canal pisondo
Member
- Apr 30, 2011
- 5
- 0
dhambi hii itawatafuna mpaka mwisho wa dunia.
serikali inaendesha kazi kwa mazoea..na viongozi wanajua kuwa kama kuna tatizo cha msingi ni kuunda tume haraka haraka kuzima moto! halafu baada ya tume kuundwa na kutoa mapendekezo hayatekelezwi na hakuna tena anayehoji. Jamani nchi hii inaripoti za kila aina na tume nyingi tu zimeshaundwa kwa masuala mbalimbali..kama kweli mapendekezo ya tume yangekuwa yanafanyiwakazi tungekuwa angalau na hatua 1 mbele. Lakin sasa tume zimekuwa kama mchezo wa kuigiza na taarifa zinafungiwa kabatini kwisha.
Tutaunda tume ya kuchunguza kama kama kuna umuhimu wa kuunda tume kama unavyopendekeza, na pia kuangalia kama ni kweli report za tume hizi huwa zinakaliwa....tume tutakayounda ikimaliza kazi tuliyoipa, tutaunda tume ya kuja kusoma report ya tume hii.serikali inaendesha kazi kwa mazoea..na viongozi wanajua kuwa kama kuna tatizo cha msingi ni kuunda tume haraka haraka kuzima moto! halafu baada ya tume kuundwa na kutoa mapendekezo hayatekelezwi na hakuna tena anayehoji. Jamani nchi hii inaripoti za kila aina na tume nyingi tu zimeshaundwa kwa masuala mbalimbali..kama kweli mapendekezo ya tume yangekuwa yanafanyiwakazi tungekuwa angalau na hatua 1 mbele. Lakin sasa tume zimekuwa kama mchezo wa kuigiza na taarifa zinafungiwa kabatini kwisha.
<br />ʞontɹact Sniper;2359171 said:<font size="4">Tutaunda tume ya kuchunguza kama kama kuna umuhimu wa kuunda tume kama unavyopendekeza, na pia kuangalia kama ni kweli report za tume hizi huwa zinakaliwa....tume tutakayounda ikimaliza kazi tuliyoipa, tutaunda tume ya kuja kusoma report ya tume hii.<br />
Tunakushukuru kwa maoni na maelezo yako, karibu sana katika ujenzi wa taifa</font>