RIZ1 Kikwete anamiliki nyumba aliyonunua bilioni 1?

IMMA ni moja ya reputable law firms hapa mjini, nimeona young lowyers waliojiunga nayo juzi tuu, leo wameshavuta ma-vogue na ma Hammer barabarani, itakuwa hiyo bilioni?!.
Kwa hiyo unamaanisha kuwa Vogue/Hummer inagharimu zaidi ya Billioni moja?
 
Papa Mkubwa PAPA, je Papa mdogo???..!
papa mdogo anaitwa APAP!
Hii thread sijui inatusaidia nini? Yani mtoto wa rais wa Tz hatakiwi awe na sh bilion moja wala hatakiwi awe na uwezo wa kukopa benki hiko kiasi. Hivi tumefanya utafiti na kubaini ni watanzania wangapi leo hii wanaweza kuwa na sh bilion 1? Au ni Chenge tu na RiziOne? Wakati mwingine tujadili yanayoleta tija kwa taifa, haya mambo ya kuhisi na kuhukumu yanadhoofisha utashi wa JF.
Yes haruhusiwi kupata hizo funds kifisadi kama huyu mnayemtetea sasa.
Kwa hiyo mtoto wa rais analipwa mshahara kwa nafasi yake?
 
Mr. Zero, sasa huniamii tena! facts are sturbon things, wajemeni, issue isiwe kumiliki nyumba ya bilioni 1 bali mtu kuwa na bilioni moja kaipataje?, ndio maana Chenge akasema Dola milioni moja ni vijisenti tuu, issue kazipataje, kwa vile hajachukuliwa hatua zozote za kisheria maana yake ni halali.

Kuna thread huko nyuma niliwahi kusema, sisi Watanzania chuki binafsi zinatuponza, wahindi na waarabu ndio wamiliki wa karibu maghorofa yote makubwa Dar, wakiendesha sio tuu ma vogue hadi ferari na hana anauliza hata yule ni nani, sembuse kapa wapi fedha.

Akimiliki tuu mswahili, basi ndio inageuka nongwa, akipita mhindi na hammer, watu hawaulizani, akipita tuu mswahili, watu wanaulizana yule ni nani, wakisikia jina, then anafanya nini, pesa kapata wapi etc, etc.

Kama kuna real state agents humu, watuambie nyumba ya bilioni moja ndio ikoje kama ile ya gavana ni bilioni 4, hiyo nyumba ya bilioni moja ni ya kawaida sana tuu, na kuna watu wananyumba za bilioni 100! who cares!.

Angalizo: Msije dhania namtetea kijana kwa matendo yake, lakini tusiingilie sana uhuru wake binafsi, kisa ni mtoto wa rais, mwacheni!.

Ndugu yangu Pasco,
Ukitaka kujadili suala hili kwa usahihi unaotakiwa, na bila hisia, weka mukhtadha wa maadili ili kupata fasili ya kazi halali na malipo halali. Kuna haja ya kufahamu kuwa kumiliki mali yenye thamani ya bilioni moja ni jambo la kawaida, ila tatizo linajitokeza tunapoanza kujadili uhalali wa mapato hayo.

Aidha, kusema kuwa IMMA ni reputable law firm ni sawa na kuwatukana Watanzania. Hii ni kampuni ya kimafia ambayo imekuwa ikitumika kusaidia wezi wa rasilimali za taifa. Hawa si weledi wa kusifia hata kiogo.

Labda wanaJF wanaweza kujibu swali hili; kwa nini tangu kuanzishwa kwa IMMMA, miaka takribani 10 iliyopita, mkakati wake umekuwa ku-annex watoto wa viongozi?

Ishengoma tunamjua, akiwa mtoto, alipokuwa mwanasheria wa PPF chini ya Mattaka na hata alipopata mkopo KCB kuanzisha IMMMA. Mgogora wake na Mattaka unafahamika. Si Masha, Mujulizi wala Magai ambaye hatufahamu historia yake. Hatuwezi kuacha kujadili masuala binafsi iwapo kuna uhusiano na upotevu/wizi wa mali ya umma; ukiukwaji wa maadili ya kusimamia mali ya umma.
Tuwe wakweli na waangavu.

Kutajirika siyo bahati, ila ni kujituma na kutanguliza weledi na uadilifu.
Tajiri asiyeweza kueleza historia yake ya kweli hadharani juu ya namna alivyopata mali zaka haiyumkini ni mwizi. Nani anamtetea huyo; Pasco?
Siamini.
 
hapo kwenye nyekundu hakuna ubaya kabisa, ila tatizo wanafanya hizo kampeni kwa gharama ya nani?, maana isiwe fedha wanazokatwa walmu na police ndizo mama salma anazokodiwa ndege

ongezea na fedha za kununulia vitanda vya wagonjwa - jamani nani hajaingia muhimbili - wodi ya wazazi, mwaisela, sewahaji, kibasili - akaona ndugu zetu wanavyolala chini?? halafu sio kulala chini tu - ila wamebanana - halafu watu wanajirusha kwani wao wakiumwa tu mafua wanaenda kutibiwa nje - MBELE YA HAKI - TUTASIMAMA HAKUNA CHA RAIS, MTOTO WA RAIS AU MKE WA RAIS - WANADAMU WOTE - ila mradi tuko duniani - tujiulize KODI INAFANYA NINI??? ukifanya kazi KODI, ukipaki gari KODI, ukinunua bidhaa KODI, ukijenga nyumba KODI, ukinunua kiwanja KODI, Ukimiliki gari KODI, yaani......................... halafu hamna lolote la kuwasaidia wananchi - WAKUBWA WANAGAWANA kodi zote zinazopatikana..................................anyway WE NEED CHANGE - thats why we argue all TANZANIANS to vote for a different President !!!!!!!!!!!!!!!!! anayejali shida za WANADAMU WENZAKE
 
Napata fadhaiko pale itakapo fikia siku baba,mama na mwana (BMW) wanapoweza kufikishwa kwenye mahakama moja kwa kesi ya uhujumu uchumi sijui huzuni itakuwaje ndani ya familia?
Samahani nilikuwa naota tuu.



mi nadhani ntahudhuria mahakamani japo kushuhudia mwonekano wa nyuso zao
 
The House please nataka nione Picha ya hiyo jumba jamani tujue wale watathimini wa majengo ndio walitupa iyo thamani ya hilo jumba au??
 
Dawa yao ni kumchagua SLAA,jk ANACHEKA NAKULEA WAHALIFU,TUMCHINJIE BAHARINI TAREHE 31 0CT,CHADEMA ndio mpango mzima.
 
Mimi nilimpa offer ya hii kwa 1m yeye akataka ya 1bn

Chole%20nyumba.jpg
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
 
Pasco kama ndio hivyo ma advocate wote wangekuwa mabilionea. hapa ukweli uwekwe wazi tu kuwa na mdingi ana mkono hapo.
Bora ungesema ni Mtoto wa rais kidogo ningekuelewa.
 
ccm ndo tunasema huo ni wivu sasa mbona bilion 1 kwa nyumba (PRESIDENTIAL BUILDING) kawaida saana sioni tatizo kwa hili bwana!

Eti unasemaje? Kwani huyu dogo kamaliza chuo lini na kafanya kazi ya mshahara wa shilingi ngapi hadi kumiliki nyumba ya 1b? Kama ni kawaida wewe unayo? Hatujawahi kusikia kama ana biashara anafanya kumuongezea kipato.
Sorry to say this but i don't buy it.
 
Pasco kama ndio hivyo ma advocate wote wangekuwa mabilionea. hapa ukweli uwekwe wazi tu kuwa na mdingi ana mkono hapo.
Bora ungesema ni Mtoto wa rais kidogo ningekuelewa.
alimaanisha hata malipo yake anapokuwa kazini analipya kifisadi kila kitu niuchafu tu. Yule mtoto ni mchafu bwana!
 
Kwani we hujui kuwa nchi ina wenyewe na wenyewe ndio hao wakina RIZI ZERO?
Inasemekana Riz1 alinunua nyumba ya thamani ya Tsh bilioni moja (1,000,000,000/=) maeneo ya masaki,
Swali: Ana mradi gani wa kupata hela hizi zote? au ndo maana familia nzima inapambana kurudi Ikulu?. Mwenye huakika atujulishe.
 
Eti unasemaje? Kwani huyu dogo kamaliza chuo lini na kafanya kazi ya mshahara wa shilingi ngapi hadi kumiliki nyumba ya 1b? Kama ni kawaida wewe unayo? Hatujawahi kusikia kama ana biashara anafanya kumuongezea kipato.
Sorry to say this but i don't buy it.


Nilivyomaanisha ya kawaida nilikuwa namaana ya thamani zake ni possible nyumba kuwa na thamani hizo wakuu!! Siyo lazima niwe nayo mimi ila kwa ghalama za ujenzi inawezekana kabisa. kama mtu mama yake anatumia milion 22 kwa ajili ya safari za kampeni kinana alithibitisha hilo. hance inawezekana kuwa na Nyumba ya ghalama hiyo.
 
ccm ndo tunasema huo ni wivu sasa mbona bilion 1 kwa nyumba (PRESIDENTIAL BUILDING) kawaida saana sioni tatizo kwa hili bwana!
Huwezi kuona tatizo, hata wewe umefaidika na pesa za wizi. Tufafanulie IMMMA wanamlipa Rizi kiasi gani kwa mwezi? Anafanya biashara za aina gani? Amelipa kodi stahili?
 
Halafu anafika kwa walalahoi wanampigia saluti, kweli Tanzania kuna mazuzu. Mahakama zinawafunga watu kwa kesi za kusingiziwa (Babu Sea), wezi (Riz1) wako mtaani, haki ya nani lao laja, naamini malipo ni hapa hapa duniani.
 
Labda pia ni wakati muafaka wa kufahamu ni watoto wa vigogo gani wanashiriki katika mtandao wa madawa ya kulevya....kuna watu wana serious concern katika hili,tuache ushabiki na utani kwenye mambo yanayolihusu taifa letu...
 
labda pia ni wakati muafaka wa kufahamu ni watoto wa vigogo gani wanashiriki katika mtandao wa madawa ya kulevya....kuna watu wana serious concern katika hili,tuache ushabiki na utani kwenye mambo yanayolihusu taifa letu...
mmmh hapo ndo namkumbuka dada yangu amina. Rip sister
 
Mr. Zero, sasa huniamii tena! facts are sturbon things, wajemeni, issue isiwe kumiliki nyumba ya bilioni 1 bali mtu kuwa na bilioni moja kaipataje?, ndio maana Chenge akasema Dola milioni moja ni vijisenti tuu, issue kazipataje, kwa vile hajachukuliwa hatua zozote za kisheria maana yake ni halali.
Again nani Tanzania amechukuliwa hatua kwa kupata pesa nyingi isivyo kihalali? heck tumemuona baba yake anawapigia kampeni akina Mramba (kesi yake iko mahakamani), Lowassa na Rostam.

Kama kuna real state agents humu, watuambie nyumba ya bilioni moja ndio ikoje kama ile ya gavana ni bilioni 4, hiyo nyumba ya bilioni moja ni ya kawaida sana tuu, na kuna watu wananyumba za bilioni 100! who cares!.
Hiyo nyumba ya bil 100 iko Tanzania hii au?
 
Back
Top Bottom