikiwa na ongezeko la hela zisizo eleweka source yake wanaquestion hadi unaweza usizipate!then unasema bil 1 ni hela ya kawaida?achane hizo jamani waTZ wenzangu!aghhhhh
 
David Cameron...PM wa uk kwa mwaka mshahara wake hauzidi £150,000/yr!
Huyo riz hela hiyo kapata wapi wakati mtu kama Uk-pm anatumia mwaka mzima ku earn those money?????
 
Kwa wenzetu matajiri ni wafanyabiashara, wasanii, watu vipaji maalum, wagunduzi. Kwetu matajiri ni WANASIASA, familia zao na wapambe wao.

Ndiyo sababu wafanyabiashara, wasanii, watu wenye vipaji maalum, wagunduzi, madaktari na wengine wanakimbilia kwenye siasa kwa nguvu zote!

Jamii imeharibika, kufikiri kwa faida ya jamii kumepungua sana, utumwa wa mawazo unaongezeka, ubinafsi, ufisadi n.k.

Kuhusu nyumba inayojadiliwa, mwenye uthibitisho atoe then tujue kweli ni fisadi.
Siyo rahisi kumiliki mali zenye thamani ya mabilioni haraka haraka kwa maisha ya mtanzania wa kawaida.
Tunachohitaji ni kupunguza pengo kati ya wenye nacho na wasio nacho katika jamii, kupitia mgawanyo wa rasilimali za nchi.
Mijadala isiwe kama ushabiki wa Simba na Yanga.
 
Mr. Zero, sasa huniamii tena! facts are sturbon things, wajemeni, issue isiwe kumiliki nyumba ya bilioni 1 bali mtu kuwa na bilioni moja kaipataje?, ndio maana Chenge akasema Dola milioni moja ni vijisenti tuu, issue kazipataje, kwa vile hajachukuliwa hatua zozote za kisheria maana yake ni halali.

Kuna thread huko nyuma niliwahi kusema, sisi Watanzania chuki binafsi zinatuponza, wahindi na waarabu ndio wamiliki wa karibu maghorofa yote makubwa Dar, wakiendesha sio tuu ma vogue hadi ferari na hana anauliza hata yule ni nani, sembuse kapa wapi fedha.

Akimiliki tuu mswahili, basi ndio inageuka nongwa, akipita mhindi na hammer, watu hawaulizani, akipita tuu mswahili, watu wanaulizana yule ni nani, wakisikia jina, then anafanya nini, pesa kapata wapi etc, etc.

Kama kuna real state agents humu, watuambie nyumba ya bilioni moja ndio ikoje kama ile ya gavana ni bilioni 4, hiyo nyumba ya bilioni moja ni ya kawaida sana tuu, na kuna watu wananyumba za bilioni 100! who cares!.

Angalizo: Msije dhania namtetea kijana kwa matendo yake, lakini tusiingilie sana uhuru wake binafsi, kisa ni mtoto wa rais, mwacheni!.

Pasco, Asante kwa ufafanuzi wako. Hapa sidhani kama watu wanazungumza kwa chuki binafsi bali wanatoa hali halisi ya jinsi viongozi wetu wanavyotumia madaraka yao vibaya. Tatizo ni wewe kuona mambo yasiyo ya kawaida kuwa ya kawaida. Hivi hizo nyumba za BOT za 4 billioni kwako ni kawaida. Hivi mfanyakazi aliyeajiliwa miaka miwili iliyopita kumiliki mali ya 1 billion kwako ni kawaida. Wenzio tunashangaa kwa vile yeye siye mwanasheria wa kwanza TZ!! Siwezi kusema namfahamu huyu kijana zaidi ya kupitia JF, ila kama sikosei hata huo uadvocate kaupata this year kama picha zilizoletwa hapa zilikuwa sahihi. Tukiweza kupata walao vijana 5 ambao wa familia ya walala hoi ambao wameibuka ndani ya miaka 2 kazini kama yeye then tutaamini kuwa inawezekana.
 
This kid doesn't own any property in Dar. This is one of those false allegations that you dumb-a*ss fools out there have been fabricating all these years. Should you have any credible evidence then you should report it to TAkukuro! Afterall what's the big deal with 1 Million USD mansion?

Gabachori kazungumza!!!!
 
tetesi zilizoenea mjini morogoro ni kwamba RIZ an guest house kama sita hivi. na anaporomosha jengo lagorofa nadhani 6 -7 pale msamvu standi nyumaya ile hotel ya makuti
 
This kid doesn't own any property in Dar. This is one of those false allegations that you dumb-a*ss fools out there have been fabricating all these years. Should you have any credible evidence then you should report it to TAkukuro! Afterall what's the big deal with 1 Million USD mansion?

Do not go about insulting people here. Your arrogance is coming up to the surface. We know what you are standing up for! If you have any concrete evidence that 'the kid' does not own any property in Dar, put it in the open, as you have told the 'dumb-a*ss fools'. Mods please take note! You said what's the big deal about 1 mil usd mansion. This sounds familiar. One of the people inside your circles also said that and equated the sum mentioned as 'vijisenti'. People's power will rout you out. Idi Amin was right for one thing, kicking the likes of you out of Uganda
 
Labda pia ni wakati muafaka wa kufahamu ni watoto wa vigogo gani wanashiriki katika mtandao wa madawa ya kulevya....kuna watu wana serious concern katika hili,tuache ushabiki na utani kwenye mambo yanayolihusu taifa letu...

Mdau ndio maana nasemaga kila siku jamvini kwamba Tanzania ni society of lawlessness. Kuna mambo yanaendelea Tanzania kwakweli ni kama bomu linalosubiri kulipuka anyway time will tell.
 
This kid doesn't own any property in Dar. This is one of those false allegations that you dumb-a*ss fools out there have been fabricating all these years. Should you have any credible evidence then you should report it to TAkukuro! Afterall what's the big deal with 1 Million USD mansion?

Your arrogance shows a lack of tolerance in justifying what the kid is doing. First prove to the society that the allegations that people are claiming against the kid are not true. Then you can go and say your silly words to them. Otherwise you are another dumb-a**ss fool as well since you are defending someone without having any credible evidence.
 
ndiyo maana ana bifu kubwa na bashe kwa sababu ya kuzidiana kete za ulaji...............mtoto w3a nyoka ni nyoka ...........km baba yake kikwete mara tu baada ya kuingia ikulu anaamua kutengeneza kampuni feki ya richmond kwa kushirikiana na lowasa na rostamu we unafikiri itakuwaje kwa huyu FISADI CHIPUKIZI?.....TUJIANDAYE KUMPINGA KWA NGUVU ZOTE WASITUCHAfulie nchi..........ikulu imekuwa mradi wa familia siku hizi......SIAMINI KM NYERERE ALIWAHI KUTUMIA FAMILIA YAKE KWA GHARAMA YA SERIKALI ILI WAENDE KUWADANGANYA WATZ..............
MPENI KURA DR.SLAA
 
WASTED :llama:

Personal issues ila ridhwan nafikiri sio kula kula kulala kwa baba kama unavyofikiri wewe.. ni msomi aliyemaliza UDSM! ni TZ its a free country sio china kwamba wakuite na kukuuliza pesa umepata wapi..?! PS si kiongozi wa serikali PIA Nafikiri hiyo ina kutoa nje kabisa ya kuhoji kila anachomiliki yeye binafsi

Sidhani kama uko serious na hichi ulichoandika! Kama uko serious unatakiwa uelewe kwamba kwa nafasi aliyonayo baba yake lazima watu wawe na wasiwasi na mali anazojimbikizia zisizo na maelezo. Tuna uhakika gani kwamba sio baba anamtumia? Au yeye binafsi anatumia ofisi ya baba? Ukizingatia kwamba hiyo shule amemaliza muda si mrefu, je anastahili kuwa na nyumba ya thamani hiyo? Ndege tuwe serious kwenye masuala nyeti na kwenye jokes basi tufanye jokes.
 
This kid doesn't own any property in Dar. This is one of those false allegations that you dumb-a*ss fools out there have been fabricating all these years. Should you have any credible evidence then you should report it to TAkukuro! Afterall what's the big deal with 1 Million USD mansion?
Kweli wewe ********* sasa unaonyesha wazi makucha uliyokuwa umeyaficha. Siku zako na wenzako mliozoea kutunyonya zimefikia ukingoni. Wewe na wenzako mnahaha kwa kuwa hao waliokuwa wanawabeba mambo hayawaendei vizuri. Fungasha uondoke kabla hatujaichukua nchi yetu. Kama huelewi kama tumechoka kunyonywa na kudhalilishwa na watu kama wewe na vibaraka wenu walio madarakani ambao wamewapa njia zote za kutunyonya, subiri Oktoba 31. Sauti ya wanyonge itakaposema wazi kuwa tumechoka na kuwaondoa hao vibaraka. Hamna hata ustaarabu, mmepokelewa sasa mnatukana wenyeji. Tuthibitishie kama 'mtoto' hana hiyo nyumba, siyo uje na matusi hapa. Tanzania ni nchi yetu, siyo ya *********.
 
this kid doesn't own any property in dar. This is one of those false allegations that you dumb-a*ss fools out there have been fabricating all these years. Should you have any credible evidence then you should report it to takukuro! afterall what's the big deal with 1 million usd mansion?

nikampoon
 
Tunapoteza muda kujadili bila ushahidi wa hiyo nyumba. Lakini atakama sio kweli huyu kijana ameingia vipi kwenye siasa za Tanzania ? kama sio kwa mgongo wa baba yake ?...kitendo hicho kinavunja maadili ya uongozi (Nitatumia madaraka yangu kwa faida ya umma...something like that...JK amelewa madaraka na yuko kwa manufaa yake binafsi, familia yake na mafisadi rafiki zake (EL, RA....)
 
Back
Top Bottom