elimukwanza
Senior Member
- Dec 27, 2010
- 168
- 23
Mimi nawashangaa sana wanaokiponda UDOM ni watu hatari sana katika mabadiliko ya elimu nchini wamesahau kabisa ukiritimba wa UDSM miaka iliyopita ambapo ma lecturer walikuwa wanajiona kama Miungu watu.Waliosoma UDSM watakumbuka mfano pale foe(engineering) watu walikuwa wana DISCO fourth year halafu wanarudi nyumbani kama form six.Imagine mtu ume struggle mpaka fourth year halafu wanakuchakachua.Je ni kweli kuwa utamulinganisha mtu huyu na form six?
Na mtakumbuka kuwa wengine walikimbilia vyuo vingine kama mzumbe, uclas(Ardhi sasa) na leo ni wataalamu wazuri na wengine wako humu jf tunawajua kwahiyo wali proof wrong kuwa wao ni vilaza bali tu umimi wa malecturer wa Ud wakati huo walitaka waonekane wao tu na leo hii ndiyo wameifikisha UDSM njia panda maana malecturer wanakimbilia vyuo vingine kutafuta better life.
Jinsi walivyokuwa wabinafsi walikuwa hawataki watu wa second class wasome masters maana walikuwa wanajua first class lazima wanakuwa wachache sana na hata hao wachache hawakupenda kuendelea kutokana na ukiritimba wao.Walijua wako wenyewe tu hawana mpinzani?kama ambavyo leo tunavyolia na TANESCO.
Mwisho inatakiwa tujadili challenge zinazoikabili UDOM na vyuo vingine vipya na kutoa maoni tufanyeje ili kiweze kuwa bora na kutokuwa white elephant kuliko kuanza kukiponda maana tunawakatisha tamaa vijana wanaosoma pale.Tuache mawazo mgando kwamba chuo kinachofelisha ndicho bora.mbona hata wale jamaa zetu wa degree za kununua ndiyo wanatuongoza? hamjawasema je hawa wanaokaa chuo 4years?