RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

vinneboy

JF-Expert Member
Aug 12, 2015
478
436
SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)……(1)
MTUNZI….EMMANUEL F. KWAY
Contact…+255718 862176
AGE…..(18+)
******
Jasho lilizidi kumtoka Mzee Alex Mwandambo!hasira zilimpanda maradufu, mapigo yake ya moyo yalimwenda mbio,kifo cha kuteseka ndicho kitu alichokuwa anakifikiria kichwani mwake huku akiwa katika kasi ya ajabu akiendesha gari lake usiku wa saa saba kurejea nyumbani kwake,alishaelewa nini maana ya ugonjwa hatari wa virusi vya UKIMWI unavyotesa kabla ya kukutowesha duniani,aliona bora afe haraka kuliko kufa na kifo kibaya kama hicho,

alijilaumu sana kuisaliti ndoa yake,alimlaumu shetani siku zote.Watoto wake Jamal na Mackline aliwaonea huruma sababu bado walikuwa wadogo mno kukosa mapenzi ya baba yao.Alifika nyumbani kwake Afrikasana na kuweka gari getini kabla ya kuingiza gari ndani.Geti likafunguliwa na mlinzi.
“Noo! Hapana lazima nikumalize Hafuani,siwezi kukuacha uendelee kuishi duniani”Alisema.

Hapo ndipo Mzee Alex Mwandambo alipogeuza shingo yake nyuma na kuanza kurudisha gari kinyume nyume na kulitoa kwa kasi kama mtu aliyechanganyikiwa,alitetemeka kwa hasira,Msichana mdogo aliyemuambukiza ukimwi hakutaka kumuacha hai,alitaka kumuua,hiyo ndiyo aliamini kuwa ingekuwa adhabu ya binti huyo ambaye atakaye ukatisha uhai wake.
Kifupi Mzee Alex Mwandambo alikuwa mfu aliye hai na hivyo ndivyo alivyoamini tangu apewe majibu hayo wiki nne zilizopita.
Alivyofika Mwenge mataa alikunja kulia na kuchukua barabara inayokwenda Ubungo baada ya dakika kumi baadaye alifika maeneo ya chuo kikuu cha UDSM bado alikuwa katika mwendokasi uleule,alivyofika kituo cha polisi alikunja kona na mbele kidogo kulikua kuna msitu wenye giza na miti mingi,aliweka mguu kati na kupiga breki za ghafla na kufanya vumbi litokee na kuonekana japokuwa kulikuwa kuna giza totoro,kutokana na hasira alizokuwa nazo alishuka garini bila ya kufunga mlango huku gari likiwa bado linawaka, linamulika! taa za mbele hazijazimwa.
“Wewe Malaya bado haujafa tu?”
Hilo ndilo swali la kwanza kulitupa kwa msichana aliyekuwa amefungwa kwenye mti na kamba za katani amezungushiwa mwilini.

Licha ya kufungwa kwenye mti huo kwa siku mbili bila kupata matunzo lakini bado alikuwa mzuri,alikuwa mweupe wa kung’aa mwenye midomo milaini pamoja na macho makubwa ya kusinzia.Kwa harakaharaka ungemtizama ungedhani wenda ni ‘Africast’
“Al…ex niu..e basi”
“Utafia hapo hapo mtini,kwanini lakini hukuniambia kama wewe ni muathirika,kwanini?hukujua kuwa nina familia?nakuuliza wewe Malaya mbwa?”
“Nilishawahi kukwambia nakumbuka,lakini kwa tamaa zako ukaamua kunibaka”
“Kukubaka?kwanini hukukataa sasa?hata ivyo lazima nikuue leo,baada ya hapo namimi natoweka duniani,siwezi kufa kifo cha mateso”
“Sawa niue,na naomba nikwambie ukweli kabla hujaniua,nishawaambukiza ukimwi karibia ndugu zako wote,na kuna wengine tisini na moja,kuna karatasi za wanamme niliyowaambukiza ukimwi”
“Unasema nini?”
“Baba yako ndiyo alitaka haya yatokee”
“Malaya unasema nini Hafuan?Baba yangu ni mtumishi wa Mungu,mpaka nayeye umeamua kumuambukiza?”
“Ndio ivyo sasa wewe hujui kitu,fanya unavyo taka,na kitu kingine jina langu sio Hafuani naitwa Sonia Nickson Shayo”
Sonia aliongea kwa hasira na katika mazungumzo yake hakukua na tone la utani hata kidogo,
hiyo ilizidi kumkera zaidi Mzee Alex Mwandambo aliyekuwa mbele yake anamtizama kama chui aliyeona kitoweo amevimba kwa hasira,hapo hapo alishindwa kujizuia na kumtandika kofi.
“Rudia tena”
“Ndio ha…ta ukinitesa hauwezi kuubadili ukweli,nishakupa ukimwi tayari na muda mfupi utaenda kuungana na wenzako waliotangulia Alex”
Jasho lilizidi kumtoka Mzee Alex na kupandwa na mori za hasira maneno ya Sonia yalizidi kumchoma moyoni sababu aliona ndoto zake zote zimepeperuka,tamaa za mwili zilimponza na kujikuta amenasa kwa msichana mrembo aliyekuwa mbele yake.

Hakutaka kujiuliza mara mbili alirudi ndani ya gari na kutoka na bastola kisha kumsogelea Sonia.
“Hiki ndiko kinakutia Jeuri sio?”
Mzee Alex Mwanadambo alisema huku bastola yake akiwa ameikandamiza sehemu za siri za Sonia.
“Nakuuliza hiki kidude chako ndiyo kinakufanya uwe kiburi wewe Malaya?haya ndiyo malipo ya wema wangu na leo ndiyo mwisho wako”
Baada ya kuongea hayo Alex alichomoa magazine na kukagua risasi ndani ya chemba kama zinatosha,alikasirika zaidi baada ya kukuta kuna risasi moja peke yake.
Nia ya kuchukua bastola ilikuwa ni kumuua Sonia kisha yeye ajimalize pia.Kitendo cha kukuta risasi moja ndani ya bastola kilimchanganya akili yake,lakini alivyogeuza shingo yake nyuma aliona gari lake aina ya Prado linaunguruma bado.
Akawa amepata wazo jingine jipya,alirudi ndani ya gari na kulirudisha nyuma kwa kasi.
“Huwezi kupona leo”
Kitendo cha kurudisha gari nyuma kwa kasi kilimfanya Sonia aelewe nini maana ya kifo anachoenda kukabiliana nacho,aliogopa zaidi!
Hapo ndipo alipoanza kulia kwa uchungu, aliliona gari la Mzee Alex linarudi nyuma kwa kama umbali wa mita mia moja na mbili,na kuanza kusali sala yake ya mwisho, aliamini kuwa aliyokuwa akiyafanya hakupenda!licha ya yote alikuwa yupo tayari kwenda jehanam!
Mapigo ya moyo ya Mzee Alex yalimdunda sio masihala, bastola yake alikuwa ameikoki ipo pembeni ya gia na katika mahesabu yake alikuwa ni lazima amgonge Sonia na gari lake aliyekuwa mtini.

Kwa umbali aliokuwa yupo, aliamini kitendo anachoenda kukifanya kingemuondosha duniani.Aliweka gia namba moja na kuachia clachi kisha kulitoa gari kwa kasi, lilivyochanganya alishusha gia namba mbili likazidi kwenda kasi zaidi.
Gari lilikuwa katika mwendo wa ajabu likitimua mavumbi na alivyoukaribia mti alipofungwa Sonia aliyafumba macho yake,hazikupita hata sekunde mbili alisikia kishindo na kelele za sauti kisha ukimya kutawala.
Aliyafumbua macho yake taratibu na kuona damu juu ya kioo cha mbele huku kichwa cha Sonia kikiwa kimelala juu ya boneti la gari akiwa anavuja damu.Hakutaka kupoteza wakati, hapohapo alichukua bastola yake na kujiwekea kichwani huku akitetemeka mno,aliipenda sana familia yake hasa alipomkumbuka mke wake Latifah,alielewa ni jinsi gani ataenda kuteseka akiwa mjane,
lakini hakuwa na chaguo lingine,machozi yalimtoka na taratibu kidole chake kikiwa kinasogea kwenye kifyatulio kinachoitwa triga.
“Paaaaaaaaaaa”
Ubongo wa Mzee Alex ukawa umemwagika chini na damu kuruka kwenye vioo,fuvu lake la kichwa likawa limefumuliwa na risasi, huo ndiyo ukawa mwisho wa maisha yake duniani.
*****
Ilikuwa ni tarehe ishirini na moja mwezi wa kumi na mbili saa kumi na moja ya asubuhi siku ya Jumatano,Ubungo kulikuwa kuna hekaheka na tarehe hizo wachaga ndiyo husababisha vurugu wakigombania mabasi ya kwenda mikoani kwao kula siku kuu ya chrismass na mwaka mpya.

Kipindi cha mwezi wa kumi na mbili hata nauli zilikuwa ghali,Magari ya Dar express,Meridian,Msae yote yalikuwa yakijaza, hata pengine wachaga walikuwa wapo tayari kukalia makreti ili mradi tu waweze kufika mkoani Kilimanjaro, Moshi!
“Oyaaa Nickson,umepata siti?”
“Ndiyo George”
“Mimi nasepa,safari njema ndugu yangu,wasalimie bibi na babu waambie mimi kazi zimenibana nitakuja wiki ijayo”
“Poa poa aisee haina mbaya”
“Poa Meku safari njema Mzee,ukifika nivutie waya”
“Aminia aminia”Sauti ya kijana aliyekuwa nje chini ilisikika akiwa ana muaga mwenzake.

Basi la kampuni ya Meridian lilikuwa teyari limeanza kupiga honi kuashiria kuwa safari inatakiwa kuanza, na ilivyofika saa kumi na mbili juu ya alama mabasi yakawa yameruhusiwa kuanza safari,kila basi likaanza kuchomoka kwa kasi ubungo terminal.
Nickson alivuta pumzi na kutabasamu,alikuwa anatamani kufika mapema mkoani kwao Kilimanjaro.
Nickson alikuwa ni kijana wa miaka kati ya ishirini na tano mpaka na saba.Ni mwaka mmoja tu tangu apokee shahada yake ya sheria na alibahatika kuajiriwa na serikali katika mahakama ya kisutu, alikuwa ni kijana mzuri mweupe wa kichaga, aliyechanganyika na damu ya kirangi.
siku zote Nickson alitamani kuja kuoa mapema pindi tu atakapopata kazi, siku zote alitamani kupata familia bora na yenye misingi imara ya kidini.
Hata siku moja hakutaka kuja kuoa nje ya mkoa wake,alitamani kupata msichana wa kichaga na kitu kingine kilichokuwa kinampeleka Mkoani Kilimanjaro siyo kusalimia wazazi wake peke yake tu,bali kutafuta kigoli arudi naye mjini Dar es saalam,
hakutaka safari hiyo arudi peke yake,kama sio kurudi na msichana basi awe keshapata tayari.

Basi lilizidi kusonga mbele na lilivyofika kimara mwisho likawa limesimama kupakia abiria wengine.
“Kaka samahani hiyo siti namba ngapi?”
Sauti ya msichana mrefu ilimshtua Nickson aliyekuwa kwenye mawazo ya kupata kigoli.
“Ahaa hii siti?”
“Ndio”
Nickson akasimama kidogo na kuchungulia namba.
“E-6”
“Basi ndiyo hapa,samahani kaka?”
“Bila samahani”
“Ninaweza nikakaa dirishani?”
“Hakuna shaka”
Nickson akawa amempisha jirani yake kisha akapita dirishani.Kila mtu akawa kimnya na basi likaendelea na safari yake.Mpaka wanafika sehemu ya kula chakula cha Mchana inayoitwa ‘Liverpool’ hakuna hata mmoja aliyemuongelesha mwenzake.
Nusu saa baadaye safari ikaanza tena.
“Dada yangu tukifika Marangu niamshe”
“Ndiyo unaposhukia?”
“Hapana”
“Unashuka wapi kwani?”
“Mwika,Mwika, Kishingoni”
“Wewe mchaga wa Marangu mwika?”
“Ndio”
“Shimbonyi”
“Nashcha Mae”
“Mimi naitwa Rebeca”
“Nickson Shayo”
“Ukoo wakina shayo umesambaa kumbe,mimi Kimaro,ila mama yangu ni mchaga wa huko kwenu”
“Nafurahi kukufahamu aisee,nawewe unaenda kuhesabiwa sio?”
“Ha ha ha ha ha haaaaa”
Huo ndio ukawa mwazo wao wa kufahamiana.
Baadaye Nickson akawa amepitiwa na usingizi mzito na alipofika Marangu kama alivyotaka iwe, aliamshwa na jirani yake Rebeca.
Waliendeleza stori,hatimaye Nickson akawa anakaribia kufika safari yake,alianza kusimama na kuchukua mabegi yake yaliyokuwa juu sehemu maalumu.
“Konda Kishingoni hapo niache”
“Sogea sogea karibu kaka”
“poa”
Gari liliposimama Nickson akashuka na akapokelewa na wazazi wake ambao walikuwa wenye furaha kumuona mtoto wao.
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storyzakway
ITAENDELEA
 
SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)…….(2)
MTUNZI….EMMANUEL F. KWAY
Contact…+255718 862176
AGE…(18+)
ILIPOISHIA.
“Sogea sogea karibu kaka”
“poa”
Gari liliposimama Nickson akashuka na akapokelewa na wazazi wake ambao walikuwa wenye furaha kumuona mtoto wao.
SONGA NAYO.

Nickson alijisikia kuchoka, lakini alipowaona wazazi wake uchovu wote ukamtoka, aliachia tabasamu na kuwasalimia wote wawili,Wazazi walionekana kumchangamkia.
“Mzee twendeni japo mkapate mbili tatu”
Nickson alisema huku akianza kutembea kuelekea kwenye baa.
“Mwanangu si utakuwa umechoka sana,twende ukapumzike tutakuja baadaye”
Mama yake mzazi alisema.
“Kumkatalia mtoto ni mwiko,yeye amesema anataka tukapooze koo wewe unasema umechoka chaa”
“Wewe nawe ukishasikia bia mate yanakutoka”
“Sio ivyo,au nakosea Nickson?”
“Hapana Baba”
Wakanyoosha mpaka kwenye moja ya baa kisha wote kuagiza vileo,mpaka ilivyofika saa kumi na mbili wakainuka na kuingia ndani ya gari la Mzee Shayo na safari ya kuelekea nyumbani kuanza,Usiku wa siku hiyo walichelewa kulala sababu walikuwa na mazungumzo marefu, Nickson alikuwa ana mambo mengi ya kuwaambia wazazi wake tangu akiwa mjini.
“Huyu nani huyu Yona,yeye haji mwaka huu?”
“Asije?anakuja kesho kutwa ilibidi nije naye leo”
“Michael?”
“Yeye anaweza asije”
“Alafu uliongea na madogo wako Brian,yeye anakuja?”
“Anakuja na ndege ya kesho jioni hata yeye niliongea naye, kifupi huu mwezi hapa Mwika patakuwa hapatoshi,pia nina marafiki zangu wataingia hapa kesho”
“Aise”
“Ndiyo Ivyo Mzee,mwaka huu hatutaki mchezo”
Siku hiyo wote wakawa wamefurahi na nyumba ilijaa kelele za vicheko vya furaha kisha usiku ulivyokuwa mwingi wakaagana na kuingia vyumbani kupumzika baada ya kula.

Akiwa kitandani Nickson bado aliwaza ni jinsi gani apate kigoli mkoani hapo,ni kweli alijiapizia hatorudi Mkoani Dar es salaam bila ya kuwa na kigoli wa kumuoa.
“Joan angekua hajaolewa,ningemtafuta lakini kuna huyu mtoto mwingine anaitwa Haika,sema bado mtoto sana,lakini lazima nirudi na jiko tena nirudi na kisu kweli kweli,nataka nioe sasa”
Yote hayo yalitiririka kichwani mwa Nickson akiwa amelala chali anachambua kila msichana wa mtaani,kutokana na uchovu alipitiwa na usingizi hapohapo.
Asubuhi alivyoamka kitandani kwake alijisikia uchovu lakini alijizoa zoa kiuvivu na kutoa blankent mwilini, alienda bafuni na kujimwagia maji na kunyoosha seblen, huko aliwakuta tayari wazazi wake mezani,aliwasalimia na wote kujumuika kwa ajili ya kifungua kinywa.
Hata siku moja hakutaka kuwaeleza wazazi wake juu ya jambo jingine lililomleta la kutafuta kigoli, japo alielewa angelisema wazi angepewa ushauri ni wapi akaoe, lakini hakutaka kufanya ivyo.Nickson alilelewa katika misingi ya kidini na wazazi wake na hata siku moja hakuwahi kukosa ibada siku ya Jumapili kwenda kumshukuru Mungu na alitamani siku hiyo ifike ili aende kanisani walau akatoe fungu la Kumi.

Siku hiyo jioni wakawa wamepata ugeni mwingine,Mdogo wake aliyeitwa Brian Shayo akawa amerejea kutoka uingereza Masomoni likizo na hawakukaa sana ugeni mwingine ukawa umefika kutokea mkoani Mbeya, nyumba ikawa imezidi kelele maradufu.
Na ilivyofika Jumapili Nickson na Brian wakaenda kanisani misa ya asubuhi.
Macho ya Nickson yakawa yametua juu ya sura ya msichana mweupe wa kuvutia na kuanzia hapo hakumsikiliza tena mchungaji ni kitu gani anaongea mbele, akili yake ilihama,msichana aliyemuona alikuwa ana uzuri wa ajabu na kichwani kwake alipanga aongee naye ikiwezekana ndiye huyo awe Mke wake kama akitokea akakubali ombi lake, bado aliendelea kumtafakari na kumkagua kuanzia kwenye nywele mpaka chini miguuni,kwa hesabu za haraka msichana huyo alionyesha bado hakujua kuvaa na cha kwanza kukiwaza atakapo mpeleka jijini Dar es salaam ni kumkarabati kila idara.

Ibada ilivyoisha Nickson akatoka nje akiwa ana kazi ya kumtafuta msichana mrembo aliyemuona ndani ya kanisa, alitoka mpaka nje ya geti na kumuona ndiyo anaishia kukatiza kona,hakukubali alianza kutembea harakaharaka na kukunja kona.
“Dada,dada,samahani kidogo naomba usisame!”
“Nina haraka sana”
“Tafadhali kwanza,nimepotea njia, nataka kuelekea kwa mzee mmoja hivi anaitwa Kimaro, kwa Mzee Kimaro ndiyo huku?”
Sio kwamba alikuwa amepotea njia, Nickson alizuga ili aanze mazoea na msichana huyo.
“Mzee Kimaro?ni huko chini sio huku”
“Mbona nimeambiwa ni huku?”
“Mimi ndiye ninaye kwambia kama huniamini basi,naomba niende”
“Lakini”
“Nini?”
“Wewe ni mwenyeji wa huku?”
“Ndio”
Ni kweli msichana aliyekuwa mbele yake alikuwa ni mzuri na kwa mbali alivyofungua kinywa chake kuongea yalionekana meno ya kichaga yenye rangi ya dhahabu,alikuwa ana macho makubwa kiasi na mwenye sura ya kipole,
hata Nickson na ujanja wake wa kukaa mjini alijikuta anaishiwa maneno na kubaki akikuna kichwa chake.
“Unaishi wapi?”
“Hapo mbele,kwenye nyumba nyeupe”
“Haaaa! kwa mzee Urio?”
“Ndio”
“wewe ni binti yake?”
“Kaka mbona maswali mengi? naomba niwahi tutaongea siku nyingine,kwaheri”
“Basi nitajie jina lako”
“Siku nyingine”
Msichana huyo alitembea kwa haraka na kupotelea katikati ya mashamba ya migomba na kahawa.
Nickson mpaka dakika hiyo hakuamini kuwa kijijini Mwika kuna wasichana wazuri kiasi hicho, alitembea akirudi kanisani na kuwakuta watu wameshatawanyika,Mdogo wake Brian ndiye alikuwa akimsubiri na alivyofika waliingia ndani ya gari na kuanza akurudi nyumbani.

Nickson alitumia gari ya baba yake katika mizunguko ya hapa na pale na kitendo cha kurudi nyumbani hakukaa sana,aliliendea gari na safari ya kwenda kwenye nyumba ya Mzee Urio kuanza mara moja,haikuchukua hata dakika ishirini kutokana na ukaribu akawa amefika na kuweka gari nje ya nyumba ya Mzee Urio kisha kushuka na kugonga mlango.
Moyo wake ulimdunda sana na hakujua ni kwanini hali hiyo inajitokeza ghafla, alijihisi akitetemeka na jotoridi kumpanda.
“Kijana,kumbe ni wewe?”
Mzee Urio alimlaki Nickson.Kutokana na udogo wa kijiji hicho ilikuwa rahisi kutambuana mbali na kujuana Mzee Urio na Mzee Shayo walikuwa ni marafiki wakubwa.
“Ndio Mzee Shikamoo”
“Marahaba pita ndani,pita ndani”
“Ahsante”
“Umekuwa M-baba,watoto mnakuwa haraka nyie huko mjini mnakula nini?”
“Hatuli kitu zaidi ya ugali kisamvu”
Wote wakacheka na kufurahi.
“Gloriaaaaa”
“Imbeee”(Abee baba)
“Tengeneza chai vikombe viwili nina mgeni leo”
“Sawa Baba”
Mazungumzo ya Mzee Urio na Nickson yakaanza!
“Pangala”
Wote walishtuka baada ya kumuona Gloria kadondosha vikombe vya chai,alikuwa akitetemeka baada ya kumuona Nickson yupo mbele yake,alikuwa ni mwenye hofu na kuhofia kufokewa na baba yake endapo Nickson angesema kuwa alimfuata yeye.
Gloria alijawa aibu na alimuangalia Nickson kwa macho ya kuibia.
“Vipi?”
“Hapana Baba samahani”
“Sasa unatetemeka nini?kilichokufanya udondoshe vikombe ni kitu sasa?”
“Samahani baba”
****
Nickson hakukauka nyumbani kwa Mzee Urio na kila siku alikuwa akienda nyumbani hapo hata siku ya sikukuu ya Chrissmass ilivyofika siku nzima alikesha kwa Mzee Huyo,
kichwani kwake alikuwa na mahesabu makali,Mzee Urio alimzoea na hata siku moja hakuwahi kuhisi kama Nickson yupo kimawindo!

Baada ya kula sikukuu hatimaye Nickson akaaga na kumkuta Gloria nje ,siku hiyo hakufika kwa Mzee Urio na gari alitembea kwa miguu.
“Gloria”
“Abee”
“Naomba nisindikize basi”
“Usiku sasa hivi,Baba hapendi nitoke usiku”
“Mwambie unanisindikiza mimi”
“Mimi naogopa”
Nickson akavaa ujasiri na kumuendea Mzee Urio kuomba ruksa na bahati nzuri akakubaliwa,na alivyomwambia Gloria naye akashindwa kutoa sababu nyingine.wakaanza safari ya kukatisha katika mashamba ya Migomba.
“Dar es salaam unafanya kazi gani Nickson?”
“Mimi ni Mwanasheria,pia ni wakili wa kujitegemea”
“Kweli?”
“Kwanini nikudanganye sasa”
“Hongera yako”
Mpaka hapo ukimnya ukatawala na kuonekana kila mtu alikuwa akimtegea mwenzake aanze kuongea.
“Gloria”
“Abee”
“Unajua kuwa wewe ni mzuri sana”
“Hapana sijui”
“Mimi ndiyo nakwambia”
“Hata wewe mbona ni kijana mzuri,hivi umeoa eeeh?”
“Bado sijaona lakini nipo katika mipango hiyo”
“Wifi atafaidi,Wifi ni kabila gani?”
“Hapana bado sijampata lakini nipo mbioni kumpata,na akikubali nitamuoa mara moja niende naye mjini kuanza naye maisha nimechoka kuishi mwenyewe”
“Kweli?”
“Haswaa”
“Mimi nakutakia mafanikio mema”
Walizidi kukatiza katikati ya mashamba ya migomba na Kahawa,Nickson aliamini hiyo ndiyo siku muafaka ya yeye kumwambia Gloria ukweli juu ya hisia zake,alifafanua kila kitu kinagaubaga na safari aliyofunga kutoka Dar es salaam ya kutafuta mke.

Kwa mara ya Kwanza Gloria alionesha kusua lakini kadri siku zilivyozidi kwenda Nickson alizidi kupigilia misumari swala la hisia zake.
Hata ingemchukua Mwaka mzima aliapa hatokata tamaa, Gloria alizidi kuwa mzuri machoni mwa Nickson kila kukicha na alichokifikiria ni ndoa kichwani mwake.
siku hiyo ya mkesha wa Mwaka mpya ndiyo walihaidiana kukutana baada ya misa ya usiku na ndiyo ilivyokuwa, baada ya misa kuisha wakashikana mikono mpaka migombani.
“Nickson utanioa kweli?”
“Ndio,nitakuoa kama upo tayari”
“Nipo tayari”
Hapo hapo Nickson akapeleka mdomo wake kinywani kwa Gloria na kuzifunika lips zake na kuanza kulana denda kwa furaha,mapigo ya moyo ya Nickson yaliruka sarakasi kwa furaha, hakuamini kama tayari amepata kigoli,ndimi zao ziligusana midomoni na miguno kuanza kusikika,kila mtu akawa amelegea, Nickson taratibu alipandisha mkono wake juu ya maziwa ya Gloria na kuanza kuyashika, hapo ndipo Gloria alianza kuyafumba macho yake.
Nickson hakuishia hapo alimsogeza taratibu Gloria na kumuegemeza kwenye mti huku akiendelea kumtomasa Maziwa, alivyoona haitoshi aliitoa blauzi yake na kuanza kunyonya maziwa ya Gloria,ulikuwa ni usiku mnene.
Gloria alikuwa anaguna asijue ni kitu gani akifanye alihisi raha za ajabu mno.Mkono wa Nickson ukashuka chini ya kitovu na kuingia chini, aliivuta chupi ya Gloria kwa juu na kuzidi kuupenyeza mkono wake ndani, alivyotaka kuishika ikulu ya Gloria mkono wake ukazuiwa!
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storyzakway
ITAENDELEA
 
SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)....(3)
MTUNZI…EMMANUEL F. KWAY
Contact….+255718 862176
AGE….(18+)
ILIPOISHIA.
.Mkono wa Nickson ukashuka chini ya kitovu na kuingia chini, aliivuta chupi ya Gloria kwa juu na kuzidi kuupenyeza mkono wake ndani, alivyotaka kuishika ikulu ya Gloria mkono wake ukazuiwa!
SONGA NAYO.

Gloria aliuzuia Mkono wa Nickson ulivyotaka kugusa ikulu yake, lakini bado waliendelea kulana denda.Kwa upande wa Nickson hakuwa na tatizo kabisa na aliiona ni sawa tu kwa Gloria kumzuia, sababu ndiyo siku hiyo ilikuwa ya kwanza kukubaliana wawe wapenzi,hakutaka kujali sana kuhusu hilo na hata mpaka wamefikia kitendo cha kupigana mabusu kilitosha kabisa kudhihirisha mambo mengine yangefuata taratibu, kwani aliamini ndege ni wake hakua na haja yoyote ya kushika manati, mbali na hapo aliheshimu hisia za msichana huyo,waliishia kushikana huku na huku na walivyoridhika kila mtu akamuaga mwenzake.

Nickson akabaki akimsindikiza kwa macho Gloria na hata msichana huyo alipofika mbali aligeuka ma kumpungia mkono.
Nickson hakuamini kama amemmpata msichana mzuri kama Gloria na aliondoka akiwa mwenye furaha moyoni mwake.Tangu siku hiyo mapenzi yakawa motomoto, waliongozana kama kumbikumbi wakiwa pamoja na kila jioni walikutana chini ya mti mkubwa wakishikana shikana.
“Gloria nakupenda sana,nakupenda kutoka ndani ya moyo wangu, sijui niseme nini,kungekuwa kuna neno jingine zaidi ya hili ningesema lakini hakuna,nakupenda sana”
Alisema Nickson akiwa katika hali ya hisia kali akionesha msisitizo huku mikono yake ikiwa juu ya mashavu ya Gloria anamtizama msichana huyu jinsi alivyokuwa mzuri mno.
“Hata Mimi Nickson,lakini usinione mshamba”
“Kwanini unasema ivyo?”
“Mimi bado bikira”
“Gloria?”
“Abee”
“Unasema ukweli?”
“Nakwambia ukweli,sijawahi kuguswa na mwanamme yoyote Yule,nilitaka mume wangu ndiye awe mwanamme wa kwanza kunifungua”
“Basi ndiyo mimi hapa”
“Bado hujawa mme wangu lakini”
“Sawa,sikatai lakini ndiyo nitakuwa hivi karibuni”
“Nakupenda Nickson”
“Hata mimi Gloria,wewe ndiye mwanamke wa maisha yangu,Mungu amenipa wewe na sitokugusa mpaka nitakapokua kama unavyotaka iwe”
“Ahsante Nick”
Kila mtu alimtamkia maneno matamu mwenzake usiku huo wakiwa chini ya mti ambao wanakutana kila siku,walisogeza midomo yao karibu na kuikutanisha kama wafanyavyo siku zote, basi ndivyo ilivyokuwa walinyonyana midomo yao kama njiwa huku wakichezeana huku na huku.Kiungo cha Nickson kilisimama na kufanya suruali yake itune mbele na ndiyo ivyo ilivyokuwa kwa Gloria, hisia zilimpanda ajabu na kutamani kufanya jambo baya la kuzini! Shingo ya Gloria ilinyonywa na Nickson akazidi kuupandisha ulimi wake na kuupitisha masikioni mwake, hapo ndipo msichana huyu alipagawa zaidi alitamani avue nguo lakini alijikaza kisabuni,kutokana na hali hiyo ilibidi Nickson achukue mkono wa Gloria na kuuweka juu ya mashine yake huku akifanya kama anajichua.
Gloria aliogopa na kuutoa mkono wake.
“N…ini Gloria?”
Nickson aliuliza taratibu huku macho yake yakiwa mekundu yamelegea.
“Mimi naogopa kukugusa huko”
“Jaribu leo,mimi siwezi kulala hivi usiku,nitateseka sana”
“Mhhh”
“Tafadhali”
Gloria akakubali akaingiza mkono ndani ya boxa ya Nickson na kumtoa nyoka wake aliyekuwa ametuna kisha akasaidiana na Nickson, wakaanza kumchukua nyoka huku wakiendelea kupigana madenda kwa fujo.kadri sekunde zilivyozidi kwenda mbele ndipo Nickson alipozidi kusikia raha zaidi,na kumvuta Gloria upande wake,hazikupita hata sekunde kumi Nickoson akamganda Gloria akawa amemkumbatia kwa nguvu,teyari alikuwa ametupa risasi na kushusha pumzi ndefu.
“Pole”
Gloria alisema huku wakitizamana.
****
Halikuwa jambo la utani kwa Nickson kuhusu kumuoa Gloria, baada ya wiki moja baadaye akawa ameweka mambo wazi kwa wazazi wake juu ya Msichana aliyempata,Mzee Shayo akainua mikono juu na kushangilia kutokana na mwanaye kuoa mtoto wa rafiki yake,hata walivyopeleka taarifa hizo kwa Mzee Urio ndiyo akaonesha furaha zaidi.Mambo yalipelekwa harakaharaka sana na vikao kuanza kufanyika maramoja! wazee wa kichaga waliitana mashambani na kuchinja mbuzi ili kujadili swala hilo zito.

Baada ya wiki mbili kutimia Mzee Shayo wakishirikiana na wazee wenzake wakawa wametengeneza pombe ya asili iliyoitwa mbege,ikanyweka kama mila zao.Nickson hakutaka kubanduka mkoani Kilimanjaro bila Gloria na ndivyo ilivyokuwa,walipanga harusi yao ifanyike jijini Dar es salaam.Hakukua na kipingamizi, safari ya kuelekea mkoani Dar es salaam ikaanza.
Na Nickson alivyofika tu kitu cha kwanza alichofanya ni kumpeleka Gloria saluni ili wakaufanyie ‘service’ mwili wake na alivyotoka saluni kila mtu alimkodolea macho.Gloria alibadilika ghafla, kichwa chake kilikarabatiwa na nywele zake zikawekwa sawa,ungemtizama na kupewa picha yake jinsi alivyokuwa kwenye mashamba ya kahawa ungekataa katakata.

Hata Nickson alipomuoma alionesha mshtuko wa waziwazi na kuweka mdomo wake kinywani!
“Ndiyo wewe Gloria?sijawahi kuona msichana mzuri kama wewe lazima niwaite leoleo wakina Faris na Jongo niwaoneshe kuwa Moshi kuna vifaa,si walikuwa wananicheka eti naenda kuoa kijijini,ngoja sasa”
Maneno hayo yalimtoka Nickson huku akizidi kumuangalia Gloria juu mpaka chini asiye amini mtu anayemuona mbele yake.
Walivyotoka sinza walichukua Taxi iliyowapeleka mpaka Buguruni Malapa na ndiyo hapo Nickson alikuwa amepanga .Alivyofika tu akatoka nje mbio mbio.
“Oyaaaa Jongo, wewe Jongo hunisikiii au?,njoo njoo njoooo,Faris yuko wapi?”
“Yuko kule juu,vipi kwani?”
“Enhee Yule pale,Faaaaris”
Namna aliyotumia kuwaita wenzake kuliwatisha na wote wakasogea karibu kumsikiliza rafiki yao.
“Mwenzenu nataka kuoa,kama nilivyowaambia kuwa nilienda Moshi sio kuhesabiwa peke yake,nimekuja na kifaa na ninaoa mwezi ujao”
“Kumbe ndiyo ulichotuitia hiko?”
“Twendeni mkaone, sio mnasema hivyo, kifaa hamjakiona ndiyo maana,lakini msipige kelele,twendeni mkamuone shemeji yenu”
Wote wakatembea Jongo na Faaris walikuwa wana hamu ya kumuona msichana aliyekuwa akisifiwa na Nickson,wote wakafika ndani.Ni kweli msichana waliyemuona nyumbani kwa rafiki yao alikuwa ana uzuri usio wa kawaida, waliyatumbua macho yao na hawakutaka kuuliza kitu kingine zaidi,Gloria alikuwa kivutio kwao.
****
Kutokana na mambo kupelekwa haraka na wazee wa kichaga, kadi za harusi zikawa zimesambazwa,hatimaye siku ya ndoa ikawa imekaribia lakini mpaka siku hiyo Nickson na Gloria hawakuwahi kushiriki tendo la ndoa.Na Nickson alitamani siku hiyo ifike na ndiyo maana alikuwa ana mcheche wa siku ya harusi yake iwadie!alipiga siku hiyo baada ya ndoa watakuwa kitandani na Gloria.

Siku hazigandi,hatimaye siku ya harusi ikafika, Nickson Shayo akawa amemuoa Gloria,wazee wakafurahi na kunywa.Ikawa kama utani kumbe ndiyo kweli,na siku hiyo akapewa nyumba ya kuishi na gari la kutembelea kama zawadi na ofisi.Ulipofika usiku wa saa sita,gari la maharusi likawachukua mpaka Rombo Hotel ili kupumzika.Hapo Nickson hakufikiria kitu kingine zaidi ya kufanya tendo alilokuwa akilisubiria siku nyingi zilizopita nyuma,kitendo cha kufunga mlango alimvuta Gloria karibu na kuanza kunyonyana midomo yao wakilana denda, wakatupana kitandani.Nickson alilivua shela la Gloria nayeye akavuliwa Suti, wakabaki kama walivyozaliwa.
Nickson alipagawa zaidi,hakuamini kama ndiyo anaenda kula tunda lake aliliolisubiri kwa kipindi kirefu,hakua na papala alienda kimjini, alielewa jinsi ya kumuandaa mtoto wa kike na ndicho alichokifanya na kila alipojaribu kuweka mkono ndani ya mgodi wa Gloria alishikwa mkono,
hakutaka kuwa na haraka sababu alielewa mke wake ni bikira na alijisikia ni mwanamme lijali kumtoa bikira msichana mzuri kama Gloria!
Aliyanyonya maziwa ya Gloria mpaka alivyolainika kabisa na kuanza kuyafumba macho yake.Hapo ndipo alipomchukua nyoka wake na taratibu kumuingiza shimoni kwa tahadhari sababu alielewa nini maana ya bikira.Lakini moyo wake ulimdunda baada ya nyoka wake kupita ndani bila tatizo,alimtoa na kumuingiza tena lakini hali ilikuwa vilevile.Akili yake ilichanganyikiwa na kugundua teyari ameuziwa mbuzi kwenye gunia!
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storyzakway
ITAENDELEA.
 
Kijana ananikumbusha kipindi nina miaka 16 tayari natoa hadithi magazetini,
hadi namaliza form four nikawa namalizia kuandika novel yangu ambayo haikufanikiwaga kuchapwa,nikaahirisha mambo ya utunzi,kwasasa hailipi sana na ni time consuming mno
 
SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)……(4)
MTUNZI….EMMANUEL F. KWAY
Contact….+255718 862176
AGE…..(18+)
ILIPOISHIA
.Lakini moyo wake ulimdunda baada ya nyoka wake kupita ndani bila tatizo,alimtoa na kumuingiza tena lakini hali ilikuwa vilevile.Akili yake ilichanganyikiwa na kugundua teyari ameuziwa mbuzi kwenye gunia!
SONGA NAYO.

Hali ya kutokuwa kwa ubikira wa Gloria ilimshtua sana Nickson, lakini hakutaka kuuliza kwanza, jambo alilofanya ni kumaliza alochokianza kwanza!Alimpindua Gloria na kumlaza vizuri chali ili amalize hamu yake,damu yake ilimuenda mbio na mapigo yake ya moyo kuzidi kumdunda.Gloria alikuwa ni msichana mzuri na bado aliamini kuwa yupo ndotoni na muda mfupi ataenda kushtuka.
“Assshhh Nickiiii tar…atibu”
Gloria aliigiza kwa kutoa sauti hiyo puani.Nickson alimgeuza huku na kule na safari hii akauweka mguu wa mke wake begani kwake huku akizidi kuendeleza mashambulizi.

Gloria alizidi kupiga kelele za raha na hapo ndipo alipomfanya Nickson azidishe kasi,alipeleka ulimi wake kifuani na kuanza kunyonya maembe huku akizidisha mashambulizi,sekunde tano baadaye alikuwa amelala kifuani kwa mkewe akiwa anahema juu juu,ametulia haongei chochote,Gloria alijifunza kitu kutokana na ukimnya wa mme wake.
“Mme wangu”
“Naam”
“Ume enjoy?”
“Ndio”
“Mbona kama huna raha?”
“Hapana kawaida tu”
“Kweli?”
Gloria aliuliza tena.
“Ndio”
“Naomba unisamehee Nickson,najua kuna kitu umegundua ambacho kinakufanya unifikirie vibaya”
“Kitu gani?”
“Hujanikuta kama ulivyotaka niwe,ki ukweli mimi sikua bikra na ninaomba unisamehe kwa hilo,nisamehe saba mara sabini”
“Sasa kwanini hukutaka kuniambia ukweli? ulidhani sitokuoa?”
“Nilitaka nije kukwambia ukweli siku moja lakini sikupata nafasi hiyo,lakini ki ukweli hii isikufanye upunguze mapendo kwangu,Nickson nakupenda kutoka ndani ya moyo wangu ndiyo maana nikakubali kuolewa nawewe”
“Hata mimi nakupenda Mke wangu kuhusu hilo swala usijali,mimi nakupenda kweli,na mpaka nimekuoa nilikuwa nipo tayari kukabiliana na kitu chochote kile”
“Kweli Mme wangu?”
“Niamini mimi,nakupenda Gloria,nakupenda sana,nataka uishi kama malkia,nachokuomba uwe mwaminifu”
“Kwa hilo ondoa shaka”
Nickson aliinua kichwa chake na kupeleka lips zake mdomoni kwa Gloria kisha kuanza kulana denda,hakuna kilichofuata hapo zaidi ya kuanza kushikana huku na huku na kubebana mpaka bafuni, huko kilichoendelea ni kutomasana,bomba likafunguliwa la mvua kila mtu akawa anamsugua mwenzake huku wakiwa kama walivyozaliwa.

Kila Nickson alipomuangalia mke wake kiungo chake cha mwili kilimsimama.Gloria alikuwa ni msichana mweupe na mwenye mwili wa kutamanisha, maziwa yake yaliyosimama wima ndiyo yalizidi kumpandisha Nickson midadi aliyekuwa mbele yake anapitisha mikono katikati ya matiti yake huku akiyasugua,alipeleka kinywa chake na kuanza kuyanyonya kama mtu anayevyonza embe dogo,taratibu huku mkono wake ukipita chini ya ikulu, kazi ya Gloria ilikuwa ni kumkwaruza Nickson mgongoni huku mara kadhaa akipiga kelele za raha na kutetemeka, raha alizokuwa akizisikia hakuweza kuwahi kuzipata kabla katika maisha yake.
walinyonyana midomo na kurudi chumbani huku wakiwa wamelowana ivyoivyo puuh kitandani, kisha kuzidi kuendeleza mashambulizi.
Hakika fungate lao walilitumia vizuri.Na baada ya siku tano,ilibidi warudi katika nyumba yao mpya waliyopewa na ofisi kama zawadi,
ilikuwa ni furaha sana,kazi aliyoifanya Nickson siku iliyofuata ni kukodi gari kubwa mpaka Buguruni Rozana, alipokuwa amepanga kipindi anaanza maisha ili kuchukua baadhi ya vitu vyake,alivyofika hakusahau kuwatafuta marafiki zake kipenzi, bwana Jongo na Faaris.Wote walisahabiana wakiwa wenye furaha.
“Naona kampani yetu ya ubachela inaanza kupungua sasa!”
Alisema Faris akikitizama kidole cha Nickson kilichokuwa na pete ya ndoa.
“Sio kweli,lazima tuwe tuna kutana mara moja moja tupige mbili tatu sana tu!”
“Wewe unasema,wife akigoma hutosema kitu chochote,tena kile kisu cha kichaga, akikohoa tu upo ndani,mimi si nakwambia”
Bwana Jongo nayeye hakukosa neno!
“Mwambie huyo Jongo,lakini poa sisi tuna kutakia kila raheli,tutatembeleana kama kawaida Mangi”
Faaris nayeye akapigilia msumari.
“Mimi sitowasahau washkaji zangu,lazima nije Buguruni hapa,maana ndiyo maskani”
Waliendelea kupiga stori wakiwa wenye furaha na gari lilipomaliza kupakia mizigo, Nickson alimtafuta mzee mwenye nyumba na kumkabidhi funguo zake kisha kuingia ndani ya Canter huku akiwapungia marafiki zake mikono ya kuwaaga.
Katika maisha yake, Nickson alijua teyari amekamilisha hatua ya kwanza nayo ni ya kuoa na alichokuwa akikiwaza kwa wakati huo baada ya mwaka mmoja, awe tayari keshaitwa Baba,alikuwa ni mwenye hamu sana ya kuyavaa majukumu ya kuwa na familia.
“Broo ulisema Segerea majumba sita?”
Aliuliza Dereva wa gari wakiwa wamefika Tabata liwiti.
“Ndio!kuna sehemu inaitwa migombani”
“Sawa,napafahamu”
“Okay”
Gari lilizidi kwenda na walipofika kwenye nyumba yanye geti la rangi jekundu, gari likawekwa sehemu nzuri.Nickson akawaita vijana waje kumsaidia nao wakafika.

Siku nzima wakasaidiana na Gloria kupanga nyumba na ilivyofika jioni ya saa kumi na mbili kila mtu alikuwa hoi bin taaban!kutokana na uwingi wa vitu kupangwa.
“Mme wangu utakula nini usiku?”
“Hapana usipike,si umechoka sana”
“Nani amekwambia?”
“Pumzika,leo tunanunua chakula nje”
“Sitaki ule chakula cha nje Darling wakati mimi nipo,sasa nini uwepo wa mimi hapa ndani?”
“Basi sawa pika chochote tu,wale samaki wa jana si bado wapo?”
“Ndio”
“Basi pika hao na wali”
“Aya baba,alafu maji tayari yapo bafuni ukaoge”
“Nitakusubiri,ukimaliza tukaoge wote”
“Mhhh,sawa”
Kila mtu alimpenda mwenzake kwa dhati na chakula kilivyotengwa mezani,kwa pamoja wakanyoosha mpaka chumbani ili kwenda kuoga,nyumba waliyopewa ilikuwa nzuri na kubwa tena ya kisasa.Wote waliipenda, bafuni kulikuwa pa kisasa kulikuwa kuna yakuza iliyojaa mapovu wote wakavua nguo zao kisha wakaingia ndani ya sink lililokuwa na maji ya uvugu uvugu ndani yake.

Kilichoendelea hapo ni kila mtu kuanza kumchokoza mwenzake,walipigana madenda mfululizo na kilichofuata ni tendo la ndoa,kila mtu alikuwa ana hamu na mwenzake.Baada ya kutoka ndani ya sink walitembea mpaka chumbani na kuvaa nguo.
“Baby vaa hii night dress,tuko wenyewe ndani”
“Naona aibu”
“Hapana vaa tu,si tutakuja kulala sasa hivi”
“Sawa”
Wote wakanyoosha seblen kula chakula cha usiku kisha kurudi kulala.
****
“Griiii griiiii,Griiii griiiiiiii”
Ni Simu ndiyo ilikuwa ikiita katika ‘vibration’ juu ya meza kubwa na wa kwanza kuisikia alikuwa ni Gloria asubuhi hiyo ya saa moja, alimtingisha Mme wake Nickson aliyekuwa mbali katika usingizi mzito.
“Mhhhhhhh”
Nickson aliitikia katika hali ya uchovu huku akipiga miayo!
“Simu yako Darling,inaita”
“Naomba”
Nickson alishtuka na kukaa sawa kitandani baada ya kuona jina juu ya kioo cha simu yake Boss Magugu.Alikaa kwa adabu na kukohoa kidogo ili kuondoa sauti ya usingizi.
“Halloo bosi”
“Za kwako Nickson?”
“Salama tu bosi,sijui huko kwako”
“Huku njema,upo ofisini?”
“Hapana,nitaingia kesho bosi”
“Sawa,sasa nilikuwa nakuomba kitu kimoja,nipo Arusha hapa KIA, baada ya dakika arobaini na tano uwepo mwalimu Nyerere tafadhali,wewe ndiye mtu wa karibu nimekupigia ambaye utaweza kufika kwa haraka”
“Sawa bosi,utanikuta hapo,hilo ondoa shaka”
“Okay”
Simu ilikatwa ikimuacha Nickson akimruka Mke wake kitandani na kunyoosha mpaka bafuni,sekunde moja baadaye alikitoa kichwa chake nje kikiwa na mapovu.
“Njoo uoge,leo twende ukamuone bosi wangu,siwezi kukuacha mwenyewe Gloria”
“Sawa,nakuja”
Wote wakaingia kunawa pamoja na kuoga, walivaa na kutoka nje mpaka kwenye gari aina ya Rav 4.
Na safari ya kuelekea uwanja wa ndege kipawa mwalimu Nyerere kuanza,kwa mwendo wa kawaida alioutumia Nickson, ndani ya dakika ishirini na tano wakakunja kona kushoto kuingia uwanja wa ndege.

Nickson akazungusha gari mpaka sehemu aliyoona inafaa kupaki gari, kisha kuliegesha vizuri na kuteremka akiwa na Gloria wake pembeni,wakatembea mpaka sehemu ya watu wanaopokea wageni wao,kisha kujumuika nao wakimsubiri mgeni wao.
Haikupita hata dakika kumi,sura ya Mzee mwenye rangi ya maji ya kunde aliyevaa suti nyeusi ilitokeza .Na Nickson akapunga mkono wake hewani baada ya kugundua kuwa ni bosi wake Mr.Omari Magugu.
“Pole na safari Bosi”
“Ahsante vipi za fungate?”
“Salama bosi”
Kitendo cha Magugu kumtizama Gloria moyo wake ukamdunda na kumwenda mbio,ilikuwa ni tofauti na alivyomuona kwenye harusi,Gloria alizidi kuwa mzuri siku hiyo na walivyopeana mikono ya salamu akamtekenya kwenye kiganja chake,na kumkonyeza bila ya Nickson kujua lolote.

BILA KUSAHAU KWAMBA HADITHI HII INAPATIKANA YOTE INBOX NA WATSAP KWA TSHS 3000/- KWA MWEZI.(+255718 862176)
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storyzakway
ITAENDELEA
 
SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)……(5)
MTUNZI….EMMANUEL F. KWAY
Contact….+255718 862176
AGE…(18+)
ILIPOISHIA.
Kitendo cha Magugu kumtizama Gloria moyo wake ukamdunda na kumwenda mbio,ilikuwa ni tofauti na alivyomuona kwenye harusi,Gloria alizidi kuwa mzuri siku hiyo na walivyopeana mikono ya salamu akamtekenya kwenye kiganja chake,na kumkonyeza bila ya Nickson kujua lolote.
SONGA NAYO.

Moyo wa Gloria ulipigwa ganzi ya ghafla hakuelewa ni kitu gani akifanye,Mr.Magugu alizidi kuutekenya mkono wake huku akimkonyeza, alishindwa kuvumilia kwa nguvu zake aliutoa mkono wake mpaka ukamgonga Nickson aliyekuwa anaangalia pembeni.
“Vipi Gloria?”
Nickson aliuliza lakini badala ya Gloria kujibu alikaa kimnya,kuna kitu alijifunza lakini hakua ana uhakika nacho.
“Twende Nickson,nataka niwahi leo ofisini,lakini sijakusifia mkeo ni mzuri,huyu ni mchaga vile?”
“Ndio bosi”
“Basi umechagua,kama akihitaji kazi mimi nitamtafutia,asiwe anakaa nyumbani inabidi nayeye achakalike asiwe goalkeeper,kesho na kesho kutwa hautokuwepo,atashindwa pa kuanzia”
“Kweli bosi,utamtafutia kazi?”
“Hilo ondoa shaka”
Kutokana na Elimu ndogo aliyokuwa nayo Gloria kwa Nickson hiyo aliiona ni bahati kwake, hakutegemea kama bosi wake angekuwa mpole kiasi hicho tofauti na siku nyingine zote alizowahi kuishi naye.

Waliingia ndani ya gari na Nickson akampeleka bosi wake mpaka Mbezi beach sehemu anapoishi,wakaagana na Nickson akahaidi kuwa kesho yake atafika ofisini asubuhi na mapema.Kabla ya Nickson kutoka getini Bosi wake alimuita akawa kama ana kitu anataka kumwambia.
“Embu njoo mara moja”
Nickson alitembea kwa adabu.
“Kama nilivyokwambia,mimi ndiye nilifanya mipango ya wewe kupewa nyumba na gari sasa pia nitafanya mipango ya mkeo apate kazi nzuri”
“Lakini hana elimu sana”
“Bwana wee!hapa mjini kwani wanaokaa kwenye maofisi wote wana elimu?hilo swala niachie mimi nilishughulikie”
“Sawa bosi,hata ivyo nashukuru sana Mungu akuzidishie,ahsante kwa kila kitu”
“Anza kumwambia maana naona ni muoga kweli,hata nilivyokuwa namsalimia pale nikawa namshtua shtua akawa anaogopa,mchangamshe bwana”
“Ha ha ha haaa sawa bosi,hilo ondoa shaka bado mgeni wa jiji,atazoea tu”
“Haya usiku mwema kesho uwahi mapema”
“Sawa”
Nickson aliondoka akiwa mwenye furaha moyoni mwake, lakini alipoingia ndani ya gari na kumueleza habari hizo mke wake Gloria ili kuwa ni kinyume, hakuonesha furaha ya aina yoyote ile,jambo ambalo alishindwa kulielewa.
“Sasa mbona hufurahi?”
“Hapana,siwezi kufanya hiyo kazi”
“Sasa kwanini?”
“Basi sijisikii”
“Ngoja nikwambie mke wangu,sina maana mbaya kukuanzisha kazi, hapana,lakini nachotaka mimi uwe unajishughulisha, unajua haya maisha siku yoyote naweza nikatoweka alafu ukawa mzigo kwa watu”
“Nickson naomba twende nyumbani”
Gloria alilengwa na machozi, moyoni alikuwa ana sababu kubwa ya kukataa kazi aliyotaka kupewa na Nickson kupitia mgongo wa Mr.Magugu,alielewa nini maana yake,
kitendo cha kutekenywa mkono wake ndicho kilichomuuma zaidi,kwa kitendo hicho yeye alihesabia ni kama udharirishwaji,alimpenda mme wake na alisikitika sana na kumuonea huruma sababu hakuelewa nini maana ya kazi hiyo.
“Nickson”
Gloria alimuita Mme wake baada ya gari kuwashwa na kuondoka.
“Naam”
“unataka nifanye kazi kweli?”
“Ndio,lakini ukikataa sitakuwa na haja ya kukulazimisha”
“Mimi nipo tayari,lakini sio hiyo ninayotafutiwa na bosi wako”
“Sasa kwanini?yeye ndiye mtu mkubwa hapa mjini atakusaidia kwa kila kitu,na si ajabu ukapata kazi nzuri na ukalipwa vizuri”
“Hujaelewa Nickson wangu”
“Sijaelewa nini?”
“Unajua alinifanya nini pale uwanja wa ndege?”
“Alikufanya nini?”
“Alikuwa akinitekenya mkono wangu,mimi sikupenda na kanikera”
“Aaaah hicho ndicho kinakufanya ukatae kazi yake?iyo kawaida hapa mjini”
“Nickson ndiyo anikonyeze?”
“Kakukonyeza?”
“Ndio”
Hapo Nickson hakua ana haja tena ya kuuliza swali lingine,kwa umri aliokuwa nao alishaelewa nini maana yake,na alivyounganisha matukio alipata jibu kamili kuwa bosi wake kivyovyote anataka kumsogeza karibu mke wake,moyo ulimuuma,

akashusha pumzi nzito iliyochanganyika na wivu ndani yake.Ukimnya ulitawala wa kama sekunde tano.
“Alafu kwanini tusipite tununue vitu vya kupika vya wiki nzima?”
“Sawa”
Nickson hakupinga na kwa bahati nzuri walikuwa wameshafika Buguruni sheli, hapo alikunja kushoto na kunyoosha mpaka Buguruni sokoni,wakanunua vitu vya kupika ndani na kuviweka ndani ya gari.Nickson hakuwa na raha tena, mpaka hapo alikuwa mdogo.
“Gloria”
“Naam mpenzi”
“Nakupenda sana”
“Hata mimi”
“Kweli?”
“Ndio Mme wangu”
Safari ikaendelea na walipofika nyumbani Nickson akajitupa kitandani na kulala chali akitafakari maisha yake ya ndoa na alishaelewa kwa uzuri aliokuwa nao Gloria ni wazi kuwa angekumbana na changamoto nyingi, kama mwanamme ilibidi asimame imara.Akiwa anawaza hayo yote sura ya Mzee Magugu ikamjia kichwani na kujikuta anasonya.
“Baby vipi unawaza nini?”
Gloria aliuliza baada ya kutokeza mlangoni.
“Sio kitu mpenzi”
“Chakula kinakaribia kuiva,tukaoge sasa”
“Poa”
Mchaga Gloria alikuwa ni kama amefundishwa nini maana ya mume, alimpandia Nickson kwa juu kisha kutoa ulimi wake huku akimsogelea mume wake na kuanza kulana denda,sekunde tatu baadaye Nickson akawa amehama kihisia akamtupa Gloria upande wa pili yeye akapanda juu yake huku wakiendelea na mabusu.
“Baby”
“Mhhh”
“Tukaogee bwaaaana,alafu chakula nimeacha jikoni kitaunguaaaa aaaah”
Gloria alitoa sauti ya puani.
“Ahh baby kidogo tu”
“Mimi ni wako,tupo wote,tutafanya baadaye”
“Beebiii,kido….”
Gloria hakuwa na jinsi ya kufanya zaidi ya kumridhisha mme wake na ndiyo mambo aliyofundwa na shangazi zake kipindi anachumbiwa na Nickson,maneno hayakuweza kumtoka,
ilikuwa ni lazima awe tayari muda wowote kwa tendo la ndoa,alivyokumbuka hayo alimrukia Nickson wakaanza kushikana kila sehemu ya miili yao kila mmoja akimvua nguo mwenzake,

mpaka siku hiyo kila mtu alishaelewa ni wapi udhaifu wa mwenzake ulipo.Ugonjwa wa Gloria ulikuwa sehemu kuu mbili kwenye maziwa na ikulu ndiyo huko Nickson alipocheza napo,hakufanya makosa hata kidogo,dakika tano baadaye wakawa katika tendo la ndoa,baada ya kumaliza hali hiyo wakanyoosha bafuni kuoga kisha kwenda mezani!
“Unaona chakula kimeungua”
“Heee,sasa itakuwaje?”
“Nitapika kingine”
“Hapana,twende tukale nje”
“Nitapika usijali”
Huo ndiyo ulikuwa msimamo wake,Gloria aliingia jikoni na kupika tena, kilivyoiva wakaanza kula mezani,hakuna stori walizopiga nyingine zaidi ya kila mtu kumtamkia mwezake anampenda.
*****
“Hapo umependeza sana”
“Eti eeeh?”
“Ndio Mme wangu,vaa na hiyo tai sasa”
“Tai sipendi sana kuvaa”
“Vaaa kwa ajili yangu”
“Sawa”
Nickson alikuwa amesimama mbele ya kioo kikubwa asubuhi ya saa moja anajiandaa kwenda ofisini kwake, huku Mke wake akiwa bado kitandani anamsifia.
“Ona ulivyopendeza mpaka Napata wivu,huko ofisini hakuna visichana?”
“Hata wakiwepo hawawezi kunitingisha hata kidogo”
“Kweli Mme wangu?”
“Nakwambia ukweli,wacha mimi niwahi basi”
“Chai ipo mezani”
“Hapana, nitachelewa naomba niwahi”
“Okay mpenzi,sogea nikubusu”
Walipigana mabusu na Nickson akatoka nje na kuliendea gari.
Safari ya kwenda ofisini kwake ikaanza,kutokana na msongamano wa magari siku hiyo alichelewa kwa dakika kumi, na alivyofika akaweka gari kando na kushuka.

Wafanyakazi wenzake walivyomuona walifurahi na wengine kumpongeza kwa kurudi kazini tena, baada ya fungate kuisha.
“Alafu bosi kasema ukifika umuone”Alisema sekretari.
“Kwani keshafika?”
“Ndio kaingia sasa hivi, hamjapishana sana”
“Poa wacha niende”
Nickson akanyoosha mpaka ofisini kwa bosi wake,baada ya kugonga alikaribishwa na kuingia.Mzee Magugu alipomuona aliachia tabasamu na kupeana mikono.
“Kahawa?”
“Hapana bosi,niko poa”
“Vipi utokako huko?”
“Huko kwema tu”
“Sasa mkeo alikubali?”
Swali hilo lili mfanya Nickson akae kimnya kwa sekunde kama tano bila kujibu chochote.
“Mimi nataka nikusaidie na nimejitolea huo msaada”
“Bosi,Amesema kwa sasa hivi hayupo tayari”
”Kwanini?”
“Hata nashindwa kuelewa”
“Embu nipatie namba yake ili niweze kufanya naye mazungumzo mimi mwenyewe, kuna kazi tayari nishamtafutia anatakiwa kuanza kesho,nitajie namba zake za simu”
Hakuna siku aliyokuwa katika wakati mgumu kama siku hiyo,Nickson alikuwa akijishauri kichwani ni kitu gani akifanye.
BILA KUSAHAU KWAMBA HADITHI HII YOTE INAPATIKANA WATSAP NA INBOX KWA TSHS 3000/- KWA MWEZI kwa mawasiliano +255718 862176.
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storyzakway
ITAENDELEA.
 
You kill me !!! fanya kupost upya mwendelezo wake aisee mkuu !
Huko jukwaa la wakubwa hata hatufahamu lilipo wengine.
 
Back
Top Bottom