Riz 1 ndani ya uwanja wa taifa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Kijana wetu anazidi kutupa moyo na upenzi wake na yanga naona
leo yuo kule front kabisa kuangalia vichekecho vya yanga na ruvu stars
anyway kama waatcheza hivi na zamelek jamani tupokee msiba
huyo chuji mliomweka ni aibu tupu sijui kuna hisia gani anyway tusibiri tuone
 
Riz1? Mbona hakuonekana kuwapa moyo wagonjwa Muhimbili,madaktari walipogoma??
Alikuwa anamtuliza sister Mwanaasha kuwa asijali hata Div 4 kwa mtoto wa maskani ya Magogoni anaweza kuibukia pazuri tuu
 
DAH kama hutanii, basi you really need to get a life.

I do have a life and very happy!!Swali ni kuwa yeye anamchango gani mkubwa kiviile in search a way akionekana uwanjani watu wanafarijika?
Kama ni mtu muhimu,basi na nyanja zingine angejitokeza!!!
 
Riz1? Mbona hakuonekana kuwapa moyo wagonjwa Muhimbili,madaktari walipogoma??
jamani yeye ahusiki na siasa labda mambi mengine embu mpeni kapumzi jamani ndio neema ishamwagukia tuganyeje??
 
mbona mtoto wa gadafi amefadhili sana timu za mipira alipoona babake ananyinga watu uliona kaenda kuwapa pole???
wale wamam waliomwagiwa majiya moto na yule mshenzi mtoto wa kikewa gadafi alienda utoa pole
basi ujue kazi ipo eleweni tofauti ya dili na diliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kijana anacheza na opportunity sehemu zingine tunaenda sie wana Tamwa
 
I do have a life and very happy!!Swali ni kuwa yeye anamchango gani mkubwa kiviile in search a way akionekana uwanjani watu wanafarijika?
Kama ni mtu muhimu,basi na nyanja zingine angejitokeza!!!
Hakuna mtu aliyekwambia amefarijika...
Kwa sisi wana yanga, huyo jamaa huwa anatusaidia sometimes kikofia kikitembezwa pale jangwani,
Siasa mbali, huyu brother wanayanga tunamzimia, kuhusu baba yake hapo siyo sehemu yake.
Wewe una chuki za kibinafsi inaonyesha .... ni sawa na watu wanaomchukia au kumpa majina mtoto mdogo wa Slaa....
Heshimuni familia ingawa hammuheshimu mkuu wa kaya.
 
Issue hapa ni kuwa Mtoto wa Rais? lakini vinginevyo asingeenea kwenye jf
 
Issue hapa ni kuwa Mtoto wa Rais? lakini vinginevyo asingeenea kwenye jf

Nashauri dogo riz awe makini sana kwani kwa kifupi inanipa picha kuwa hakubaliki sana na walimwengu kwa misingi fulani hivyo awe mwangalifu na ikiwezekana asafiri kwa nyota yake mwenyewe
 
Back
Top Bottom