RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)……(6)
MTUNZI…..EMMANUEL F.KWAY
Contact…..+255718 862176
AGE…..(18+)
ILIPOISHIA
“Embu nipatie namba yake ili niweze kufanya naye
mazungumzo mimi mwenyewe, kuna kazi tayari
nishamtafutia anatakiwa kuanza kesho,nitajie
namba zake za simu”
Hakuna siku aliyokuwa katika wakati mgumu kama
siku hiyo,Nickson alikuwa akijishauri kichwani ni
kitu gani akifanye.
SONGA NAYO.
Kichwani mwa Nickson alielewa jambo moja tu,
hakukuwa na kazi yoyote hapo, isipokuwa bosi
wake anamtaka Mke wake Gloria kimapenzi,hilo
alilielewa wazi baada ya kuunga matukio, aliumia
zaidi hasa alipomfikiria mke wake alivyokuwa
mzuri,alimeza mate huku akifatakari ni jambo gani
alifanye,kitendo cha kutotoa namba za simu
kilimaanisha kumuweka katika uhusiano mbaya na
Mzee Magugu bosi wake, aliyekuwa nyuma ya
meza anamsisitiza atoe namba huku akizugusha
kiti chake.
“Hizi hapa bosi”
Alisema Nickson huku akimuwekea bosi wake simu
mbele yake, ambapo tayari aliweka jina lilioandikwa
‘my lovely wife’ juu ya tarakimu.
Mzee Magugu hakuchelewa hapohapo alizichukua
na kuanza kuzipiga ili kumtoa Nickson wasiwasi,
akaweka ‘loudspika’haikuchkua hata sekunde tano
upande wa pili wa simu ukapokelewa.
“Mama Shayo,hujambo?”
“Sijambo nani mwenzangu?”
“Oh rafiki yako mimi, umenisahau?”
“Usinipotezee wakati,huna jina?”
“Ah sasa mbona mkali?”
“Nina kazi za kufanya,kama huna cha maana
usinisumbue”
Gloria aliongea kwa ukali kidogo,Mzee Magugu
akajichekesha.
“Nipo na Mumeo hapa”
“Nickson?”
“Ndio huyo huyo”
“sasa ndiyo useme ivyo,hajambo kwanza mume
wangu?”
“Hajambo sana,naona mpaka kanenepa ana
kitambi,unampikia nini?”
“Chakula cha kawaida tu,mpo wapi kwanza?”
“Tupo ofisini hapa,ushanikumbuka mimi?”
“Hapana”
“Mlikuja kunipokea Airpot jana,mimi ni bosi wake”
Kusikia hivyo, Gloria hakujibu kitu kingine kwa
karibu sekunde nane.
“Halloo Mama Shayo”
“Abee”
“Mbona kimnya?”
“Amna kitu”
“Sasa… nilikuwa nakwambia zile habari za
kazi,nishakutafutia tayari na unatakiwa kesho
uanze mara moja,ivyo uje hapa na Nickson ili
nikupe utaratibu”
“Aya”
Maongezi kwa njia ya simu yakaishia hapo na
simu ikakatwa, Moyoni mwa Mzee Magugu
alishaapia kuwa, ilikuwa ni lazima amjaze Gloria
kingi,na ni kweli mpaka hatua aliyofikia alijipa
moyo,mbali na kuwa bosi wa Nickson Mzee
Magugu alikuwa ana uwezo kifedha, hiyo ilimpa
moyo zaidi!
Alimruhusu Nickson akaendelee na kazi huku
akizidi kuvuta picha ya Gloria kichwani kwake.
Japokuwa msichana huyo alikuwa mchaga lakini
alikuwa ana makalio kiasi na kufanya nyuma
abinuke hiyo ndiyo ikamtia hamasa zaidi.
“Huyu mtoto lazima nimpate kwa gharama yoyote
ile,Nickson hawezi kumiliki mke mzuri kuliko wa
bosi wake,kwa kipi alichokuwa nacho”
Hayo yalimiminika ndani ya ubongo wa Mzee
Magugu huku mara kadhaa sura ya Gloria ikipita
kichwani kwake kama mtu anaye angalia sinema!
****
Nyumbani kwa Nickson kulizuka ugomvi mkubwa
sana,kitendo cha Nickson kutoa namba za Gloria
ndicho kilifanya nyumba nzima ijae kelele usiku
huo wa saa mbili baada ya Nickson kutia maguu!
“Mimi sijapenda,nimekwambia sitaki kazi zenu,au
unataka kuniuza kwa bosi wako?sema
kabisa,nambie kama mna njama,maana
sikuelewi,mimi nimekwambia nini kinaendelea
wewe hutaki kunielewa,unachotaka nini sasa?
unaomba msamaha wa nini?unaomba msamaha
wa nini? wakati ushatoa namba,kwa kweli
umenikera Nick,umeniudhi sana,niache
usinishike,usinishike.. niache nakwambia”
“Gloria naomba unisikilize”
“Siwezi kukusikiliza tena,inaonesha ni kiasi gani
una nidharau”
“Yule ni bosi wangu”
“Kwahiyo?”
“Ningekataa isingekuwa picha nzuri”
“Picha nzuri eeeeh!wewe si unamuogopa,mimi
namtukana akianza kunieleza upuuzi wake”
“Utakuwa unakosea,utaniweka kwenye matatizo”
“Matatizo gani?”
“Yule ni bosi wangu,kumbuka ndiye ananilipa”
“Ndiyo maana hauna msimamo,labda umuwahi
umwambie kuwa asinipigie lakini vinginevyo,atai
pata freshi”
Gloria alikuwa katika hali ya ukali na kukasirishwa
sana mpaka rangi yake ya mwili ikabadilika na
kuwa nyekundu, mishipa ya shingo ilimtoka na
Nickson akaogopa,
hakuwahi kumuona Mke wake akiwa katika hali
kama hiyo hata siku moja,hiyo ilimchanganya
akili,seblen pakawa hapakaliki tena.
Haikupita hata sekunde tisa ukimnya ukatawala
baada ya simu ya Gloria kuita na Nickson
alivyotambua kuwa anayepiga ni bosi wake
akamkazia macho Gloria ambaye alikuwa
keshaipokea simu na kuiweka ‘loudspika’ ili
Nickson asikie.
“Ooh Mrembo”
Hiyo ndiyo sauti iliyosikika seble nzima baada ya
kupokelewa.
“Abee”
“Sasa hivi unafanya nini?”
“Nipo na Mume wangu”
“Napenda sana ndiyo wakati wake huu,maana
najua amechoka, inabidi umkande kidogo,si unajua
tena”
“Naelewa”
“Vipi kuhusu kesho?”
“Kuhusu nini?”
Gloria alijibu kifupi kwa mkato.
“Tulivyoongea Mchana,Nickson hajakueleza?”
“Kanieleza lakini sipo tayari”
“Sasa kwanini?au Nickson ndiyo kakukataza?”
“Mimi ndiye nimekataa”
“Mpe simu Nickson”
Nickson akasogezewa simu.
“Halloo bosi”
“Habari za jioni?”
“Salama tu sijui huko?”
“Sasa mbona umemkataza mkeo kuja kufanya
kazi?”
“Siwezi kufanya ivyo,yeye mwenyewe hataki”
“Umemkataza bwana usibishe!”
Mzee Magugu akaongea kwa sauti ya ukali kidogo.
“Siwezi bosi, nilijaribu kumwam…”
“Okay”
Hapo hapo simu ikakatwa, hiyo ilimtia mashaka
Nickson, alishaelewa ni kiasi gani bosi wake
amekasirika,alishusha pumzi na kumtizama mkewe
kwa macho ya huruma.
Moyoni aliumia mno na alijiurumia sana,kukataa
kazi kwa Gloria kulimfanya auzunike sana,
alishaelewa kuwa yupo mbioni kufukuzwa
kazi.Alishika tama huku akiwa mwenye
mawazo.Gloria alivyomuona Mme wake katika hali
hiyo alisikitika zaidi na kuguswa.
“Nickson”
“Naam Mke wangu”
“Una waza nini?”
“Sio kitu mke wangu”
“Nakupenda,nakupenda sana lakini sipo tayari
kuona ndoa yangu inaingia kwenye matatizo,hiyo
kazi sipo tayari naomba unisamehe”
Nickson alielewa wazi kabisa kuwa Gloria hatanii
na alikuwa ni msichana mwenye msimamo mno
pengine kuliko yoyote Yule aliyewahi kuwa naye
kabla!
Kivyovyote vile hata kama angeendelea kumsihi
kuhusu kukubali kazi ingekuwa ni sawa na
kumpigia mbuzi gitaa! Nickson siku hiyo hakula
chakula kabisa na hata alivyofika kitandani hakuwa
na hamu na tunda la mke wake, kifupi hakuwa
katika Mudi!
*****
Mambo hayakuishia nyumbani tu, ilikuwa ni kama
alitabiri, kwani alipofika ofisini siku hiyo
hawakuongeleshana na Bosi wake na ilipofika
majira ya saa saba mchana muda wa kwenda kula
Nickson alisimama kuelekea nje na alivyofika
mlangoni alikutana na Bosi wake akiwa ameukunja
uso wake na kuonesha kuchukizwa baada ya
kumuona Nickson mbele yake.
“Nifate ofisini”
Mzee Magugu alisema bila ya kumuangalia
Nickson usoni kisha kumpa mgongo akiongoza
mbele.
“Sawa bosi,lakini naenda kula mara moja”
Mzee Magugu aligeuka ghafla akiwa ameukunja
uso wake huku macho yake yakionesha hasira na
chuki.
“Tangu lini umeanza utovu wa nidhamu?mimi
nakuita ofisini kwangu unasema unaenda kula!”
Mzee Magugu alifoka na sauti yake nzito kuenea
ofisi nzima!
BILA KUSAHAU KWAMBA HADITHI HII INAPATIKANA
YOTE jumatatu-jumamosi. WATSAP NA INBOX KWA
TSHS 3000/- KWA MWEZI,kwa mawasiliano namba
+255718 862176.
Sasa unaweza kusoma hadithi zam mtunzi kway
insta@storyzakway.
ITAENDELEA.
 
SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)….(7)
MTUNZI…..EMMANUEL F.KWAY
Contact…+255718 862176
AGE…(18+)
ILIPOISHIA.
“Sawa bosi,lakini naenda kula mara moja”
Mzee Magugu aligeuka ghafla akiwa ameukunja
uso wake huku macho yake yakionesha hasira na
chuki.
“Tangu lini umeanza utovu wa nidhamu?mimi
nakuita ofisini kwangu unasema unaenda kula?”
Mzee Magugu alifoka na sauti yake nzito kuenea
ofisi nzima!
SONGA NAYO.
“Samahani Bosi”
Nickson alisema huku akiwa mwenye hofu
akitetemeka kutokana na jinsi bosi wake
alivyokuwa akimuangalia kwa ukali,hata baadhi ya
wafanyakazi wote waliwatupia macho na
kushindwa kuelewa ni kosa gani alilolifanya
Nickson,Ofisi nzima ilibaki kimnya.
Mzee Magugu alisonya na kupandisha ngazi
akielekea ofisini kwake huku nyuma akimuacha
Nickson akiwa njia panda, alishindwa kuelewa ni
kitu gani akifanye aende kula chakula au afuate
wito.
Chakula hakikuwa cha umuhimu kwa wakati huo,
kutokana na uwoga alihisi njaa imemwisha,
alichofanya ni kupandisha ngazi na kugonga ofisini
kwa bosi wake kisha kuingia.
“Nickson toka ofisini kwangu”
“Bosi lakini si umeniita”
“wewe si ulisema unaenda kula chakula?nenda
ukale chakula tuone hiko chakula kama kitakulipa
mshahara”
“Bosi nisamehe”
“Nickson,GET OUT OF MY OFFICE”
Mzee Magugu alipandisha sauti kwa ukali huku
akisimama kwa hasira,hakutaka kumuona Nickson
mbele yake alichukizwa mno,kitendo cha Nickson
kumkataza mke wake kufanya kazi kilimaanisha
hakumueshimu tena,alimchukia Nickson kupita
kiasi,lakini mbali na hapo alinuwia kuwa ni lazima
ampate Gloria kwa gharama yoyote ile.
“Tuone mimi nawewe nani zaidi,nitakuonesha
kuwa mimi huwa sishindwi kitu”
Maneno hayo alitamka Mzee Magugu baada ya
Nickson kuufikia mlango.Nickson akageuka kwa
upole huku machozi yakimlenga,maneno hayo
yalipita ndani ya kompyuta ya akili yake na aliweza
kuchanganua yana maana gani.
“Toka ofisini kwangu,digidigi wewe”
Nickson akafungua mlango na kutoka nje akiwa
mwenye mawazo mengi mno.Hakuelewa ni kitu
gani akifanye, kila alipomfikiria mke wake roho
ilimuuma sana,alitembea taratibu mpaka ofisini
kwake na kukaa huku akiwa ameshika tama na
hata ulipogongwa mlango hakuweza kusikia.Mpaka
ukafunguliwa bado alikuwa katika mawazo.
“Nickson, oyaa Niki”
“Naam Naam Tito”
“Vipi mwanangu,unaumwa au?”
“Hamna,yaaah ndio.. ndio kichwa kinanisumbua”
“Ushapata dawa sasa?”
“Usijali nitakunywa”
“Sasa kuna hii kazi hapa ya kesi,unakumbuka ile
kesi ya Komakechi?”
“Embu naomba nikumbushe”
“Yule Mzee aliyemchoma kisu mke wake baada ya
kumfumania na awala”
“Ndio”
“Unaikumbuka lakini au unaitikia tu?”
“Nakusikia,naikumbuka sana si kule Iringa?”
“Huko huko”
“Imekuaje?”
“Ile kesi bado ina utata”
“Utata gani?wakati mimi nishaimaliza”
“Kuna shemeji yake huyo marehemu amekata
rufaa,anataka kuifungua upya”
“Lini?”
“Faili limeletwa juzi hapa na Sirgent Mugisha”
“Poa nitaifanyia kazi siku nyingine leo sipo sawa”
“Alafu,imekuaje wewe na bosi,mbona leo
amekuwakia vile?”
“We acha tu mwanangu ni stori ndefu kidogo”
“Nimegee kidogo Nickson,kuna kitu ulimkwaza
nini?”
“Si bora ningemkwaza,nitakuchana tu siku
nyingine wala usijali wewe mwanangu”
“Poa kaka,tutachekiana basi”
Nickson na Tito mbali na kufanya kazi kwa pamoja
walikuwa wote wana rika sawa na ndiyo maana
hata wakikutana hutumia kiswahili cha mtaani
kuzungumza,mbali na kufanya kazi kwa pamoja
walikuwa ni marafiki tangia wanasoma na
kubahatika kukutana tena,ilikuwa ni furaha kubwa
sana,na siku zote Tito akipata matatizo ni lazima
amshirikishe Nickson na pia Kwa Nickson ndiyo
ilikuwa ivyo ivyo!
Siku nzima Nickson alishindwa kufanya kazi na
hata alivyopigiwa simu kutatua baadhi ya kesi
alimuomba Tito amsaidie.Saa kumi na moja jioni
alifunga ofisi na kuingia ndani ya gari na safari ya
kwenda kwake kuanza mara moja,ilikuwa ni tofauti
na siku zote kabla hajaoa,tangu afunge ndoa
Nickson hakuwahi kuchelewa nyumbani,ratiba yake
ilieleweka, baada ya kufunga ofisi basi huwatafuta
marafiki zake na kwenda kupata moja baridi moja
moto!
lakini ratiba yake ilibadilika alivyopata jiko!
Kutokana na msongamano wa magari akawa
amefika nyumbani kwake saa mbili kasoro tano na
kuweka gari vizuri kisha kushuka,Mke wake Gloria
alivyomuona aliachia tabasamu na kumpokea
‘briefcase’ kisha kumpiga busu la mdomo.
“Pole na uchovu honey”
“Ahsante”
“Mbona hauna furaha?”
“Hapana nipo sawa,nimechoka tu,kazi zilikuwa
nyingi leo”
“Pole inabidi uoge kwanza kisha ule”
“Sawa”
Nickson akapitiliza moja kwa moja chumbani na
kujitupa kitandani akiwa mwenye mawazo,hakuna
alichotafakari zaidi ya maisha magumnu atakayo
enda kuishi mbeleni,alishaelewa ni lazima
afukuzwe kazi na alibaini kuwa mke wake ndiye
angekuwa chanzo kikubwa kwa yeye kupigwa chini
kazini.
“Nickson nenda kaoge basi”Mke wake alisema
baada ya kufika chumbani.
“Nitaenda”
“Sasa hivi bwanaaa”
“Haya”
Nickson alikubali na kusimama kinyonge kisha
kuanza kuvua nguo zake na kuzungusha taulo
kiunoni mwake taratibu akanyoosha bafuni.
Mke wake Gloria alishaelewa nini tatizo na mme
wake,kuishi naye kwa muda mfupi kulimfanya
aweze kuelewa tabia zake, alijua wazi kuwa kuna
jambo kubwa linamsumbua, hakutaka kumuuliza
kwanza mpaka wawe mezani wanakula chakula.
Na ndivyo ilivyokuwa, Nickson alivyoweka makalio
yake juu ya kiti kwenye meza ya chakula, Gloria
alimtizama kwa macho ya kutaka kuuliza kitu.
“Nickson”
“Naaam”
“Mimi ni nani yako?”
“Mke wangu”
“Naomba usinifiche kitu chochote,naomba uniambie
una tatizo gani baba?”
“Sina tatizo lolote”
“Ni kuhusu kukataa kazi ya bosi wako?”
“Ndio”
“Sasa kwanini huniambii”
“Hata nikikwambia hutokubali,hilo nalielewa”
“Nakupenda Nickson nina haidi kukupa furaha
katika maisha yako yote”
“Bosi ananichukia sana siku hizi”
“Hata kama tambua kuwa una mke anayekupenda
na nitakupa furaha,mwache akuchukie huko na
akunyanyase lakini ukitoka huko tambua kuwa nipo
wa kukutoa furaha,Nickson Mme wangu yote yana
mwisho wake hayo.Mungu yupo Mpenzi,hakuna
marefu yasiyokuwa na ncha”
Gloria alimpa Moyo Mume wake na maneno hayo
yalitoka ndani ya mtima wake.
Nickson akawa amepata tumaini lingine kutoka
kwa mke wake na kuanzia dakika hiyo akaanza
kufurahi, Gloria akafurahi pia wakapigana mabusu
na kubebana mpaka chumbani.
Mikono ya Nickson ikawa mashavuni kwa Gloria
wakawa wanapigana denda kwa fujo na kutupana
kitandani,Mkono wa Nickson ukakimbilia kwenye
ikulu ya Gloria huku akiwa ana nyonya maziwa
yake baada ya kuitoa kanga yake,hapo ndipo Gloria
alishindwa kujizuia, alitoa miguno ya puani akihisi
raha za ajabu, mambo yalikuwa mwanana kwa
wanandoa hawa.
Habari za bosi ofisini, Nickson akaziweka kando,
akili yake ilikuwa katika sayari nyingine ya
huba,aliweza kumuandaa mke wake vilivyo na wote
wakafurahia tendo la ndoa lililoisha baada ya
masaa mawili mbele.
“Nickson nakupenda sana”
“Hata mimi Gloria”
“Nakupenda kutoka ndani ya moyo wangu”
“Mimi hunishindi”
Gloria aliongea huku kichwa chake kikiwa kifuani
mwa Mume wake anakikwaruza na kucha zake
zilizokuwa ndefu kwa mbali,
akashusha mkono wake chini na kuanza kushika
tango la mume wake hapo ndipo alipoanza
kulichua,midadi ikampanda Nickson upya na
shughuli ikaanza tena.Dakika ishirini baadaye
wakawa wamejifunika shuka moja wamelala!
****
Hakukua na maelewano mazuri tena baina ya
Nickson na Bosi wake,Mzee Magugu alionesha
chuki za waziwazi na hata baadhi ya wafanyakazi
walilielewa hilo kuwa Bosi Magugu na Nickson
hawapikiki chungu kimoja!
kila siku Nickson alipigiwa kelele kama mtoto
mdogo hata kwa kosa dogo.
“Pumbavu nini wewe,nimekwambia nini Nickson
unakuwa kama mtoto, kila siku nikupigie kelele
wewe tu,hili swala lazima nilipeleke bodi ili
ufukuzwe kazi haufai siwezi kukaa na mambulula
mimi,Paulina”
Mzee Magugu alifoka kwa sauti mbele ya
wafanyakazi wote na sauti yake kuenea ofisi
nzima!,akaita jina la Sekretari.
“Abee bosi”
“Nickson asilipwe mshahara huu mwezi”
“Sawa Bosi”
“Umenisikia Paulina?”
“Ndio nimekuelewa Bosi”
Nickson alikuwa amesimama katikakati, Mzee
Magugu alikuwa mbele yake anamfokea kama
mbwa mwizi.
Nickson alijihisi hana thamani alikuwa mdogo na
hakutaka kujibu chochote,alibaki tu akimtizama
Mzee Magugu akipandisha ngazi kuelekea ofisini
kwake, baada ya kumaliza kumfokea.
Nayeye bila kuongea kitu chochote akatembea
hatua kadhaa mpaka ofisini kwake.Manyanyaso
yalizidi kipimo, elimu aliyokuwa nayo kichwani
aliamini kuwa hata bosi wake hakuwa nayo,iweje
amfokee?
“Niki”
Aliita Tito baada ya kufungua mlango wa ofisi ya
Nickson.
“Hapana Tito sio sasa hivi,tutazungumza baadaye”
“Niki mshkaji”
“Tito baadaye tafadhali”
Tito akageuka na kutoka nje.
Jioni alivyofika nyumbani kwake, Gloria alijitahidi
kumpa furaha kama alivyomuhaidi hapo awali,ni
kweli baada ya dakika kumi hakuwa ana kumbuka
tena mambo ya ofisi,ivyo ndivyo ilivyokuwa mpaka
miezi minne ikapita, Nickson akawa amezoea
mateso ya bosi wake na akifika nyumbani yote
yanayayuka.
Siku moja alivyorudi nyumbani kwake alipewa
habari zilizomfanya achanue tabasamu.
“Una mimba kweli Gloria,au unanitania Mpenzi? Ili
tu nifurahi”
Nickson aliuliza ili kupata uhakika zaidi!
“Ndio niamini nina mimba ya miezi mitatu Mme
wangu,leo ndiyo nimeenda kupima hapo hospitali
ya jirani”
“Siamini,embu twende tena sasa hivi”
Nickson hakutania, aliweka shati mwilini wakavaa
nguo na kuingia kwenye gari usiku huo huo
wakanyoosha mpaka hospitalini,ni kweli Nickson
hakuamini kusikia kuwa Mke wake ameshika
mimba,kwake jambo la kupata mtoto lilikuwa kama
ndoto na ilikuwa ni lazime itimie!
BILA KUSAHAU KWAMBA HADITHI HII INAPATIKANA
YOTE WATSAP NA INBOX jumatatu-jumamosi kwa
malipo ya tshs 3000/- kwa mwezi. mawasiliano
namba +255718 862176.
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway
insta@storyzakway
ITAENDELEA.
 
Ayeiyaaa i saw it coming, chezea bosi wewe lazima Nick aisome no
 
SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)……(8)
MTUNZI….EMMANUEL F. KWAY
Contact…+255718 862176
AGE….(18+)
ILIPOISHIA.
“Siamini,embu twende tena sasa hivi”
Nickson hakutania, aliwek a shati mwilini wakavaa nguo na kuingia kwenye gari usiku huo huo wakanyoosha mpaka hospitalini,ni kweli Nickson hakuamini kusikia kuwa Mke wake ameshika mimba,kwake jambo la kupata mtoto lilikuwa kama ndoto na ilikuwa ni lazime itimie!
SONGA NAYO.

Nickson alikuwa katika hali ya furaha mno kuliko siku zote za maisha yake,alitamani siku ziende harakaharaka na miezi tisa ifike ili apate kumuona mtoto wake, habari za mke wake kushika ujauzito ziliufanya moyo wake ujawe furaha mno. Walivyo fika nyumbani aliinama kidogo na kulibusu tumbo la Gloria huku akitabasamu!
“Nitazidi kukupenda Gloria wangu,ahsante kwa kunipa zawadi hii ya mtoto”
“Usijali Nickson hata ukihitaji watoto mia mbili nitakuzalia ili mradi siku zote uwe mwenye furaha katika maisha yako”
“Nakupenda sana, nakupenda mara mia moja”
“Hata mimi”
Nickson alimvuta mke wake na kumfuata mdomoni taratibu,mpaka hapo Gloria alishaelewa ni kitu gani alichotakiwa kukifanya,alitoa ulimi wake ukakutana na wa Nickson kisha kuanza kulana denda!
Waliliheshimu tendo hilo, waliinuka kwenye viti huku ndimi zao zikiwa zimegandana mpaka chumbani,Nickson akajitupa chali kitandani Gloria akafuata juu yake huku akiwa amepanua miguu yake huku na kule na kuendeleza zoezi la kulana denda.
Kazi ya kutoa nguo za Nickson ikawa juu ya Gloria ambapo alimtoa shati la juu kisha vest kufuatia nayeye Nickson akafanya hivyo kwa mkewe,kila mtu akabaki kifua wazi, taratibu wakaendelea kupigana mabusu ya mdomoni huku wakinyonyana lips zao adoado!
Mikono ya Gloria taratibu ikawa ina papasa kifuani mwa Nickson kisha baadaye ikashuka mpaka kwenye mkanda,ukatolewa kimahaba na suruali ikashushwa mpaka chini miguuni ambapo Nickson alinyoosha miguu ili suruali itoke kiwepesi.

Ni wazi kuwa Nickson alikuwa mbali kihisia.Macho yake yote yalikuwa juu ya uso wa Mke wake aliyekuwa mzuri na mweupe kupita kiasi,hiyo ndiyo iliyomtia morari sana.Gloria alikuwa ni msichana mweupe wa rangi na mwenye sura ya duara,midomo yake mizuri ilibeba mashavu manene kiasi ambayo akitabasamu basi vishimo vya mashavu huingia ndani yaani ‘dimpoz’Macho ya Nickson yalizidi kumkagua Gloria yakatua kifuani, ambapo maziwa yalikuwa yamesimama wima ‘chuchu saa sita’kama waswahili wayaitavyo!
“Mhhh Asshhhs”
Gloria aliguna baada ya mkono mmoja wa Nickson kupita ndani ya ikulu yake ukiwa unatalii na wakati mwingine ukiwa unadadisi kwa ndani.Gloria alipindulia na kulazwa chini chali kisha Nickson akapanda juu yake,aliupeleka ulimi wake juu ya maziwa ya Gloria huku mkono wake mwingine ukiwa kwenye ikulu.
Kazi ya Gloria ikawa ni kuguna na kutoa mihemo ya puani.Hazikufika hata dakika tatu baada ya Nickson kuendeleza zoezi la kumpapasa mke wake akawa amedakwa shingo yake huku Gloria akiwa anazidi kukizungusha kiuno chake,aliomba mdomo na Nickson akampatia wakaanza kubadilishana mate tena!
“Nic…k aaaaah Nic…..k na..ku..pen.da saaanaa aaaaaah”
Gloria alisema kwa sauti ya puani,huku akihema juu juu,ni dhahiri kuwa alikuwa mbioni kufika mshindo,nguo zilivuliwa harakaharaka na hapo ndipo Nickson alipoingiza kadi yake kwenye mashine ya ATM ili kutoa salio la pesa zilizobaki kwenye akaunti.
kilichosikika hapo ni mlio wa kitanda kutingishika, wana ndoa hawa walikuwa wakifanya jambo ambalo liliwaleta duniani.
*****
Kikao chao cha ofisi kilichukua masaa mawili kukamilika,unoko wa Mzee Magugu haukuzaa matunda ndani ya kikao hicho cha bodi kilichokuwa na wanasheria kumi na tisa akiwemo Nickson Shayo ndani yake,kila Mzee Magugu alipojaribu kuongea habari mbaya juu ya Nickson ili tu afukuzwe kazi ilishindikana kabisa.
Sababu alizotoa hazikuweza kumshawishi Mr.Paul Kasera Mzee aliyekuwa na Mvi nyingi kichwani mweusi na ndiye huyu aliyekuwa mkurugenzi wao katika mahakama ya kisutu.Saa saba ya mchana wanasheria wote walitawanyika,Mzee Magugu alimkata jicho kali la hasira Nickson na kuachia msonyo,hiyo haikumshtua Nickson sababu alishamzoea, alipita mpaka ofisini kwake na kuketi.Hakufanya jambo lingine zaidi ya kuchukua mkonge wa simu na kubonyeza namba za simu ili kupiga nyumbani kwake akitaka kuongea na mke wake Gloria.
“Halloo”
Upande wa pili ulisikika baada ya simu kupokelewa.
“Mama kijacho!”
Nickson alisema huku akiweka utani, baada ya kugundua kuwa ni mke wake ndiye aliyepokea simu.
“Nambie baba kijacho”
“Hajambo huyo?”
“Huyu mzima wa afya,ana kusalimia”
“Nakumisi”
“Mara hii,si umetoka asubuhi tu?”
“Mimi kila sekunde nakumisi mke wangu”
“Hata mimi baba,vipi ushatoka kikaoni?”
“Nishatoka ndio,ushakula?”
“Bado ndio napika”
“Unapika nini?”
“Machalali”
“We mchaga kwa machalali”
“Ndio chakula chetu,nikupikie nini usiku wa leo baba angu?”
“Chochote tu,lakini leo usipike”
“Kwanini?”
“Nataka tukale nje”
“Hapana Nick,mimi sipendi bwana!au mimi sijui kupika?”
“Hapana sijasema ivyo,nataka nikutoe outing leo”
“Hapana,sio leo”
“Aya,hakuna tabu Mke wangu,nakupenda sana, wacha nikale kisha nirudi ili niendelee na kazi”
“Okay love,Mwaa mwaaaa”
“Ahsante, kuwa makini”
“Nawewe kuwa makini”
Maongezi ya Mtu na Mke wake kupitia simu yaliishia hapo yakamuacha kila mmoja wao akiwa mwenye furaha moyoni mwake.

Nickson na Gloria walipendana sio masihala na kila mtu aliamini kuwa kifo peke yake ndicho kitakacho watenganisha na wala sio kitu kingine,kila mtu alimuhaidi mwenzake atakuwa muaminifu mpaka pumzi ya mwisho!
****
“Nickson mme wangu,hii simu nitaiweza kweli?”
“Ndio”
“Inaitwaje?”
“Iphone four,hakuna mtu aliyekuwa nayo hapa Tanzania bado haijafika,nimekununulia wewe mke wangu,ni pesa nyingi sana iyo simu”
“Nickson ahsante sana,na hii nyingine nitampa nani?”
“Hiyo pia ni yako,utakuwa na simu mbili,hiyo ni kama zawadi yako mke wangu”
Ni kweli zawadi aliyompatia Mke wake siku hiyo ilikuwa ni ya gharama kubwa, karibia robo tatu ya mshahara wake aliolipwa uliteketea kisa kuagiza simu hiyo ya kisasa kutoka nchini Marekani, ili tu amfurahishe mke wake,kipindi hicho kuhusu swala la pesa hakujali ili mradi mke wake atafurahi, ndiyo maana baada ya kupokea mshahara wake aliharakisha kuiagiza simu hiyo.
Usiku kucha walikuwa wakiikorokochoa simu hiyo na Gloria kuelekezwa jinsi ya kuitumia,furaha iliongezeka maradufu,zawadi ikawa imeongeza furaha zaidi ndani ya ndoa yao,walifurahi na kuiburudisha miili yao wakifanya tendo la ndoa,na wote kujifunika na kulala usingizi.
****
Macho yalizidi kumtoka Nickson akiwa ameshika barua baada ya kuifungua.Alihisi kutetemeka na hakuelewa ataishi vipi,barua aliyokuwa akiisoma aliilewa dhahiri na chini ilikuwa imepigwa muhuri wa mahakama,machozi yalianza kumlenga hasa alipomkumbuka mke wake Gloria aliyekuwa mjamzito.Miezi mitano ilikuwa mingi mno kutenganishwa na mke wake kwenda mkoa mwingine kikazi,hakukaa sawa alihisi mlango wake unagongwa.
“Ingia”
Ndani ya ofisi yake aliingia msichana mnene kiasi mweupe, aliyevalia suti nyeusi.
“Vipi Isha?”
“Bosi amenipa tiketi yako,unatakiwa uanze safari leo saa tisa mchana”
Isha Alisema huku akiweka tiketi ya ndege mezani kwa Nickson kumaanisha kuwa jambo la safari yake ya kwenda mkoani Kigoma halikuwa mzaha.Ni kweli Nickson alitakiwa asafiri kikazi mkoani Kigoma siku hiyo mchana saa tisa alasiri!
BILA KUSAHAU KWAMBA HADITHI HII INAPATIKANA YOTE WATSAP NA INBOX KWA MALIPO YA TSHS 3000/- KWA MWEZI KWA MAWASILINO NAMBA +2551718 862176
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storyzakway
ITAENDELEA
 
SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)....(3)
MTUNZI…EMMANUEL F. KWAY
Contact….+255718 862176
AGE….(18+)
ILIPOISHIA.
.Mkono wa Nickson ukashuka chini ya kitovu na kuingia chini, aliivuta chupi ya Gloria kwa juu na kuzidi kuupenyeza mkono wake ndani, alivyotaka kuishika ikulu ya Gloria mkono wake ukazuiwa!
SONGA NAYO.

Gloria aliuzuia Mkono wa Nickson ulivyotaka kugusa ikulu yake, lakini bado waliendelea kulana denda.Kwa upande wa Nickson hakuwa na tatizo kabisa na aliiona ni sawa tu kwa Gloria kumzuia, sababu ndiyo siku hiyo ilikuwa ya kwanza kukubaliana wawe wapenzi,hakutaka kujali sana kuhusu hilo na hata mpaka wamefikia kitendo cha kupigana mabusu kilitosha kabisa kudhihirisha mambo mengine yangefuata taratibu, kwani aliamini ndege ni wake hakua na haja yoyote ya kushika manati, mbali na hapo aliheshimu hisia za msichana huyo,waliishia kushikana huku na huku na walivyoridhika kila mtu akamuaga mwenzake.

Nickson akabaki akimsindikiza kwa macho Gloria na hata msichana huyo alipofika mbali aligeuka ma kumpungia mkono.
Nickson hakuamini kama amemmpata msichana mzuri kama Gloria na aliondoka akiwa mwenye furaha moyoni mwake.Tangu siku hiyo mapenzi yakawa motomoto, waliongozana kama kumbikumbi wakiwa pamoja na kila jioni walikutana chini ya mti mkubwa wakishikana shikana.
“Gloria nakupenda sana,nakupenda kutoka ndani ya moyo wangu, sijui niseme nini,kungekuwa kuna neno jingine zaidi ya hili ningesema lakini hakuna,nakupenda sana”
Alisema Nickson akiwa katika hali ya hisia kali akionesha msisitizo huku mikono yake ikiwa juu ya mashavu ya Gloria anamtizama msichana huyu jinsi alivyokuwa mzuri mno.
“Hata Mimi Nickson,lakini usinione mshamba”
“Kwanini unasema ivyo?”
“Mimi bado bikira”
“Gloria?”
“Abee”
“Unasema ukweli?”
“Nakwambia ukweli,sijawahi kuguswa na mwanamme yoyote Yule,nilitaka mume wangu ndiye awe mwanamme wa kwanza kunifungua”
“Basi ndiyo mimi hapa”
“Bado hujawa mme wangu lakini”
“Sawa,sikatai lakini ndiyo nitakuwa hivi karibuni”
“Nakupenda Nickson”
“Hata mimi Gloria,wewe ndiye mwanamke wa maisha yangu,Mungu amenipa wewe na sitokugusa mpaka nitakapokua kama unavyotaka iwe”
“Ahsante Nick”
Kila mtu alimtamkia maneno matamu mwenzake usiku huo wakiwa chini ya mti ambao wanakutana kila siku,walisogeza midomo yao karibu na kuikutanisha kama wafanyavyo siku zote, basi ndivyo ilivyokuwa walinyonyana midomo yao kama njiwa huku wakichezeana huku na huku.Kiungo cha Nickson kilisimama na kufanya suruali yake itune mbele na ndiyo ivyo ilivyokuwa kwa Gloria, hisia zilimpanda ajabu na kutamani kufanya jambo baya la kuzini! Shingo ya Gloria ilinyonywa na Nickson akazidi kuupandisha ulimi wake na kuupitisha masikioni mwake, hapo ndipo msichana huyu alipagawa zaidi alitamani avue nguo lakini alijikaza kisabuni,kutokana na hali hiyo ilibidi Nickson achukue mkono wa Gloria na kuuweka juu ya mashine yake huku akifanya kama anajichua.
Gloria aliogopa na kuutoa mkono wake.
“N…ini Gloria?”
Nickson aliuliza taratibu huku macho yake yakiwa mekundu yamelegea.
“Mimi naogopa kukugusa huko”
“Jaribu leo,mimi siwezi kulala hivi usiku,nitateseka sana”
“Mhhh”
“Tafadhali”
Gloria akakubali akaingiza mkono ndani ya boxa ya Nickson na kumtoa nyoka wake aliyekuwa ametuna kisha akasaidiana na Nickson, wakaanza kumchukua nyoka huku wakiendelea kupigana madenda kwa fujo.kadri sekunde zilivyozidi kwenda mbele ndipo Nickson alipozidi kusikia raha zaidi,na kumvuta Gloria upande wake,hazikupita hata sekunde kumi Nickoson akamganda Gloria akawa amemkumbatia kwa nguvu,teyari alikuwa ametupa risasi na kushusha pumzi ndefu.
“Pole”
Gloria alisema huku wakitizamana.
****
Halikuwa jambo la utani kwa Nickson kuhusu kumuoa Gloria, baada ya wiki moja baadaye akawa ameweka mambo wazi kwa wazazi wake juu ya Msichana aliyempata,Mzee Shayo akainua mikono juu na kushangilia kutokana na mwanaye kuoa mtoto wa rafiki yake,hata walivyopeleka taarifa hizo kwa Mzee Urio ndiyo akaonesha furaha zaidi.Mambo yalipelekwa harakaharaka sana na vikao kuanza kufanyika maramoja! wazee wa kichaga waliitana mashambani na kuchinja mbuzi ili kujadili swala hilo zito.

Baada ya wiki mbili kutimia Mzee Shayo wakishirikiana na wazee wenzake wakawa wametengeneza pombe ya asili iliyoitwa mbege,ikanyweka kama mila zao.Nickson hakutaka kubanduka mkoani Kilimanjaro bila Gloria na ndivyo ilivyokuwa,walipanga harusi yao ifanyike jijini Dar es salaam.Hakukua na kipingamizi, safari ya kuelekea mkoani Dar es salaam ikaanza.
Na Nickson alivyofika tu kitu cha kwanza alichofanya ni kumpeleka Gloria saluni ili wakaufanyie ‘service’ mwili wake na alivyotoka saluni kila mtu alimkodolea macho.Gloria alibadilika ghafla, kichwa chake kilikarabatiwa na nywele zake zikawekwa sawa,ungemtizama na kupewa picha yake jinsi alivyokuwa kwenye mashamba ya kahawa ungekataa katakata.

Hata Nickson alipomuoma alionesha mshtuko wa waziwazi na kuweka mdomo wake kinywani!
“Ndiyo wewe Gloria?sijawahi kuona msichana mzuri kama wewe lazima niwaite leoleo wakina Faris na Jongo niwaoneshe kuwa Moshi kuna vifaa,si walikuwa wananicheka eti naenda kuoa kijijini,ngoja sasa”
Maneno hayo yalimtoka Nickson huku akizidi kumuangalia Gloria juu mpaka chini asiye amini mtu anayemuona mbele yake.
Walivyotoka sinza walichukua Taxi iliyowapeleka mpaka Buguruni Malapa na ndiyo hapo Nickson alikuwa amepanga .Alivyofika tu akatoka nje mbio mbio.
“Oyaaaa Jongo, wewe Jongo hunisikiii au?,njoo njoo njoooo,Faris yuko wapi?”
“Yuko kule juu,vipi kwani?”
“Enhee Yule pale,Faaaaris”
Namna aliyotumia kuwaita wenzake kuliwatisha na wote wakasogea karibu kumsikiliza rafiki yao.
“Mwenzenu nataka kuoa,kama nilivyowaambia kuwa nilienda Moshi sio kuhesabiwa peke yake,nimekuja na kifaa na ninaoa mwezi ujao”
“Kumbe ndiyo ulichotuitia hiko?”
“Twendeni mkaone, sio mnasema hivyo, kifaa hamjakiona ndiyo maana,lakini msipige kelele,twendeni mkamuone shemeji yenu”
Wote wakatembea Jongo na Faaris walikuwa wana hamu ya kumuona msichana aliyekuwa akisifiwa na Nickson,wote wakafika ndani.Ni kweli msichana waliyemuona nyumbani kwa rafiki yao alikuwa ana uzuri usio wa kawaida, waliyatumbua macho yao na hawakutaka kuuliza kitu kingine zaidi,Gloria alikuwa kivutio kwao.
****
Kutokana na mambo kupelekwa haraka na wazee wa kichaga, kadi za harusi zikawa zimesambazwa,hatimaye siku ya ndoa ikawa imekaribia lakini mpaka siku hiyo Nickson na Gloria hawakuwahi kushiriki tendo la ndoa.Na Nickson alitamani siku hiyo ifike na ndiyo maana alikuwa ana mcheche wa siku ya harusi yake iwadie!alipiga siku hiyo baada ya ndoa watakuwa kitandani na Gloria.

Siku hazigandi,hatimaye siku ya harusi ikafika, Nickson Shayo akawa amemuoa Gloria,wazee wakafurahi na kunywa.Ikawa kama utani kumbe ndiyo kweli,na siku hiyo akapewa nyumba ya kuishi na gari la kutembelea kama zawadi na ofisi.Ulipofika usiku wa saa sita,gari la maharusi likawachukua mpaka Rombo Hotel ili kupumzika.Hapo Nickson hakufikiria kitu kingine zaidi ya kufanya tendo alilokuwa akilisubiria siku nyingi zilizopita nyuma,kitendo cha kufunga mlango alimvuta Gloria karibu na kuanza kunyonyana midomo yao wakilana denda, wakatupana kitandani.Nickson alilivua shela la Gloria nayeye akavuliwa Suti, wakabaki kama walivyozaliwa.
Nickson alipagawa zaidi,hakuamini kama ndiyo anaenda kula tunda lake aliliolisubiri kwa kipindi kirefu,hakua na papala alienda kimjini, alielewa jinsi ya kumuandaa mtoto wa kike na ndicho alichokifanya na kila alipojaribu kuweka mkono ndani ya mgodi wa Gloria alishikwa mkono,
hakutaka kuwa na haraka sababu alielewa mke wake ni bikira na alijisikia ni mwanamme lijali kumtoa bikira msichana mzuri kama Gloria!
Aliyanyonya maziwa ya Gloria mpaka alivyolainika kabisa na kuanza kuyafumba macho yake.Hapo ndipo alipomchukua nyoka wake na taratibu kumuingiza shimoni kwa tahadhari sababu alielewa nini maana ya bikira.Lakini moyo wake ulimdunda baada ya nyoka wake kupita ndani bila tatizo,alimtoa na kumuingiza tena lakini hali ilikuwa vilevile.Akili yake ilichanganyikiwa na kugundua teyari ameuziwa mbuzi kwenye gunia!
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storyzakway
ITAENDELEA.
Hongera kijana umejitahidi hadithi ni nzuri na inasisimua
 
SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)……(9)
MTUNZI….EMMANUEL F. KWAY
Contact….+255718 862176
AGE…(18+)
ILIPOISHIA.
Isha Alisema huku akiweka tiketi ya ndege mezani kwa Nickson kumaanisa kuwa jambo la safari yake ya kwenda mkoani Kigoma hazikuwa mzaha.Ni kweli Nickson alitakiwa asafiri kikazi mkoani Kigoma siku hiyo saa nane mchana!
SONGA NAYO.

Barua aliyokuwa ameishika Nickson Shayo ilimtoa kijasho jembamba,akili yake ilimtuma ni lazima Bosi wake Magugu alifanya njama za yeye kupelekwa mkoani huko ili tu aweze kuwa mbali na mke wake,licha ya yote hakutaka kuumia sana moyoni kutokana na alimuamini sana Gloria,na alielewa kwa bosi kumsafirisha kikazi ilikuwa ni kazi bure tu.
“Sawa Isha,wacha nikajiandae.Mpango wa safari upoje?”
Nickson alimuuliza Sekretari.
“Utaenda na Morisi pamoja na Aziza”
“Okay sawa,wacha mimi niende home sasa hivi”
“Sawa,safari njema Nickson”
“Ahsante”
Kwa kuwa aliiheshimu miiko ya kazi yake ilimbidi tu asimame na kutoka nje kinyonge, ambapo aliingia ndani ya gari na safari ya kwenda nyumbani kwake kuanza mara moja!
Kichwani mwake picha iliyomjia ni ya mke wake Gloria jinsi atakavyokuwa mwanamke mpweke, aliamini fika kuwa habari za yeye kusafiri zingemshtua mno maana zilikuwa za ghafla.

Msongamano wa magari ndiyo ulizidi kumuumiza kichwa chake zaidi,alivyotupa macho juu ya saa yake ya mkononi ilikuwa imeshatimu saa nane na dakika saba,hakuwa na muda wa kupoteza tena ilibidi avunje sheria za barabarani na kupita kandokando, aliitafuta njia ya uchochoroni na baadaye akatokeza majumba sita, hapo aliinyoka mpaka kwake.Alizima gari kinyonge na kuingia ndani.
“Vipi?mbona mapema leo kuna usalama kweli?”
Gloria aliuliza baada ya kumuona Mume wake, hata yeye alishtushwa, sura aliyoingia nayo mumewe ilimfanya atake kujua zaidi.
“Nickson,kuna shida gani?”
“Hapana mke wangu,nina safari leo saa tisa,tafadhali naomba niandalie nguo zangu”
“Safariiiiii?”
“Ndio”
“Kivipi?mbona ghafla?”
“Ndio ivyo hata mimi nimeshangaa nachokuomba unipasie lile shati langu jeusi mimi naenda kuoga”
Nickson aliongea huku akitembea.Gloria mpaka hapo hakuamini, wakati mwingine alijua ni utani na alisubiri mume wake ageuke na kumwambia kuwa ni masihara, lakini haikuwa ivyo.Mpaka Nickson anatoka bafuni kuoga Gloria alikuwa teyari keshapiga pasi nguo tayari.
“Nickson safari ya wapi?”
“Kigoma kikazi mpenzi wangu”
“Utakaa siku ngapi huko?”
“Sio siku wala wiki mke wangu,ni zaidi ya Miezi mitatu”
Gloria alilengwa na machozi machoni, alimuangalia mume wake alivyokuwa mzuri na kichwani mwake alikuwa akikumbuka raha walizokuwa wanafanya kitandani,hakuelewa angeishi vipi.
“Ni mingi sana”
“Naelewa,naomba univumilie naa….”
“Piiii piiiiiiiii”
Nickson akashindwa kumalizia sentensi yake alivyochungulia dirishani aliona gari lao la ofisini kwake likipiga honi, alimkumbatia mke wake na kumpiga denda la sekunde tano.Gloria hakutaka kutoka mdomoni kirahisi mpaka Nickson alivyomsogeza.
“Gloria,naomba niende baki salama,nachokuomba tu uwe makini sana,tutaongea kwenye simu nikifika,wenzangu wameshafika wapo nje,I love you my wife”
Kila mtu alikuwa katika hali ya uzuni kupita kiasi moyoni mwake.Nickson akatembea hatua za taratibu kisha kugeuka nyuma,alimuonea sana huruma Gloria aliyekuwa analengwa na machozi.
“Nakupenda Ni….ckso..n na..kupenda sa…na”
Hayo ndiyo maneno aliyekua anaongea Gloria huku akiangua kilio,Nickson alivyotaka kumfuata honi ya gari illimshtua tena,hakuwa na jinsi zaidi ya kutoka nje na kuingia ndani ya gari la ofisi ambapo aliwakuta wafanyakazi wenzake wapo tayari na hapo hapo safari ikaanza.
*****
“Mambo vipi Ester”
“Pedeshee Kway..,papaaa Mujogoloo uko wapi? jamani nimekumisi”
“Nipo Kongo nakuja leo usiku nitakuwa hapo saa tatu”
“Mwongo,mwezi uliopita uliniambia ivyoivyo”
“Nipo Siriazi!siku ile Yule mzungu alinibana nikashindwa kuja,si unajua nilikuwa nalea,sasa mimi nakuja si unajua nimekumisi”
“Njoo njoo,tena siku izi kuna watoto wazuri haoooo asikwambie mtu”
“Sema ukweli?”
“Kweli tena,maana wewe unapenda sana michuchu”
“Ndio starehe yangu hiyo,niandalie mtoto mmoja mkali sana kuliko Yule wa siku ile”
“Pigia mstari Papaaa Kway,Mutu na pesa zakee”
“Weeeeee!”
“Ha! Haa!Haaa!Hahaaaa! hapo ndiyo unaponikosha,hujutii kutumia pesa, kwa hiyo wapi?”
“Chagua kiwanja”
“Nimekumbuka leo club E kuna show ya Fally Ipupa,anafanya show pale”
“Andaa mazingira,nitafutie mrembo mmoja wa bien sana”
“Bien Bien, Kway weee nilikumisije”
“Basi nakuja leo usiku uwepo Mwalimu Nyerere”
“Ondoa shaka”
Msichana aliyefahamika kwa jina la Ester alifurahi sana,kupokea simu ya Pedeshee Kway au Papaa Mujogolo kama Tanzania walivyozoea kumuita,alifurahi kwa mambo mengi,moja aliamini kuwa siku hiyo atavuna pesa nyingi, pili atapewa penzi na mwanaume huyo tajiri anayemiliki miradi mingi nje na ndani ya nchi na pia kitendo cha kumtafutia kigoli mwingine atazidi kuchuma pesa zaidi.

Hakutaka kupoteza muda asubuhi hiyo ya saa mbili alivaa haraka haraka na kwenda mjini kariakoo ili kununua mavazi mbali mbali ya siku hiyo usiku.kisha kupitia saluni kuweka nywele zake sawa.
“Mbona una furaha shosti?”
Rafiki yake alimuuliza baada ya Ester kufika saluni.
“Papaa Mujogolo anatua leo bongo”
“Mwongo”
“Wallah laazim”
“Sasa tunafanyaje?”
“Kanipa kazi ya kumtafutia mtoto mzuri si unajua yule mwanaume anapenda sana totoz”
“Mimi si nipo”
“Wewe hufai,kwa sura gani uliyo nayo,usinipotezee bahati,nishapata mtu wa kumpeleka”
“Nani?”
“Jirani yangu Yule Gloria”
“Haaaaaa”
“Nini?”
“Yule mchaga atakubali?”
“Usifanye mchezo na pedeshee Kway,papaa Mujogolo tajiri mtoto,Yule jamaa anapesa atii,subiri aje”
“Mhh MAKUBWA”’
Esta alivyomaliza kuseti nywele zake alipanda daladala mpaka nyumbani kwake, ambapo hapo hakukaa sana alinyoosha mpaka kwa jirani yake Gloria na kugonga mlango.
“Karibu Esta”
“Nishakaribia,vipi hali shoga angu?”
“Salama tu”
“Leta maneno pole na upweke”
“Acha tu,nishazoea mwenzio,mwezi huu ushapita inabidi nichukulie kama maisha ya kawaida”
“Kweli mwenzangu,huoni kuwa unachoka kukaa peke yako ndani kila siku?”
“Nishazoea Ester”
“Hapana kwa kweli,leo inabidi tutoke sina kampani mwenzio,nataka unisindikize mahali”
“Jamani, mimi huu mji sijawahi kutoka hata kidogo”
“Utakuwa namimi usijali shosti khaaa,yaani mjini hapa hujawahi hata kutoka nje,unanishangaza ujue, Nickson naye kazidi ubahili,leo siku bali shosti yangu leo sikuachi hata kidogo”
“Jamani Estaaa”
“Kweli nakwambia,twende ukalione jiji la Dar”
“Hapana siwezi”
“Sio vizuri ivyo nakuomba au nipige magoti?”
Ester alizidi kumshawishi Gloria na jitihada zake zikafanikiwa, akakubali watoke siku hiyo jioni.
“Nimwambie Nickson?”
Gloria alimuuliza Ester.
“Hapana,haina haja tutawahi kurudi”
“Sawa tuwahi kurudi kweli lakini”
Moyo wa Ester ulijawa furaha ajabu, mbele yake aliona pesa, kumkutanisha Gloria na Pedeshee Kway ilikuwa ni kama kuuza madini ya almasi.
*****
“Oza wapi?”(Upo wapi)
“Naza na Lumbumbashi”(Nipo Lumbumbashi)
“Nalingi voyajer na Tanzania”(Nataka kwenda Tanzania)
“Heure?”(Lini)
“Butu ya lelo”(Leo jioni)
Pedeshee Kway alikuwa simuni, pembeni alikuwa amelala mwanamke wa kizungu yupo uchi wa mnyama, mkono wake wa kulia upo juu ya kalio lake,alivyotupa simu alimsogelea mdomoni na kuanza kulana denda taratibu,huku Mkono wa Pedeshee Kway ukiwa taratibu unapita chumvini na kuanza kupima oil,Mzungu alipagawishwa na ndio maana alihama makazi yake kutokea nchini Canada mpaka Demokrasia ya Kongo kisa penzi la Pedeshee Kway.

Mbali na kuwa na pesa nyingi, Kway alikuwa fundi kitandani kama angekuwa uwanjani basi angepewa jina ‘Leone Merci’ mchezaji wa Barcelona kutokana na uchezaji wake,Mwanamke aliyekuwa kitandani alikuwa amemzalisha watoto wanne tayari.
“Ahhhhh Babyy aaaashhh Fuc**** me”
Mwanamke Kim! alilalamika baada ya pedeshee kway kupitisha ulimi wake ndani ya mgodi wake akawa kama anaufyonza taratibu mno,huku wakati mwingine akiwa anapima oil.
Kim alipagawa sio masihala,neno ‘baby’ ndilo lilikuwa likimtoka.Kwa kuwa Kway alikuwa anasafiri siku hiyo mechi hiyo aliifanya kufuru.Alimuendea kifuani na kuanza kumnyonya maziwa taratibu mno huku mkono wake ukiwa unacheza na kinyama cha juu kilichofanana na kiharage taratibu sana karibu na mgodi.
Kim nayeye hakukubali alimbinua Mpenzi wake na kumuweka chali kisha kushika mashine kubwa na kuiweka mdomoni akawa anainyonya taratibu kama koni.

Mambo yaliyokuwa yanafanyika hapo yalikuwa hatarishi,kila mtu alikuwa mtundu na mjuzi.Wachezaji walivyomaliza kupasha, filimbi ilipigwa na mechi kuanza, Kway akapanda kwa juu Kim chini, kilichosikika hapo ulikuwa ni mlio wa chaga kucheza,ilikuwa kila baada ya sekunde tatu staili inabadilishwa na baada ya dakika ishirini kila mtu alikuwa hoi.
“Baby I’ll miss you”
Kway alimwambia Mpenzi wake aliyeweka kichwa kifuani kwake huku akiwa anachezea nywele zake laini zilizokuwa ndefu.
“Mee too honey,when are you coming back?”
“I don’t know, but as soon as possible, I have to go back to my country, take care of your self baby”
Kway na Kim waliagana kisha kuingia bafuni huko walipigana mabusu na Kim kuanza uchokozi, Kway akamjibu wakafanya tendo ambalo halifai kwa watoto wadogo.

Walitoka bafuni na Kway akawa ana kazi ya kujiandaa,hakusahau vitu vyake vya thamani kama pete za dhahabu na cheni zake,kukaa sana Nchini Kongo kulimfanya awe kama watu wa huko,Shingoni alivaa cheni saba na pete nyingi vidoleni.Alimbusu Kim na kuanza kuongozana mpaka kwenye maegesho ya magari ambapo hapo walimkuta dereva keshafika tayari anawasubiri.
Gari liliwashwa na safari ya kuelekea uwanja wa ndege kuanza.
******
“Est-ce –que cava?”(Mko poa)
Kelele za fujo zilisikika ndani ya ukumbi wa club E, baada ya mwanamme mrefu kidogo aliyevalia nguo ya rangi nyekundu na suruali nyeusi akiwa jukwaani,kelele zilisikika kila pembe, alikuwa si mwingine bali ni Fally Ipupa ameingia jijini Dar es salaam kufanya ‘show’ kwa mara ya kwanza.
ukumbi ulijaza mpaka ukatapika watu.Wasichana wengi walikuwa mbele kabisa wamenyoosha mikono yao hewani wakimshangilia mwanamme huyu wa kikongo anayesifika kwa nyimbo za lingala na kukizungusha kiuno chake kama feni.

Watu walijaa kiasi kwamba hewa ikawa finyu,Matajiri mbali mbali walikuwepo katika ukumbi, mapedeshee wa Mjini hawakukosa ilikuwa patashika!,Pedeshee Kway nayeye hakukosa katika ukumbi huo, hata yeye alikuwa akimpenda sana Fally Ipupa.
Balaa lilianza baada ya kuanza kukatika kiuno chake na wimbo wa ‘Associe’.
“Vemaa zala Kiswahili mala boku zemaaa,zekolovoshii”
Fally Ipupa alisema huku bendi aliyokuja nayo kuzidi kutumbuiza alikuwa akifanya ‘live band’hapo ndipo alipowakosha mashabiki.watangazaji maarufu Ben Kinyaiya na Maimartha wa Jese pia walikuwepo hawakutaka kukosa.
Mziki ulichanganya wake za watu pamoja na wasichana walishindwa kuzizuia hisia zao walijikuta wakipanda na kucheza na Fally Ipupa bila haya yoyote!walijibinua na kumpagawisha Msanii huyu aliyekua anawashika viuno vilivyo.
“Nataka kuyoya bibi mumoja hapa,nataka kuyoya bibi mumoya hapa,one lady for me”
Fally Ipupa aliongea Kiswahili kibovu akimaanisha anamuhitaji binti mmoja,macho yake yaligongana na msichana mweupe sana aliyevalia shati jeupe na kumyooshea kidole akimaanisha kuwa apande jukwaani ili acheze naye.
“Gloria,jamaa anakuita”
Esta alimwambia Gloria.
“Hapana sio mimi”
“Ndio,kidole kakunyooshea wewe”
“Sitaki Ester turudi”
Gloria akagoma.
Mziki uliendelea kutumbuizwa matajiri mbali mbali walipanda kila mtu akitaka kuonesha uwezo wake kifedha.
“Nakombo nangai Pedeshee Kway,papaa Mujogolo Nakupesa yo mbongo Mingi,Okoza la rishe,pesa bambote nangai na koffi Olomide, lakisa bangoo quenga naza nambongo mingi”(Naitwa pedeshee kway,papaa Mujogolo,nakupa pesa nyingi uwe tajiri sana,mpe salamu zangu Koffi olomide,waambie hawa watu kuwa mimi nina pesa nyingi punda hawezi kubeba)
Pedeshee Kway ndiye aliyekuwa jukwaani ameshika kibunda cha dola mia mia,anam-mwagia Fally Ipupa akiwa karibu na sikio lake ana muongelesha kilingala.
“Paaaa Mujogoloo,Papaa Kway…Pakolate,piga makombo kwa Papaa Kway Mercii pedeshee kway merci”Fally Ipupa alisema.
Fally Ipupa aliogeshwa hela kisha papaa Kway akashuka. Mpaka kwenye meza ya V.I.P walipokuwa wamekaa Esta pamoja na Gloria.
“Esta,twendeni Billz”
Alisema Kway.
“Jamani mimi nirudishe nyumbani”
Gloria akawa hayupo tayari.
“Mimi nitakurudisha usijali”
Pedeshee Kway alitoa kibunda kingine cha noti za elfu kumi kilichovimba na kumkabidhi mchaga Gloria,Moyo wake ulimdunda kwa nguvu zilikuwa ni pesa nyingi mno kupewa.
“Nakuomba kamata hizi pesa,naomba tuongozane mimi nitakurudisha usijali upo na Ester”
Gloria bado alikuwa njia panda, Ester akamkanyaga mguu kumpa ishara kuwa akubali kuzipokea pesa hizo nyingi.
BILA KUSAHAU KWAMBA HADITHI HII INAPATIKANA YOTE INBOX NA WATSAP KWA TSHS 3000/- KWA MWEZI, kwa mawasiliano +255718 862176
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storyzakway
ITAENDELEA
 
Back
Top Bottom