Tupa kule....
Huyu jamaa ni kichwa sana nilisoma nae ilboru akapata point 3
Huyu jamaa ni kichwa sana nilikaa nae rose garden anaongea point huyoooo
huyu jamaa kweli anafaa ni kichwa kweli kweli angalia CV yake
Huyu jamaa ni kichwa sana hata wazungu wanamuheshimu sana aliwakimbiza ile mbaya class masters harvard
Huyu jamaa ana akili sana aisee nakumbuka alinisaidia kupata mkopo wa mil 20 sikuwa na collateral sema nilimahakikishia biashara zangu zitalipa.
Huyu jamaa wee acha tu Mungu amsaidie
Huyu jamaa ana alipata first class udsm huyu jamaa ana akili sana kwao wana nature ya kuwa majinias uuuh
.... Baaaadae saaaana....
Huyu jamaa ana akili sana sema watendaji wake wanamuangusha
Huyu jamaa ni mchapakazi sema bana fitina za pale
Huyu jamaa ana akili sana sema tatizo dini yake
Huyu anachapa kazi tatizo wanasiasa wanamuingilia kazi zake...
wewe una jinsia gani?? kama ni mwanaume acha kumsifia mwanaume mwenzio hivyo.sisi mila na desturi si busara kumsifia mtu bila sababu za msingi.
nisingependa kuponda huu uteuzi kwa sababu huyu mtu hafahamiki kwa wengi na tatujui utenda ji wake ila kuna machache naomba tuwekane sawa
kwanza si kweli kwamba kila mtu aliyesoma ILBORU -UDSM au kupata point VII au point III-alafu firstclass degree ni kipanga au (genius) siyo siyo... kwa wale tuliofika Chuo Kikuu miaka ya nyuma kidogo mtanielewa namaanisha nini
mtu aliyepata firestclass katika fani za masomo ya biashara ni wa kawaida sana. kuna first class za fani nyingine ni balaa zaidi ya hiyo..... kama aliipata kwa miaka mitatu kwa wengine miezi sita wanaweza kuipata
tumjadili mteuliwa kwa mafankio yake siyo bla-blah ...ohh mara baclays.... ohoo BOT mara heee... motgage finance....kuzunguka zunguka katika maofisi hakuwezi kutushawishi watu makini
sasa je?? taaluma yake ya banking na CV iliyorembwa italeta ufanisi TRA ??? katika changamoto tulizo nazo kama nchi??.
watu wengi waliosoma finance/banking wana tatizo la uoga katika maamuzi wana tabia ya kukariri, na wengi si watu wa mikakati, ni watu wa routine jobs, TRA inahitaji mtu wa mikakati strstegist, nafikiri Economist au hata mtu wa engineering mwenye weledi katika fani ya Taxation anafaa zaidi
mimi binafsi sioni kitu hapa mpaka tuone utendaji wake