Ritta Paulsen wa Bongo Star Search

Status
Not open for further replies.
Nia yangu si kukupinga juu ya ulichosema kuhusu Rita.Kimfupi simfahamu huyo dada kwa sana ila concern yangu ni moja tu...unapokuwa na mtu kama yeye basi unategemea kuna watoto vijana na watoto watampenda na wanaweza kumchukulia kama role model wao kwa hiyo haitoshi tu kwa yeye kuwa mtoa vitu na mwenye upendo sana....ndo kusema hata her conduct nje inakuwa ni jambo la msingi sana.

Hivyo licha ya sifa nyingi...nafikiri suala ya yeye kuishi responsibly ili vijana wetu waweze kujifunza zaidi toka kwake ni la msingi.Unapokuwa public figure nafikiri kuna mambo kadhaa ya kuzingatia.

Huo ni mtazamo wangu binafsi tu na sina nia ya kuonesha Rita haishi vizuri huko nje.

Pse in red. Dare to speak openly. Nahisi kunakitu unataka kusema. Just talk this is a place bwana hakuna sehemu nyingine yeyote.
 
ambapo sielewi zaidi ni hapo mara kakonda, mara yupo hivi na vilee.....haeleweki point yake ni nini haswa.
unajua huyu muanziashaji wa thread hiii kapotea njia, alijua hapa ni ZE UTAMU maana kule angepata response anazozitaka ,maana kuna ambao wangesema ana ngoma ndo maana kakonda , wangesema anatembea na vijivulana vidogo , hasa hayo ndo huyu jamaa anayataka kusikia kutoka kwa watu na wala hana nia ya kumpamba huyu mama zaidi ya kumchafulia ILA SORRY MUTEKANGA YOU ARE IN THE WRONG PLACE AT THE WRONG TIME WITH THE WRONG THREAD, bora kama vinakuwasha kuongelea watu muweke Mandela au Sokoine hapo.
 
Yeah anakuza vipaji vya wasanii kukalili na si kuwa creative maana kila nikijaribu kufuatilia wasanii wa nyuma wa BBS je wanaweza kushindana na watu kama Tundaman ambaye alikuwa underground unakuta wasanii wa BSS hawatii mguu hakuna creativity zaidi ya kukalili nyimbo za wasanii wengine.

Mkuu si kama am attacking you ila i really want to know; ulimaanisha Kukariri au? I see so many peole even in the news paper wana replace "r" with "l". Au ulimaanisha kitu kingine?

Sory if i may sound otherwise but it is in good faith.
 
Mutekanga umesema kweli. Naomba kuuliza swali,naona hana wedding ring. Je ana mume au mtoto wa kike?

Ningetaka kujaribisha bahati yangu kwa mtoto wake wa kike huyu mama roho yake ya huruma, maneno yake ya upendo, the way she cares - yako rohoni sio mambo ya ku act, its just coming from her soul and body.

Sasa hiki kijamaa chenye miwani kinapindisha kichwa ili???

Waswahili mpaka ufe ndio wakupe sifa zako.
 
Namfagiia sana huyu mama! Anajitahidi kwa kile kitu ambacho anaweza siyo kwamba yeye ni Milionea sawa na akina .....
 
i totally agree with you first and foremost she apart from that other guy brown in colour knows the reason for their beeing in the bss and she is always on focus on the bss only not caring about nonsense other judges comment.

she has moralls
 
BSS ni project yake, ni lazima awe mpole kwa kuhakikisha anaendelea kufanya biashara!!!! huyu si mpole na mwenye huruma kama mnavyodhani. Yeye ameshusha hiyo thread ili aone yuko popular kiasi gani!! Mie simfagilii hata kidogo kwa kuwa her other side is tainted!!!!!
 
Katibukata nakubaliana nawe kwa hiyo hoja yako.lakini kwanini uanze kuangalia other side of the coin. kama mtu anafanya vizuri msifu kaw kufanya kwake vizuri na kama umemuona anafanya vibaya muhukumu kwa kufanya kwake vibaya.ni hayo tu mwanajamii.
 
She's just a sex maniac " Wild at Heart" After all , who the hell in Tz knows bout music nowadays! U jst squeeze your nose and sing a shit out of you and you're a star!
 
Anyway mimi naona huyu dada Ritta Paulsen kwa kweli anajitahidi kufanya anayoyafanya she is a very hard working lady, na pia ni role model wa vijana wa Tanzania which is very good ni muhimu sisi pia kuwa na celebrate wa kwetu wenyewe siyo kutoka USA kila siku.

Kuhusu kukonda na kunenepa hayo ni mambo ya DIET unajuwa kukonda siyo kitu rahisi watu wengi hawapendi unene hasa watu kama Ritta wenye pesa na pia wako kwenye public life saa zote ni lazima wasiwe wanene ili wapendeze nguo, afya, wawe wepesi etc, etc, sasa mara nyingine diet inakataa kabisaaaa, inabidi uweke na mazoezi ya nguvuuuuu vinginevyo unanenepa tuu, kumbuka huyu dada hana shida ndogo ndogo kabisaaaaa nilimuona siku moja ana gari ya nguvu sanaaaa, kwanza angalia anavyovaa she has a class, money, personality, she is strong young lady, rich, she is a DIVA she has it all believe me, she is hard worker.

Mahengo
 
Kashogi,you said,She's just a sex maniac " Wild at Heart" After all......-can you give examples or go deeper?You might have been kicked out of the ring and now you are using such hard words to cool yourself-there must be something!mmmmmmmmmmh
 

Attachments

  • nguli.jpeg
    nguli.jpeg
    2.4 KB · Views: 59
Wabongo nawashangaa sana can you judge someone's character kwa kumuona kwenye TV? watu wanaenda luningani wanapaka poda. Kwa taarifa yako kila kitu unachokiona kwenye TV hakiwasilishi uhalisia. Huwezi ukadertermine tabia ya mtu kwa kumuangalia kwa TV. Rita pale yupo dukani kwake ile ni biashara yake lazima ajue kusawazisha yale madongo ambayo waamuzi wenginme wanarusha kwa wale wasanii.

Mimi naona mradi mzima ni upuuzi maana hakuna vipaji vinavyoubuliwa zaidi ya upuuzi. Niambie zao lolote la BSS ambalo lipo kwenye soko?. Labda kadri siku zinavyoenda na haya maoni tunayowapa basi wataboresha zaidi.
 
Mamamia,hoja yako ni nzuri ila tatizo ni jinsi ulivyochanganya lugha.

Nadhani ingekuwa vizuri kama tuna hoja tuziwakilishe kwa lugha yetu ya taifa (Kiswahili).

Haileti maana nzuri kwa mtu mwenye lugha yako ya taifa kutumia lugha nyingine. Usipokikuza wewe kiswahili nani atafanya hivyo? Lazima tubadilike kwani kwa kufanya hivi tunadharaulika jamani. Nchi za wenzetu ambao hata lugha za mataifa yao hazijulikani sehemu nyingine duniani huzithamini sana lugha zao. Na kujua lugha zao ni kigezo cha mtu kupata kazi au kupata nafasi katika vyuo mbalimbali nchini mwao. Mfano nchi za ulaya magharibi na mashariki.

Mimi ninatumia sana kiswahili ingawa nipo nje ya nchi.
 
Madame kapungua fasta kawa kama kabinti kadogo kapendeza sijua ametumia nini kupungua fasta hivi na Mustafa Hasanal tupeni siri ya mafanikio yenu

Nawasilisha

Cheki span za zamani na hizi za sasa frmo Michu.
6404d1256984384-ritta-paulsen-wa-bongo-star-search-pix-2.jpg



6405d1256984384-ritta-paulsen-wa-bongo-star-search-pix-1.jpg
 
Jamani mnazungumzia nini? maana mimi ndo nimetoka katika maombi na nyie mnajadili mtu why? kutana nae ana kwa ana kisha mpige picha uweke sio hizo za biashara. Je nawauliza swali zao la BSS hapa Bongo ninini? kwani zaidi ya hapo hata kutoa singo nitaabu ukimwona mtu ametoka BSS hata kama kwao wanakula mlo mmoja basi atajiona kama ni mboga 12 sasa sijui wanafundishwa nini? Madam kama Bongo star search unataka ionekane kweli inafundisha jamii cha kufanya wakishinda tu akikisha anatoa hata Albam moja sio zawadi ya gari pekee au pesa pekee kisha unakuwanao bega kwa bega sio kuwatumia kwa ujira kidogo hapana unawapa kazi na wao wanakuwa Majaji.
 
Mamamia,hoja yako ni nzuri ila tatizo ni jinsi ulivyochanganya lugha.

Nadhani ingekuwa vizuri kama tuna hoja tuziwakilishe kwa lugha yetu ya taifa (Kiswahili).

Haileti maana nzuri kwa mtu mwenye lugha yako ya taifa kutumia lugha nyingine. Usipokikuza wewe kiswahili nani atafanya hivyo? Lazima tubadilike kwani kwa kufanya hivi tunadharaulika jamani. Nchi za wenzetu ambao hata lugha za mataifa yao hazijulikani sehemu nyingine duniani huzithamini sana lugha zao. Na kujua lugha zao ni kigezo cha mtu kupata kazi au kupata nafasi katika vyuo mbalimbali nchini mwao. Mfano nchi za ulaya magharibi na mashariki.

Mimi ninatumia sana kiswahili ingawa nipo nje ya nchi.
Mkuu ungejadili hoja ingejenga zaidi kuliko hii ya kulalamikia lungha.Tanzania ina lugha mbili rasmi yaani Kiswahili na kiingereza.Hivyo basi usione shida mtu akiwa katikati asielewe any kwa ufasaha
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom