MwanaCBE
JF-Expert Member
- Sep 23, 2009
- 1,771
- 804
mnatuchanganya sana na mambo yenu haya ya Richmond
Wangapi mnachanganywa na wangapi wanaowachanganya?
mnatuchanganya sana na mambo yenu haya ya Richmond
Una uhakika gani hawa hawatakuwepo?,Bunge ambalo litakuwa hawamo akina
Anna Malechela
SS
Mwakyembe
seleli
Mpendazoe
mjadala wa Richmond baada ya kushindwa kujadiliwa ktk kikao hichi cha Bunge kuna uwezekano mkubwa kujadiliwa 2011 baada tu serekali mpya kuapishwa na bunge jipya ,Bunge ambalo litakuwa hawamo akina
Anna Malechela
SS
Mwakyembe
seleli
Mpendazoe
hii itaufanya mdala huu kuwa rahisi kumalizika na kufungwa.
kwani kwa mujibu wa naibu wa Bunge alisema kwamba kwa sasa mjadala huu hawezi kujadiliwa kwani umeigawa wabunge makundi 2 ambalo ni hatari kwa taifa letu.
Shughuli za bunge zinaweza kusimamishwa kwasababu spika yupo msibani? acha hizo Anne yupo, ila sema JK amempigia magoti 6.
Wangapi mnachanganywa na wangapi wanaowachanganya?
Watarudi "Kwa kishindo" kama hatutaamua kufanya kweli...!
Tumepewa taarifa mambo yote kesho jmosi.tusubiri kwani mr six atarudi leo toka Luangwa kwa ndege ya kukodi moja kwa moja mpaka Dodoma.wakulu
Nimepata tetesi kuwa repoti ya richmond kutojadiliwa, kwani mh six yupo bize na mambo ya msiba ivo kurudi dodoma wiki ijayo kwa ajili ya kufunga bunge tu...TiaTia maji
Details please
Nani anajua chama kilicholeta uhuru wa marekani kilikuwa kinaitwaje?Kwa nchi nyingine CCM ingeweza kufutika kkatika anga za siasa Tanzania kwa kushindwa vibaya sana kutokana na madudu chungu nzima yaliyojaa ndani ya chama cha mafisadi na Serikali, lakini kwa nchi yetu ambayo ni kichwa cha Mwendawazimu CCM watarudi madarakani tena kwa ushindi mkubwa tu.