Risasi ya kichwa

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Yulemwanamama wa republican alyepigwa risasi katoka hospitalini ,ameruhusiwa kwenda nyumbani.jiulize ingekuwa hapa si tungekwisha msahau.kwanini hatubadiliki?
 

Attachments

  • GIFFORDD.jpg
    GIFFORDD.jpg
    4.6 KB · Views: 55
Acheni dharau bana!tafuteni data kuhusu watu wanaojeruhiwa kwa risasi tanzania na outcome zake.acheni porojo za migahawani.
 
naomba nikujibu hivi;
mfumo wa huduma ya afya ya ulaya na hapa bongo ni tofauti sana mwana jf
kwanza kuna vitu vifuatavyo
1.
bongo hatuna vifaa vya kufanyia kazi mahospitalini(viongozi wetu wanaona bora wanunue mashangingi kuliko vifaa vya tiba)
2.kwa jinsi watoa huduma ya afya walivyokata tamaa na kazi yao ni vigumu ku-perform kama ulaya -wagonjwa wengi wataendelea kufa hata kama vifaa vikiwepo
3.bongo hatuna mfumo wauwazi katika kuhuduamia wagonjwa....mfano mgonjwa anaweza kuingizwa chumba cha upasuaji ukampasua ukachukua /ondoa cha kuondoa mgonjwa asijue
4.wagonjwa wa ulaya wanajua anaumwa nini ana meza dawa gani ,zina madhara gani,alifanyiwa nni wakati waoperation nk
5.dr.anawajibika kwa kifo cha mgonjwa labda aliyefanyiwa operation then akafa bongo walaaaa
kwahiyo bado sana kaka inabidi tubadiri sheria zetu
 
Kuna mtoto wa sekondari mbezi beach kapigwa risasi ya koo,nadhani utaacha dharau iwapo utasikia karuhusiwa kutoka muhimbili na kuendelea na maisha yake.
 
Hata hapa kwetu kuna some few good cases ambao madaktari wamefanya kazi yao vizuri na kunusuru maisha ya watu!
 
Back
Top Bottom