Ripoti ya polisi kuhusu maandamano ya wanaharakati yaliyofanyika jana tarehe 8/2/2012

jozzb

Member
Jun 30, 2011
87
20
“hatukuwa na taarifa na mkusanyiko huo, ni watu walitoka sehemu mbalimbali mmoja mmoja wakazunguka maeneo ya Palm Beach na kuingia barabarani na kuzuia magari yaliyosababisha foleni ndani ya dakika 45 kwa hiyo sio kwamba ni maandamano”

CHANZO CHA RIPOTI << HAPA>>
 
Hata tahrir square, libya, tunisia, syria na Maldives ilianza hivyohivyo....................
 
Hata tahrir square, libya, tunisia, syria na Maldives ilianza hivyohivyo....................

Siyo tanzania bwana, zingelindima hakuna ambaye angesalia pale/ au wangelilala 20 wamekufa nani angelisonga mbele?
 
Hawakupata taarifa za kiinteligensia?? Au huwa ni za maandamano ya cdm?
 
nafikiri habari za kiintelijensia hazikuwa zimewafikia ama waliogopa kuwafanyia vurugu kwa sababu baadhi ya waliokuwapo ni watu wa LHRC haya yetu masikio
 
yaani hii nchi ni ya kwetu jamani hamna atakayeikomboa bali sisi wenyewe.....
 
Back
Top Bottom