RIZ 1 , Six Telecoms na Tenda zao TANESCO

Mtaka Haki

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
492
149
Mradi wa kufua umeme kwa upepo unaokazaniwa kuuziwa Tanesco inasemekana ni wa jamaa yule yule wa Six Telecoms. Wakati huo huo vigogo hao walio karibu na rais wakikazana kuiuzia TANESCO umeme wa megawatt 100 kwa bei wanayoitaka. Rz1 kaja na mkakati wa kuuza vocha za LUKU, anakazana na tenda ya kuuza vocha za LUKU.
Kuna nini TANESCO? Richmond walichota TANESCO, DOWANS bado wataendelea kuchota huko huko.
Tunamuomba kwa heshima rais Kikwete ajiuzulu kwa kuliingiza Taifa katika giza na umaskini. CCM imeendelea kuwaacha watu hawa. Wananchi wanaumia mno.

Juzi nilimsikia mtu mmoja akisema Tanzania tuna maadui wanne.

1. Umaskini 2. Ujinga 3. Maradhi. na adui wa 4 wa TANZANIA ni CCM.
 
Tulikuwa mahali fulani hotelini saa za jioni, mama mmoja akamwona mtoto wake mdogo wa miaka kama 6 anajaribu kwenda uwanjani mbali na alipokuwa mama huyo. Akamwita mtoto wake na kumwambia "rudi haraka usiende huko unaweza kuchukuliwa na CCM"
Mtoto alirudi haraka.
 
Haha ha haha

Nimecheka sana mkuu, tafuta picha ya kiravu - yule wa tume ya uchakachuaji uchaguzi wa NEC uoneshe watoto. Watakimbia kama hawana akili. Ona hii akiwa na damu all over his body (rangi nyekundu):

picha+no+1.JPG
 
Tulikuwa mahali fulani hotelini saa za jioni, mama mmoja akamwona mtoto wake mdogo wa miaka kama 6 anajaribu kwenda uwanjani mbali na alipokuwa mama huyo. Akamwita mtoto wake na kumwambia "rudi haraka usiende huko unaweza kuchukuliwa na CCM"
Mtoto alirudi haraka.

Hii kali!! Yaani nimecheka mpaka mbavu zinauma. Yaani mtoto kusikia CCM tu mbio!!!
 
Mradi wa kufua umeme kwa upepo unaokazaniwa kuuziwa Tanesco inasemekana ni wa jamaa yule yule wa Six Telecoms. Wakati huo huo vigogo hao walio karibu na rais wakikazana kuiuzia TANESCO umeme wa megawatt 100 kwa bei wanayoitaka. Rz1 kaja na mkakati wa kuuza vocha za LUKU, anakazana na tenda ya kuuza vocha za LUKU.
Kuna nini TANESCO? Richmond walichota TANESCO, DOWANS bado wataendelea kuchota huko huko.
Tunamuomba kwa heshima rais Kikwete ajiuzulu kwa kuliingiza Taifa katika giza na umaskini. CCM imeendelea kuwaacha watu hawa. Wananchi wanaumia mno.

Juzi nilimsikia mtu mmoja akisema Tanzania tuna maadui wanne.

1. Umaskini 2. Ujinga 3. Maradhi. na adui wa 4 wa TANZANIA ni CCM.

pale kibaha Riz1 amefungua mashine ya kichina ya kusaga unga wa sembe...... anataka kushindana na Bakhresa....... huyu jamaa is after wealth so that he can easily conquer power..... ataweza kwa watanzania wa sasa? i doubt.... now in TZ money is not everything
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom