Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA

Tupa kule....
Huyu jamaa ni kichwa sana nilisoma nae ilboru akapata point 3
Huyu jamaa ni kichwa sana nilikaa nae rose garden anaongea point huyoooo
huyu jamaa kweli anafaa ni kichwa kweli kweli angalia CV yake
Huyu jamaa ni kichwa sana hata wazungu wanamuheshimu sana aliwakimbiza ile mbaya class masters harvard
Huyu jamaa ana akili sana aisee nakumbuka alinisaidia kupata mkopo wa mil 20 sikuwa na collateral sema nilimahakikishia biashara zangu zitalipa.
Huyu jamaa wee acha tu Mungu amsaidie
Huyu jamaa ana alipata first class udsm huyu jamaa ana akili sana kwao wana nature ya kuwa majinias uuuh

.... Baaaadae saaaana....

Huyu jamaa ana akili sana sema watendaji wake wanamuangusha
Huyu jamaa ni mchapakazi sema bana fitina za pale
Huyu jamaa ana akili sana sema tatizo dini yake
Huyu anachapa kazi tatizo wanasiasa wanamuingilia kazi zake...
 
Awe kichwa, awe miguu, awe mikono sio ishu...TRA inatatizo moja....RUSHWA...BAAAASSIIII. Hata kina Balali, Omar Nundu , wote ni vichwa ila wameishia kututia umaskini tuu. Tunaitaji mtu atakayeweza kusema NO kwenye rushwa kwanza yeye binafsi na pili kupambana na mfumo uliopo. thats all.

Kwa taarifa tuu kuna mtu alikuwa kamishna msaidizi Jina Theodore enzi za Mkapa alikuwa anapingana na rushwa ilibidi ajiuzulu mwenyewe maana ilimshinda. Sasa hivi yupo kenya kama consultant.
 
  • Thanks
Reactions: KVM
Tupa kule....
Huyu jamaa ni kichwa sana nilisoma nae ilboru akapata point 3
Huyu jamaa ni kichwa sana nilikaa nae rose garden anaongea point huyoooo
huyu jamaa kweli anafaa ni kichwa kweli kweli angalia CV yake
Huyu jamaa ni kichwa sana hata wazungu wanamuheshimu sana aliwakimbiza ile mbaya class masters harvard
Huyu jamaa ana akili sana aisee nakumbuka alinisaidia kupata mkopo wa mil 20 sikuwa na collateral sema nilimahakikishia biashara zangu zitalipa.
Huyu jamaa wee acha tu Mungu amsaidie
Huyu jamaa ana alipata first class udsm huyu jamaa ana akili sana kwao wana nature ya kuwa majinias uuuh

.... Baaaadae saaaana....

Huyu jamaa ana akili sana sema watendaji wake wanamuangusha
Huyu jamaa ni mchapakazi sema bana fitina za pale
Huyu jamaa ana akili sana sema tatizo dini yake
Huyu anachapa kazi tatizo wanasiasa wanamuingilia kazi zake...

Mkuu ulilipa mkopo au ni mojawapo ya ile mikopo iliyotaka kuibomoa Barclays hapa Tanzania!
 
Tupa kule....
Huyu jamaa ni kichwa sana nilisoma nae ilboru akapata point 3
Huyu jamaa ni kichwa sana nilikaa nae rose garden anaongea point huyoooo
huyu jamaa kweli anafaa ni kichwa kweli kweli angalia CV yake
Huyu jamaa ni kichwa sana hata wazungu wanamuheshimu sana aliwakimbiza ile mbaya class masters harvard
Huyu jamaa ana akili sana aisee nakumbuka alinisaidia kupata mkopo wa mil 20 sikuwa na collateral sema nilimahakikishia biashara zangu zitalipa.
Huyu jamaa wee acha tu Mungu amsaidie
Huyu jamaa ana alipata first class udsm huyu jamaa ana akili sana kwao wana nature ya kuwa majinias uuuh

.... Baaaadae saaaana....

Huyu jamaa ana akili sana sema watendaji wake wanamuangusha
Huyu jamaa ni mchapakazi sema bana fitina za pale
Huyu jamaa ana akili sana sema tatizo dini yake
Huyu anachapa kazi tatizo wanasiasa wanamuingilia kazi zake...

Acha bla bla ilboru kuna EGM?
 
Huyu jamaa alikuwaga MD wa Barclays. So anakwenda kuchukua nafasi iliyokuwa imeachwa na Bw Luoga. Labda ndio maandalizi ili Kitillya akistaafu yeye ndo achukue hiyo post.

Sina CV yake kwa kirefu zaidi, mwenye nayo atumwagie hapa tuichambue jamani!

CV yake alikuwa chuo kikuu cha Dar mwaka 1992 hadi 1995 akisomea B.com alipata masomo yote daraja A kwa miaka yote mitatu kwa masomo yote hakuwahi kupata hata B+ ni rekodi ya kutukuka. Baada ya hapo aliajiriwa na Benki Kuu, Baadaye alikwenda Akiba commecial benki kama mmoja wa wakurugenzi wake, Baclays akawa afisa mtendaji mkuu na alisoma Masters katika vyuo vya nje sina hakika kama amesoma PHD lakini ni kichwa na mzalendo kupita kiasi.
 
Mzalendo wapi wewe uliza wafanyakazi wa barclays alivyowanyonya,iweje yeye anachukua bonus hadi za mil500 wakati kina William solez,Nyaki,Simon Ngowi,Sister Halima na Heri Sijaona hawaambulii kitu? Mtafute mtu wa barclays akwambie acha porojo za vijiweni,kichwa kichwa ndio nini? Kuna vichwa tumeviona mtu ana A 10 olevo na A 3 alevo na GPA 4.9 lakin wanafundisha twishney hawana kazi sema yeye ana connection na mafisadi ndio maana amebebwa wala sio ukichwa! Kichwa gani ambaye hajawai kua Tanzania One?
 
kitilya kajaza wakina mangi TRA,utadhani mtu uko kibosho kumbe ni TRA,hii nchi bana

Umekosea sana ninavyo ijua mimi TRA kitilya Huwa haingilii kabisa mchakato wa kuajiri. wala hua hajuii ni akinanani wameajiriwa. Kuna rafiki yangu ameajiriwa bila mizengwe yeyote. TRA wako fair sana kwenye mchakato waoo wa ajira pia maswala yote hadi interviews huwa wana outsource wenyewe wanapelekewa tu majina ya walio faulu interviews. tusishutumu tu bila kuwa na taarifa za kutosha jamani.
 
All in all with my little common sense, I expected JK aweke mtu ambaye yuko well experienced na Tax system ya TZ, probably promote one of the senior tax officers with long experience in the field. Huyu jamaa hata awe na ma PHD kumi, kama hayuko conversant na hiyo maeneo, wa bantu lazma wamtengeneze. Let's wait and see.
 
Nimewahi sikia ni Msomali wa Kenya!!inakuwaje anapewa dhamana ya ukusanyaji kodi wa nchi ya kigeni!?napita tu
 
Mmh kazi ipo...tusubirie kuona utendaji wake TRA!! nilimfahamu sana akiwa MD wa Barclays!!
 
Mzalendo wapi wewe uliza wafanyakazi wa barclays alivyowanyonya,iweje yeye anachukua bonus hadi za mil500 wakati kina William solez,Nyaki,Simon Ngowi,Sister Halima na Heri Sijaona hawaambulii kitu? Mtafute mtu wa barclays akwambie acha porojo za vijiweni,kichwa kichwa ndio nini? Kuna vichwa tumeviona mtu ana A 10 olevo na A 3 alevo na GPA 4.9 lakin wanafundisha twishney hawana kazi sema yeye ana connection na mafisadi ndio maana amebebwa wala sio ukichwa! Kichwa gani ambaye hajawai kua Tanzania One?
Mkuu hivi unajua kwa nini alitoka Baclays?
 
huyu bade si aliwahi ofisa wa juu pale stanbic au?

Ni Baclays mkuu ila namkubali kwa kazi na akili. Ila pia nilitamani sana abaki hapo alipokuwa maana angesaidia mambo ya morgage finance. Kwa mantiki hii huyo ndiye Director General wa TRA after Kitilya!!! Ila sidhani kama TRA ni poa sana kwa Bade. Hongera Aisha Bade, his wife.
 
Sasa anapeleka ujuzi wa kibenki TRA, hahahaha ataendelea na kale ka tabia kake ka kutafuna vimwana na hivi yupo sokoni sasa du
 
lol, wewe mpekuzi!!..una maana gani yupo sokoni? He's married bwana...hata hivyo muhimu ni utendaji wake kuonekana!!
 
Back
Top Bottom