RIZ1 Kikwete anamiliki nyumba aliyonunua bilioni 1?

Sishangai hata kidogo. Jina la huyu kijana limekuwa likitajwa kwenye miradi ya Richmond, Dowans n.k ambayo ni dhuluma kwa raia wa tanzania

Kaka hapa unamuonea. Aliyekuwa anatajwa ni mwingine kabisa mwenye asili ya huko Arusha. Ridhwani anaweza kuwa na yake lakini hili la Dowans wala Richmond msimuingize...
 
Kaka hapa unamuonea. Aliyekuwa anatajwa ni mwingine kabisa mwenye asili ya huko Arusha. Ridhwani anaweza kuwa na yake lakini hili la Dowans wala Richmond msimuingize...
Afadhali wewe umefafanua. Kwenye Dowans ni kijana wa Lowassa. Data za Ridhiwani ni tofauti kabisa.
 
Napata fadhaiko pale itakapo fikia siku baba,mama na mwana (BMW) wanapoweza kufikishwa kwenye mahakama moja kwa kesi ya uhujumu uchumi sijui huzuni itakuwaje ndani ya familia?
Samahani nilikuwa naota tuu.
 
Hii thread sijui inatusaidia nini? Yani mtoto wa rais wa Tz hatakiwi awe na sh bilion moja wala hatakiwi awe na uwezo wa kukopa benki hiko kiasi. Hivi tumefanya utafiti na kubaini ni watanzania wangapi leo hii wanaweza kuwa na sh bilion 1? Au ni Chenge tu na RiziOne? Wakati mwingine tujadili yanayoleta tija kwa taifa, haya mambo ya kuhisi na kuhukumu yanadhoofisha utashi wa JF.
 
inasemekana riz1 alinunua nyumba ya thamani ya tsh bilioni moja (1,000,000,000/=) maeneo ya masaki,
swali: Ana mradi gani wa kupata hela hizi zote? Au ndo maana familia nzima inapambana kurudi ikulu?. Mwenye huakika atujulishe.

mie niliwahi kusikia hii habari ila sikuwa na uhakika. Lisemwalo lipo. Huyu dogo kilaza amekuwa juu sababu ya baba yake aliye mfisadi pia. Marais wa kweli hawataruhusu hata hizi tetesi ziwepo.
Anyway, ukiwaingilia sana watakuwasha risasi tu, siku hizi wamekuja na mbinu mpya ya kujifanya mhusika kavamiwa na majambazi kumbe ni hao hao.
 
Inasemekana Riz1 alinunua nyumba ya thamani ya Tsh bilioni moja (1,000,000,000/=) maeneo ya masaki,
Swali: Ana mradi gani wa kupata hela hizi zote? au ndo maana familia nzima inapambana kurudi Ikulu?. Mwenye huakika atujulishe.

Kwanza, nashauri ukianzisha thread hapa uwe umefanya homework yako na kupata all the details badala ya kuandika nasikia au inasemekana.

pili kama ikidhibitika ni kweli basi kijana atakuwa amebobea kwenye ufisadi kwa haraka sana.

Tatu, familia kufanya kampeni hakuna ubaya ili mradi ni kwania njema maana naamini hata ungekuwa ni wewe raisi naamini kabisa mkeo na watoto wako wangefanya kampeni either kichinichini au hadharani kama familia ya jk. Katika hili la msingi ni uadilifu, kama upo kampeni zitaonekana safi kama hamna zitaonekana uchafu
 
Do you have any credible evidence to support your malicious claim?
Where is that house located? Physical address? Have you tried to report this to TAKUKURO?
Stop lying, dude!
 
Kwanza, nashauri ukianzisha thread hapa uwe umefanya homework yako na kupata all the details badala ya kuandika nasikia au inasemekana.

pili kama ikidhibitika ni kweli basi kijana atakuwa amebobea kwenye ufisadi kwa haraka sana.

Tatu, familia kufanya kampeni hakuna ubaya ili mradi ni kwania njema maana naamini hata ungekuwa ni wewe raisi naamini kabisa mkeo na watoto wako wangefanya kampeni either kichinichini au hadharani kama familia ya jk. Katika hili la msingi ni uadilifu, kama upo kampeni zitaonekana safi kama hamna zitaonekana uchafu

hapo kwenye nyekundu hakuna ubaya kabisa, ila tatizo wanafanya hizo kampeni kwa gharama ya nani?, maana isiwe fedha wanazokatwa walmu na police ndizo mama salma anazokodiwa ndege
 
Na Hotel ya Mtoto wa Dr ipo "under construction"! Well, kabla ya 31st Oct 2010 uchafu mwingi utawekwa hadharani...

Hili limeibuliwa kwenye Kampeini huko Mbeya:A S 13:
 
sio masaki jumba lipo mikocheni karibu na kanisa la Lomani kathoriki. jumba linatisha kajenga kupitia kwa fisadi mmoja ambaye huwa anawajengea nyumba mafidi walio madarakani. katika mtaa ambapo liziwani amejenga hilo jumba pia kuna nyumba ya mtoto wa Mzee mkono. jumba la rithiwan rinapangishwa kwa $ 4,500 per m. pia anawahamisha watu kibao sinza . kijana yuko juu
 
Akiri - twende taratibu!

Barabara inayoelekea mitaa ile imeshajengwa?

Huyo Mkandarasi ni kama "Baba yake mdogo"!
 
Hii thread sijui inatusaidia nini? Yani mtoto wa rais wa Tz hatakiwi awe na sh bilion moja wala hatakiwi awe na uwezo wa kukopa benki hiko kiasi. Hivi tumefanya utafiti na kubaini ni watanzania wangapi leo hii wanaweza kuwa na sh bilion 1? Au ni Chenge tu na RiziOne? Wakati mwingine tujadili yanayoleta tija kwa taifa, haya mambo ya kuhisi na kuhukumu yanadhoofisha utashi wa JF.

Tatizo sio mtoto wa rais kuwa na nyumba ya billion moja, tatizo hapa ni kuwa amepata wapi pesa hizo, Riz 1 anafahamika kuwa ni muajiriwa wa kampuni ya uwakili ya IMMMA na kwa hakika kwa mshahara wake tu hawezi kuwa na kiasi hicho cha pesa. labda tuseme amekopa benki je ni bank gani inaweza kuruhusu mtu wa mshahara wa kawaida tu kukopa kiasi hicho cha fedha, si itamchukua almost maisha yote kulipa deni hilo! na Riz bado hajawa a law gulu kusema analipwa pesa nyingi kutokana na kesi anazosimamia. Sorry Am smelling something fishy if this thread is true at all!
 
u kno little about this dude, used to date my friend he once told her that hes building a big hotel in Bagamoyo and all the Lake Oil filling stations are under his possession
 
Hii hapa na mkoko wake

1.jpg
 
Back
Top Bottom